iran vs israel

The relations between Iran and Israel are divided into four major phases: the ambivalent period from 1947 to 1953, the friendly period during the era of the Pahlavi dynasty from 1953 to 1979, the worsening period following the Iranian Revolution from 1979 to 1990, and the ongoing period of open hostility since the end of the Gulf War in 1991. In 1947, Iran was among 13 countries that voted against the United Nations Partition Plan for the British Mandate of Palestine. Two years later, Iran also voted against Israel's admission to the United Nations.
Iran was the second Muslim-majority country to recognize Israel as a sovereign state after Turkey. After the 1953 coup d'état, which reinstalled the pro-Western leader Mohammad Reza Pahlavi as the Shah of Iran, relations between the two countries significantly improved.
After the 1979 Islamic Revolution, Iran severed all diplomatic and commercial ties with Israel, and its theocratic government does not recognize the legitimacy of Israel as a state. The turn from cold peace to open hostility began in the early 1990s, shortly after the collapse of the Soviet Union and the defeat of Iraq in the Gulf War, after which relative power in the Middle East shifted to Iran and Israel. The conflict escalated in the early 1990s, as Yitzhak Rabin's government adopted a more aggressive posture on Iran. Rhetorical conflict heated up during the presidency of Mahmoud Ahmadinejad, who made inflammatory statements against Israel. Other factors that have contributed to the escalation of bilateral tensions include Iran's development of nuclear technology relative to Israel's long-stated Begin Doctrine, Iran's funding of Islamist groups such as Hezbollah, Palestinian Islamic Jihad and Hamas, as well as alleged involvement in terrorist attacks such as the 1992 attack on the Israeli embassy in Buenos Aires and the 1994 AMIA bombing, and Israel's alleged support for militant groups such as the People's Mujahedin of Iran and Jundallah as well as alleged covert Israeli operations in Iran including multiple assassinations and bombings.
Since 1985, Iran and Israel have been engaged in an ongoing proxy conflict that has greatly affected the geopolitics of the Middle East, and has included direct military confrontations between Iranian and Israeli organizations, such as in the 2006 Lebanon War. The conflict has played out in various ways, including through support for opposing factions in conflicts in Syria and Yemen. Iran has provided support to the Syrian government, while Israel has supported opposition groups. In Yemen, Iran has provided support to the Houthi rebels, while Israel has provided support to the Saudi-led coalition fighting the rebels. The conflict has also involved cyber attacks and sabotage against each other's infrastructure, including attacks on nuclear facilities and oil tankers. Overall, the Iran-Israel proxy conflict is a complex and ongoing conflict that has had a significant impact on the political and security dynamics of the Middle East.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu

    Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi. Inasemekana Israel tayari umeanza mipango ya kuishambulia Iran leo huku kukiwa na hofu ya Israel KUISHAMBULIA visima vya mafuta vya Iran...
  2. U

    Rais Biden wa Marekani asema hakuna chochote kitachotokea nchini Iran leo

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Marekani joe Biden amesema kuwa siku ya leo hakutakuwa na kitu chochote kitakachotokea Iran ______ Biden says ‘nothing going to happen today’ in Iran WASHINGTON — US President Joe Biden says he did not believe any Israeli strikes against Iran would come today...
  3. Mathanzua

    Shambulio kubwa la makombora ya Iran liliharibu kituo cha ndege za kivita za F-35 cha Nevatim nchini Israel

    Ni wazi kuwa Iran ilishambulia makombora ya balistiki takriban 200 Jumanne jioni hii, kuelekea kwenye vituo vya kijeshi na kijasusi vya taifa la Israel kama shambulio la kulipiza kisasi lililoitwa Operesheni True Promise II. Shambulio hilo liliwasha king'ora katika maeneo yote ya Israeli na...
  4. MK254

    Rais wa Iran asema nchi yake haitaki kuwa sababu ya machafuko Mashariki ya Kati, raia wapanga foleni kununua bidhaa kwa hofu

    Marekani nayo imeiomba Israel isipige maeneo ya nyuklia. Huyu rais wa Iran angeyasema haya kabla hawajatuma makombora, japo yalipanguliwa yote kiasi cha kutomdhuru mtu yeyote Israel. Majibu yanakuja, muda wowote, raia wa Iran wanaweweseka kwenye mafoleni ya kusaka mafuta na bidhaa...
  5. G

    Kwa mara ya kwanza taifa mwanachama UN kumpiga Maarufuku Katibu wa UN , Alipaswa akemea uvamizi wa Iran kwa Israel, Hongera Israel no unafiki

    Katibu wa UN Kama kiongozi wa umoja wa mataifa yote alipaswa akemea hadharani uvamizi wa Iran nchini Israel. Ila naamini Israel wanaweka rekodi sawa ili siku akivamia Iran katibu wa UN usiingize mdomo Pia Israel inaendelea kutengeneza ushahidi wa kuonyesha anavyochokozwa na mataifa mengine na...
  6. Richard

    Israeli yapima namna ya kujibu mashambulizi yalofanywa na Iran jana, lakini kiuhalisia Israeli haina uwezo wa kushambulia Iran peke yake

    Baada ya Iran kutuma makombora ya Ballisctic jana kaskazini mwa Israeli na kuharibu baadhi ya miundombinu ikiwemo majengo ya idara ya ujasusi ya Mossad, Israeli imekuwa kimya ikifanya vikao vya kupanga namna ya kujibu mapigo. Kwa mujibu wa wachambuzi kadhaa wa masuala ya vita, Iran ilifanikiwa...
  7. Mi mi

    Tuwafahamu washirika muhimu wa Israel na Iran duniani

    Washirika muhimu wa haya mataifa mawili hasimu[ Israel na Iran ] hapo mashariki ya kati ambao wapo bega kwa bega nao katika ushirika muhimu wa kiuchumi, kiulinzi na kiushawishi leo tuwafahamu kidogo in case huu uhasimu ukizaa vita kubwa tegemea kuona kishindo kikubwa sana mashariki ya kati...
  8. mtwa mkulu

    Athari za mashambulizi ya makombola ya Iran dhidi ya Israel

    Sulbakheri Tehrani...Shkamooni Dar es salaam......Asalam aleykum Tehran, Baghdad na Syria... Mpaka jioni hii Kwa majira ya Africa Mashariki hakuna tunachoweza kuficha kuhusu athari zilizojitokeza kuhusiana na makombora yaliyofurushwa na iran. Iran ilirusha takribani makombora 180 kuelekea...
  9. Mindyou

    Urusi yatoa tamko zito baada ya Iran kushambulia Israel. Waitupia lawama Marekani!

    Urusi imeto lawama kali kwa Marekani, ikisema kuwa inahusika na mambo yanyoendelea kwa sasa huko Middle East. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi, Maria Zakharova, aliita sera yawa Rais Joe Biden huko Middle East kuwa imeshindwa kabisa. Zakharova alitoa kauli hiyo kupitia ujumbe wa...
  10. kimsboy

    Uchambuzi: Mambo 10 na kwanini shambulizi la Iran limefanikiwa kwa asilimia 100%

    Kiukweli kuna mambo nimeona nimejifunza kitu na kama taifa tunapaswa kujifunza kitu Kwanza, hili shambulizi limetokea kama Suprise tofauti na lile la mwezi April ambalo Israel walijiandaa vya kutosha nchi kama 30 zilienda kumsaidia kuanzia angani, baharini na nchi kavu. Pili, Iran katumia...
  11. USSR

    Benjamin Netanyahu: Ukitupiga tunakupiga, hakuna sehemu ndani ya Iran ambayo hatuwezi kufika

    Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameionya dunia dhidi ya uchokozi, ugaidi na chuki ya kigaidi ya irani kwenye mkutano wa UNGA unaondelea huko New York. Bwana Netanyahu anasema Iran haipaswi kuwa na nyuklia kamwe kwa kuwa itatumia kuwauwa waarabu ambao sio mashia kama wao na , wayahudi...
  12. MT255

    Hatimaye Iran yathibitisha haiwezi kulipiza kisasi dhidi ya Israel

    Baada ya kusubiriwa kwa hamu jibu la IRAN kwa Israel,hatimaye imesema haiwezi kushambulia Israel kwa wakati huu hayo yamesemwa na afisa mwandamizi wa jeshi la mapinduzi la IRAN Swali je ndo kusema Iran inaogopa nini kitatokea baada ya Israel kusema kipindi hiki Iran ikijaribu TU itakutana na...
  13. U

    Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao cha Waziri Mkuu Benjamin Netanyau na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama yaani IDF, shin bet na mossad kilichoketi muda mfupi uliopita kimeamua kufanya shambulizi dhidi ya Iran badala ya kusubiri kujibu shambulizi kutoka Iran Taarifa kamili zikipatikana muda...
  14. The unpaid Seller

    Marekani yasema Iran itaishambulia Israel saa 72 zijazo

    Peace, Marekani imetoa taarifa rasmi ya shambulio la vita kamili kwa Israel kutoka Iran, huku mamlaka za Iran zikionya vikali nchi za Quatar, Saudi Arabia na Egypt kutoruhusu anga lao kutumiwa na Israel vinginevyo Iran itazishambulia pia. --- Iran and its allies threatened retribution on...
  15. Huihui2

    Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

    Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema. Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran. Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za...
Back
Top Bottom