ipoje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Mishahara ya Lecturers na Maprofesa wa vyuo vya makanisa ipoje kwa wastani ?

    Najua ni kazi ya wito zaidi na mishahara haiwezi kufikia ya wenzao wa vyuo vya serikali ila ningependa kujua estimation / Makadirio Vyuo vya makanisa ni kama Saut Tumaini Mwecau Teku CuoM Ruaha Jordan Askofu Mihayo Stella Maris
  2. Daby

    Nina Takribani Tani 16 za maharage mekundu. Bei ipoje Dar?

    Bei ya jumla. Kuhusu location usiwaze ninaweza kukusafirishia ulipo. Bei ipo vipi mjini Dar?
  3. Dominik Dominik

    Protokali/Itifaki za Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mishahara yao

    Oya wadau Hivi protocal haiuhisiani na malipo ya hivi vyombo? Kwa mfano,Katika vyombo vyote vya ulinzi JWTZ,POLICE,MAGEREZA,TISS,UHAMIAJI,ZIMAMOTO hapo chombo mama(senior force) ni JWTZ then vinafwata POLICE nk kama nilivyoviainisha hapo navovitaja.Mkuu wa JWTZ ndiye mwenyekiti wa ulinzi na...
  4. K

    Hii ipoje kuhusu mwanaume kuwa na kipato ndio aoe??

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu suala la "Wakati gani wa Mwanaume kuoa". Wengi wameenda mbali zaidi na kusema, "Suala la mwanaume kuoa sio umri, bali ni kipato na uwezo wa kuilea familia" Swali: Mwanaume huyo atagundua vipi kuwa kipato chake alichonacho sasa kinamwezesha yeye kuoa?? Ni kipato...
  5. BUMIJA

    Hali ya mazao huko kwenu ipoje?

    Wasalaam. Huku Karatu mahindi yameota vizuri ila mvua hakuna. Ikipita wiki moja hakuna mvua yanaelekea kukauka Sijui maeneo mengine ila hali ya hewa ikiendelea hivi ni hatari.
Back
Top Bottom