iptl

The International Premier Tennis League (IPTL, officially the Coca-Cola International Premier Tennis League Presented by Qatar Airways pursuant to sponsorship agreements with The Coca-Cola Company and Qatar Airways) is a presently inactive annual team tennis league that takes place in various cities in Asia. Founded in 2013, the elite level exhibition tennis tournament took place for the first time in November 2014. Due to financial issues the tournament was not held in 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong

    12 January 2026 Tanzania: Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong Januari 12, 2026 Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeshinda rufaa iliyowasilishwa na Benki ya Standard Chartered Hong Kong katika Mahakama ya...
  2. Carlos The Jackal

    Sing Seth wa IPTL alimfungulia Zitto Kabwe Kesi , Zitto akaililia Serikali, nayo imempa Shariti la Kushiriki Uchaguzi Mkuu na Kushambulia CHADEMA

    Wakuu, kabla Seth wa IPTL hajamfungulia Kesi Zitto Kabwe , Zitto hakua anahangaika CHADEMA. Taarifa zinasema baada ya Seth kufungua Kesi, Zitto akaona ni maji marefu, akaanza kusema "Serikali inamlimda Seth" bado hawakumuonea Huruma Wala hakuitikisa Serikali ya CCM. Zitto akaamua kumfikia...
  3. B

    Serikali yahaha kulipia IPTL, kwa mara nyingine Kodi za Watanzania zinaenda kulipia makosa ya viongozi wabovu

    Wakuu, Wacha waendelee kutubaragaza mpaka tutoe mlio! ===== Serikali iko mbioni kulipa mabilioni ya shilingi ya walipa kodi, kwa Harbinder Singh Sethi, anayejiita mmiliki wa kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Independent Power Tanzania (IPTL). Mabilioni hayo ya shilingi yatalipwa kwa...
  4. E

    IPTL yabwagwa mahakamani Sh100 bilioni za Escrow

    DAR. Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imepata pigo kubwa la kisheria baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi yake dhidi ya serikali, ambapo ilipinga makubaliano ya mwaka 2021 kuhusu fedha za Tegeta Escrow na kudai fidia ya Sh100 bilioni. Kampuni hiyo ya uzalishaji umeme...
  5. M

    Zitto Kabwe: Watawala wa awamu ya sita wanamwogopa Habinder Seth wa IPTL

    Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth. Ikumbukwe fisadi Seth aliwekwa jela kwa miaka 4 na serikali ya awamu ya 5 , lakini mara baada ya Rais...
  6. Erythrocyte

    Zitto Kabwe afunguliwa kesi na Harbinder Singh kisa sakata la IPTL

    Kiongozi Mkuu mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani Zitto Kabwe amefunguliwa Kesi na Harbinder Singh Seth akidaiwa kumkashifu mfanyabiashara huyo na kumvunjia heshima mbele ya jamii Akizungumza na wanahabari leo Zitto Kabwe amesema kuwa kesi hiyo imetokana na yeye kuzungumzia...
  7. W

    TBT: Tundu Lissu akiwashukia wanufaika wa mgao wa ESCROW akitaka washughulikiwe

    Tundu Lissu alipokuwa bungeni alikuwa machachari, mwenye kuibua hoja nzito na kuhoji bila woga linapokuja suala la maslahi ya wananchi. Safari yake bungeni ilikomeshwa mwaka 2017 baada ya kuminiwa risasi za kutosha hali iliyopelekea hadi leo hii yeye kutembea na makovu ya matundu ya risasi...
  8. J

    UMEAHIRISHWA | IPTL: Sakata la Miongo miwili. Nini hatma yake?

    Ripoti ya CAG 2023/2024 imebainisha kuwa Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) linadaiwa Tsh. Bilioni 238 na Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Deni halisi likiwa ni Tsh. Bilioni 111 na Riba Tsh. Bilioni 127 Ilikuaje? Yapi yalikuwa makubaliano ya TANESCO na...
  9. Cute Wife

    Zimwi la IPTL ni mfupa uliomshinda fisi?

    Baada ya miaka 11 ya kuibuka kwa kashfa ya Tegeta Escrow mwaka 2014 iliyoihusisha Shirika la Umeme (Tanesco) na Independent Power Ltd (IPTL), sakata hilo limeendelea kuibuka kila mara likija na madai kwa Serikali. Jana Machi 27, wakati Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles...
  10. JanguKamaJangu

    Zitto Kabwe: IPTL ni dude linalofufuliwa kila Awamu

    Soma, Pia: CAG: TANESCO wanadaiwa Tsh. Bilioni 238 na IPTL – Deni la Tsh. Bilioni 111, Tsh. Riba Bilioni 127 IPTL dude linalofufuliwa kila Awamu. Mahakama ilishamaliza suala hili tena mahakama ya rufaa. Kampuni haipaswi hata kuwepo kwenye rejesta ya BRELA. Yeyote anayethubutu kurudisha mzimu...
  11. L

    David Kafulila: Masuala ya Mikataba Mibovu aina ya IPTL hayawezi kujirudia kupitia PPP

    Ndugu zangu Watanzania, Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kubwa sana juu ya mikataba ya Ubia .hasa kwa kurejea majeraha na makovu ya mikataba mibovu ambayo yamewahi kushuhudia yakileta hasara kwa Taifa letu.ikiwepo IPTL...
  12. iptl skanska

    Plot4Sale Plot for sale at IPTL, Skanska Dar es Salaam

    PLOTS FOR SALE Total Size – 4000Sqm Price – 360,000,000 TZS Location – Mtaa (Sala Sala ) Kata (Wazo ) Barabara (Flamingo Road) Wilaya ( Kinondoni ) Title Deed – Under process Residential Purpose Close to Waziri Dorothy Gwajima 3 plots of 1333 sqm can be sold separately for 120M each. serious...
  13. Pfizer

    IPTL inakusudia kwenda mahakamani kushtaki wamiliki, wahariri na wachapishaji wa Gazeti la Mwanahalisi

    IPTL YATISHIA KUSHTAKI GAZETI LA MWANAHALISI Wakili wa IPTL, Leonard Manyama KAMPUNI ya kufua umeme wa dharula ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) inakusudia kwenda mahakamani kushtaki wamiliki, wahariri na wachapishaji wa Gazeti la MwanaHALISI endapo hawataomba radhi kwa madai ya...
  14. Suley2019

    MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

    Lakadiriwa kufikia takribani Trilioni 104 Ni ongezeko la zaidi ya bilioni 600 kwa mwezi Kila Mtanzania anadaiwa karibu milioni 1.7
  15. jerrytz

    Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

    Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited. Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya inayoshughulika na migogoro ya uwezekaji, ICSID yenye makao yake mjini Washington DC, Marekani na ipo chini ya benki ya dunia.Tanesco ilikuwa...
  16. Kinyungu

    Mkataba wa IPTL uliingiwa mwaka 1994 Rais akiwa Mzee Mwinyi

    Nawakumbusha tu kuwa mkataba wa IPTL uliingiwa kati ya nchi yetu na IPTL ya Malaysia mwaka 1994 ambapo rais alikuwa Mwinyi. Rais Mwinyi ni Mzanzibar. cc johnthebaptist
  17. Pfizer

    Wafanyakazi IPTL waendelea kuililia Serikali

    Waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) wameendelea kuiomba serikali iwasaidie kulipwa stahiki zao wanazoidai kampuni hiyo.Wafanyakazi hao walioachishwa kazi 31 october,2018 wamekuwa wakifuatilia stahiki zao bila mafanikio. Wafanyakazi hawa...
  18. figganigga

    Mitambo ya IPTL imeibiwa na jengo kubaki Gofu. Iliwekwa rehani na Herbinder Seth

    Nilishuhudia gari la mwisho lililobeba chuma chakavu kutoka IPTL likikamatwa pale Skansika usiku wa Jumapili 05/03 2023, ambapo watu 3 waliokuwa kwenye gari na Polisi waliokuwa wakilinda Mitambo walikamatwa na Kupelekwa Kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa Maelekezo ya Muliro. Gari lenye mzigo...
  19. Mwl Athumani Ramadhani

    Sisi kama Serikali tuna mipango kazi mingi ya kupambana na mgao wa umeme na sio IPTL pekee!

    Ndugu zangu watanzania Mgao wa umeme unaoendelea ni matokeo ya kupungua kwa kina cha maji kwa vyanzo vyetu tunavyovitegemea KILA mwaka! Ikumbukwe KWAMBA mvua za Msimu wa mwaka 2021/2022 zilikuwa chini 1500mm hivyo kutokujaza ipasavyo nyanzo vyetu VYA umeme kama kidatu,mtera na vinginevyo,Hali...
  20. Suzy Elias

    Tetesi: Seth wa IPTL kuishtaki Serikali ya Tanzania akitaka arejeshewe umiliki wa IPTL

    Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile. Pia, imlipe fidia ya hasara aliyoipata kwa kipindi chote ambacho mitambo yake ilizimwa na kutaifishwa.
Back
Top Bottom