injili

  1. J

    JamiiForums Tanzania Injili na Qur'an ni Neno la Mungu siyo makaratasi yanayoshikika mkononi!

    Ni swala la uelewa tu na wala halihitaji nguvu kubwa wala kutunisha msuli. Ni kwamba hakuna binadamu mwenye uwezo wa kulichanachana au kulichoma moto NENO la Mungu. Kwahiyo tusikuze mambo ambayo kimsingi tulipaswa kuyapuuza. Si vema, busara wala haki kuruhusu mihemko ya kidini isiyo ya lazima...
  2. JamiiForums Tanzania Tunaopenda nyimbo za injili tukutane upendo TV

    Ujio wa hii channel mpya ya upendo TV kwakweli nimeufurahia, zinapigwa nyimbo za injili muda wote. Kwa sisi wapenda nyimbo za injili hili ni la kupongezwa Pia jamaa wanapiga nyimbo zote bila ubaguzi tofauti na wale wenzetu wa j/mosi, hapa naona kabisa wanafanya kile YESU alichoagiza, kutangaza...
  3. JamiiForums Tanzania Mtu aliyelaaniwa kuishi hadi kiama

    Habari Wana JF Nilipenda sana huu uzi ukae jukwaa la Jamii Intelligence Lakini nimeshindwa kutokana na matatizo tunayofanyiwa kule kila uzi ukiuweka unakuwa sio approved na ukizingatia uzi unakuwa hauna shida yoyote, basi wacha tukutane hapa hapa tu. Sasa naendelea na hoja kama kichwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…