iptl

The International Premier Tennis League (IPTL, officially the Coca-Cola International Premier Tennis League Presented by Qatar Airways pursuant to sponsorship agreements with The Coca-Cola Company and Qatar Airways) is a presently inactive annual team tennis league that takes place in various cities in Asia. Founded in 2013, the elite level exhibition tennis tournament took place for the first time in November 2014. Due to financial issues the tournament was not held in 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. Lusungo

    Tetesi: Kuna kila dalili hii nchi tunarudi kwenye IPTL nyingine

    Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF. Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito. Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL. Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
  2. Replica

    Rais Samia akiri kuwepo upungufu wa umeme, Makamba alisema ni 'scheduled maintainance'

    Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani. Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
  3. U

    Mitambo ya umeme wa Mafuta ikiwemo IPTL kuwashwa

    Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
  4. mshale21

    Wakili IPTL aomba kukiri kosa akamzike baba yake

    Dar es Salaam. Mwanasheria wa kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege, ameiomba tena kufanya mazungumzo na ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) ili akiri makosa yanayomkabili na kwenda kumzika baba yake. Mshtakiwa huyo anakabiliwa na...
  5. Mpinzire

    Kampuni ya PAP yabatilishiwa umiliki wa IPTL

    Mahakama yabatilisha umiliki wa PAP, wakati ikisemekana PAP ndiye mmilikia wa IPTL na kufikia PAP kuiwekea dhamana mitambo yake sasa Mahakama imebatilisha umiliki uo. Je, IPTL ni ya nani? ====== MAHAKAMA ya Rufaa imerudisha kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) chini ya...
  6. gemmanuel265

    Wako wapi viongozi waandamizi wa serikali waliohusika na kashfa ya Tegeta Escrow Account?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, hawa viongozi wa serikali walioruhusu mabilioni ya Tegeta Escrow Account kutolewa Bank Kuu (BOT) kwanini hawajaunganishwa kwenye kesi ya jinai ya uhujumu uchumi inayowakabili James Rugemalila na mwenzie Harbinder Singh Seth, ikiwa wao kama viongozi...
  7. babalao 2

    Ukweli wa Tegeta Escrow!

    Ndugu wanajukwaa, kwanza pongezi juu yenu wote kwa kukaribia kuuaga mwaka 2014. Ndugu zangu nchi hii toka miaka ya 2000+ imepita katika kizazi cha Ulafi kisicho na huruma hata kidogo. Tumeshuhudia Ufisadi wa kutisha usio na mfano wala kipimo kwa wale tuliowaamini na kuwapenda. KWA NINI ESCROW...
  8. Companero

    Kabla ya IPTL na RICHMOND pale TANESCO kulikuwa na...

    "Prior to the completion of the Kidatu project the maintenance problems of TANESCO were exacerbated by the need to run all generating systems at near maximum capacity, in order to meet the demands for electrical power. In fact, that was not entirely successful because TANESCO was forced to make...
  9. Invisible

    UFISADI: The Making Of IPTL

    Nimepitia baadhi ya habari na kuona kuwa hii topic ni nyeti sana na inagusa mengi, kwa nini isijadiliwe: IPTL, ANGLO LEASING YA TANZANIA ISIYOTAMKWA. GAZETI Tando la Pambazuko limebandika ripoti inayotakiwa kusomwa na kila anayeitazama kwa jicho la mapendo ... Who is this guy: Mr. Patrick...
Back
Top Bottom