iran vs israel

The relations between Iran and Israel are divided into four major phases: the ambivalent period from 1947 to 1953, the friendly period during the era of the Pahlavi dynasty from 1953 to 1979, the worsening period following the Iranian Revolution from 1979 to 1990, and the ongoing period of open hostility since the end of the Gulf War in 1991. In 1947, Iran was among 13 countries that voted against the United Nations Partition Plan for the British Mandate of Palestine. Two years later, Iran also voted against Israel's admission to the United Nations.
Iran was the second Muslim-majority country to recognize Israel as a sovereign state after Turkey. After the 1953 coup d'état, which reinstalled the pro-Western leader Mohammad Reza Pahlavi as the Shah of Iran, relations between the two countries significantly improved.
After the 1979 Islamic Revolution, Iran severed all diplomatic and commercial ties with Israel, and its theocratic government does not recognize the legitimacy of Israel as a state. The turn from cold peace to open hostility began in the early 1990s, shortly after the collapse of the Soviet Union and the defeat of Iraq in the Gulf War, after which relative power in the Middle East shifted to Iran and Israel. The conflict escalated in the early 1990s, as Yitzhak Rabin's government adopted a more aggressive posture on Iran. Rhetorical conflict heated up during the presidency of Mahmoud Ahmadinejad, who made inflammatory statements against Israel. Other factors that have contributed to the escalation of bilateral tensions include Iran's development of nuclear technology relative to Israel's long-stated Begin Doctrine, Iran's funding of Islamist groups such as Hezbollah, Palestinian Islamic Jihad and Hamas, as well as alleged involvement in terrorist attacks such as the 1992 attack on the Israeli embassy in Buenos Aires and the 1994 AMIA bombing, and Israel's alleged support for militant groups such as the People's Mujahedin of Iran and Jundallah as well as alleged covert Israeli operations in Iran including multiple assassinations and bombings.
Since 1985, Iran and Israel have been engaged in an ongoing proxy conflict that has greatly affected the geopolitics of the Middle East, and has included direct military confrontations between Iranian and Israeli organizations, such as in the 2006 Lebanon War. The conflict has played out in various ways, including through support for opposing factions in conflicts in Syria and Yemen. Iran has provided support to the Syrian government, while Israel has supported opposition groups. In Yemen, Iran has provided support to the Houthi rebels, while Israel has provided support to the Saudi-led coalition fighting the rebels. The conflict has also involved cyber attacks and sabotage against each other's infrastructure, including attacks on nuclear facilities and oil tankers. Overall, the Iran-Israel proxy conflict is a complex and ongoing conflict that has had a significant impact on the political and security dynamics of the Middle East.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    Reza Kasab, kamanda wa kitengo cha makombora cha Iran huko Kashan ameuwawa

    Vyanzo vya Iran vinadai kwamba Reza Kasab, kamanda wa kitengo cha makombora cha Iran huko Kashan, aliuawa wakati ndege isiyo na rubani ya kujitoa mhanga iligonga gari lake na yeye kuteka tea ndani ya gari hilo, Wafuga Midevu na Majini wote tukuombee tu!! Kulingana na ripoti hizo, ndege hiyo...
  2. Mlaleo

    Analysis reports ya kitaalam nani kashinda Vita Iran vs Israel

    https://www.youtube.com/watch?v=SqJvJ4Yv8Xw Kila Mmoja ameshinda kivyake ila faida amepata Israel malengo yote 100% Iran kwake kupona kwa Ayatollah na kuendelea kutawala Iran ni Ushindi kwake 100%
  3. ELI COHEN

    SI KWELI Iran wameanza kunyonga watu wanaowashutumu kushirikiana au kuisifia Israel wakati wa vita

    Wamekabwa koo vita nzima sasa wameanza kuua wenzao kwa hasira ya kushindwa🤣🤣
  4. MICHEWENI 2024

    Makubaliano ya ISRAEL/IRAN kusitisha vita hayawezi kumaliza vita kama lengo ni kuuangusha utawala wa Serikali ya Iran

    1. Kuendelea Kuishi = Ushindi Katika vita vinavyolenga kubadilisha utawala, kuendelea kuwepo madarakani ni ushindi. Licha ya kushambuliwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado ipo madarakani. Viongozi wa Iran (kama Kiongozi Mkuu na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi - IRGC) bado wapo kazini. Hii...
  5. Dennis Robert Shughuru

    Jua mgogoro wa Iran vs Israel chanzo chake

    Mwaka 1950's alichaguliwa waziri mkuu wa iran aliyeitwa Mohammad Mosaddegh wakati wa kampeni aliahidi kurudisha umiliki wa visima vya mafuta mikononi mwa iran alivyoshinda alianza kutekeleza ahadi yake ya kuhakikisha visima vya mafuta vinabakia mikononi mwa irani hiki kitendo hakikuwafurahisha...
  6. Marco Seth

    Gravity ni Nini ?🤔imetokea Wapi?

    God In his Creation Created Gravitational Force Gravitational force is the fundamental force of nature that cause objects with to attract each other According to Universal law of Gravitation State that The Universal Law of Gravitation, also known as Newton's Law of Universal Gravitation...
  7. Mrengwa wa kulia

    Iran umenivunja moyo wangu

    Nimeishi maisha yangu nikijua kua Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani.. Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!! Leo naandika kwa machozi mazito Aaah😭😭 irani umenivua nguo. Wenzio wamepeleka ndege wew...
  8. Komeo Lachuma

    Mpaka sasa tathmini ya Maumivu kwa Iran vs Israel. Hawa Mayahudi hawafai kabisa

    Hali ya sasa nchini Iran imekuwa ya kukaushwa sana, kufuatia mashambulizi makubwa ya Israeli yaliyofanyika tarehe 13 Juni 2025. Hapa ni muhtasari wa hali: Mapigano na Uharibifu Mashambulizi ya Israeli: Operesheni iliyopewa jina la “Rising Lion” iliwashirikisha ndege za kivita zaidi ya 200...
  9. matunduizi

    Unatabiri nini mwisho wa vita hii Iran vs Israel

    Moja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka mingi kufanikisha HIKI kinachofanyika ndani ya Iran. Iran itapigwa kirahisi sana kisha itafuatia...
  10. R

    Marubani wa kike walifanya shambulio la aibu na uharibifu mkubwa kwenye jamhuri ya kiislam ya Iran, kwanini Iran inasita kulipa kisasi?

    Mnamo Oktoba 1, 2024, Iran ililenga Israel kwa makombora 200, Ni mashambulizi makubwa lakini athari zilikuwa kidogo, Mabomu mengi yalikosa target yalitua nje ya mji, Mtu mmoja aliuawa ambae ni Mpalestina baada ya bomu kukosa target kwa kutua Palestina. Israel ikajibu October 26, hawakurusha...
  11. Sir John Deere

    Iran Yajiandaa na Operation True Promise 3 kutekelezwa kabla ya Tarehe 5 November. Vyombo vya habari Nchini Israel vimeripoti

    Vyombo mbalimbali vya habari Nchini Israel na Iran vimeripoti hii Leo kuwa Iran inajiandaa kuishambulia Israel kwa makombora ya ballistic. Imeelezwa kuwa hii Leo Iran imehamisha makombora yake kuelekea magharibi mwa Iran kwaajili ya maandalizi ya kujibu mashambulio dhidi ya Israeli...
  12. Mlaleo

    Iran wawaambia Urusi kuwa ni wanafiki - Wamewaacha peke yao kwenye shida

    Kasheshe limeanza kueneza karibu nchi nzima kutowaamini Russia haswa wakati kama huu kuwa Russia sio kwamba anaweza kuwa bega kwa bega na Iran wakati wa Shida tu ila Russia hana uwezo pia wa kuwazuia Israel. Russia wakizidiwa na Ukraine wanakuja kwetu tunawasaidia Drone na maroketi, tumewaomba...
  13. Echolima1

    Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

    Israeli ilifanya mashambulizi makubwa dhidi ya Iran Jumamosi asubuhi, kama sehemu ya kisasi chake dhidi ya shambulio la kombora kutoka Tehran mapema mwezi huu. Shambulizi hilo kutoka kwa Iran linaibua hofu kwamba mzozo wa muda mrefu kati ya majeshi haya yenye nguvu unaweza kugeuka na kuwa vita...
  14. kimsboy

    Marekani inachunguza uvujaji wa taarifa za siri za kijasusi kuhusu mipango ya Israel ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran

    Marekani inachunguza uvujaji wa taarifa za siri za kijasusi kuhusu mipango ya Israel ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, kulingana na watu watatu wanaofahamu suala hilo. Mmoja wa watu hao amethibitisha uhalali wa nyaraka hizo. Wameanza kutafuta mchawi,zingekua ni za Iran, Russia au China humu...
  15. U

    Inasikitisha Iran kuwafukuza raia milioni 2 wa Afghanistan waliokimbia utawala wa Taliban

    Wadau hamjamboni nyote? Huwezi amini lakini huo ndiyo ukweli Yaani kwa ndugu wavunja undugu kwa ndugu mmoja mwenye neema kumtimua nduguye mwenye shida Serikali ya Kiislamu ya Jamhuri ya Iran imeamua kuwatimua bila huruma Ndugu zao raia wa nchi inayofuata sheria za Kiislamu ya Afghanistan...
  16. D

    Hakuna nchi yenye uthubutu Dunia hii kama Iran. Wanajivunia nini?

    Sifichi, ile mara ya kwanza nasikia kuwa Iran kamshambulia Israel nilibisha sana na kuapa kabisa kuwa kamwe hawezi. Hana ujanja huo. Nilipotembelea vyombo vyA habari kujiridhisha na kukuta ni kweli kwamba missiles 180+ zimetoka Iran huko na kutua Israel nilibaki mdomo wazi kwa mshangao...
  17. M

    Mwenyezi Mungu huleta nusura yake kimaajabu- Huenda Ukombozi wa Wapalestina utapitia Iran

    Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema halali usingizi, na anaona kila kitu kinachoendelea katika matendo ya wanadamu. Katika nyakati mbalmbali katika historia ya mwanadamu Mwenyezi Mungu ametoa msaada na kunusuru wanaodhulumiwa pale ambapo usingetegemea. Binafsi naanza kufikiri kuwa Mapinduzi ya...
  18. Sodoku

    Viongozi watatu Wakuu wa Hezbollah waliouawa mpaka sasa, mmoja hajamaliza siku 5!

    Bado nakataa kuamini. Sitaki kabisa kuamini. Hivi ni kweli? Ama naota? inakuaje kuaje?haiingii akilini? Nadhani sasa Khayatollah ajishike vizuri. Hawa jamaa si watu wazuri. Akae kwa kutulia sana. Sisi tuliwategemea sana Hezbollah. Sasa tunashindwa kuelewa. Nini kinaendelea huko. Maana tulisema...
  19. State Propaganda

    Kuna kila viashiria Israel kufanya mashambulizi dhidi ya Iran leo Oktoba 4, 2024

    Kuna tetesi za kiintelijensia zisemazo kuwa utawala wa Kizayuni umepanga kufanya shambulio la makombora dhidi ya viongozi wa serikali ya Jamuuri ya Kiisalam wa Iran waoongozwa na Himam Ayatollah Khamenei leo ijumaa kwa kuwavizia wakiwa misikitini.
  20. President of China

    IRAN - "Victim Card Strategy" Inawaumiza Kichwa Wazungu na Wazayuni wa Israel

    Victim Card Strategy ni nini? Victim Card Strategy (mbinu ya kujifanya mwathirika) ni mbinu ambapo mtu au kundi la watu hujifanya kuwa waathirika wa hali fulani au mazingira, kwa lengo la kupata huruma, uungwaji mkono, au kuepuka lawama. KWA NINI IRAN HAIWEZI KUSHAMBULIWA NA MAREKANI NA...
Back
Top Bottom