ROSE NDAUKA, CASSO WAMWAGANA
Rose Ndauka
MSANII wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na mwanamuziki wa Kizazi Kipya aliyekuwa akimsimamia kazi zake Said Kassim a.k.a Casso wamemwagana rasmi baada ya kutofautiana kimaslahi.
Akizungumza na Za Motomoto, Casso anayetamba na ngoma mbalimbali...