ingekuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waafrika kujikuta tunaishi Afrika Wala si Bahati mbaya,ni sahihi kabisa na tena tushukuru

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo inapaswa Tushukuru usiku na mchana! Bara la Afrika ni bara ambalo linaendana sawia na akili ya...
  2. Leo ndîo ingekuwa Siku yangu kufanya usaili lakini utumishi wamenikatili

    Utumishi Wana loho mbaya Sana. Walijua nitapasua. Nimekeleka Sana. bakini na ajila zenu. Mtu amejianda Zake vidhuri hamtaki kuona. Bakini huko
  3. K

    PreGE2025 Kama kweli CCM ingekuwa inabebwa na Tume Huru ya Uchaguzi, tungeshuhudia...

    Kwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia : Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa...
  4. Hivi ndivyo airpot ya bongo ingekuwa kama usingekuwa kuna ulinzi.

    ******
  5. Yanga ingekuwa na dini yakee hata wach tungepiga hela sana

    Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici
  6. IGP Wambura hali ya Usalama nchini ingekuwa Shwari Kibao angeuliwa vibaya na akina Sativa yangewakuta? Huoni Aibu Kudanganya BBC?

    Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako. Hovyo kabisa Wewe na Umetuaibisha sana wana Mkoa wa Mara (Musoma) wote kwa...
  7. Kwa sifa hizi, hata ingekuwa wewe….

    Hata ingekuwa ni wewe, uwezekano wa kuanza kujiona wewe ni mungu, ni mkubwa sana. Unaweza hata kujiona huna kasoro yoyote ile. Unaweza ukajiona wewe si binadamu wa kawaida:-….yaani wewe damu yako ni tofauti kabisa na damu za watu wengine. Labda una damu ya rangi ya njano. Unaweza ukajiona...
  8. Ingekuwa hivi ingependeza sana..

    Habari wadau....Hawa Azam fc walichukulia poa sana CAF champions league mapema tu wamerudi nyumbani, ikiwapendeza sisi Simba watupe Feisal na sillah kwakuwa hata kwenye ligi msimu huu watashika nafasi ya tatu tunashida na hao watu wawili tu kutoka kwao. Nawapa pole wanarudi kinyonge sana
  9. Kama tasnia ya Bongo muvie ingekuwa na wasomi

    Filamu za bongo movie zimekosa mvuto kabisa hii ni kutokana na kutawaliwa na watu wanaoona kipaji ndo kila kitu. In fact kipaji bila maarifa ni kazi bure, Huwezi kuwa na idea za kuteka maskio na macho ya watu wala huwezi kuwa na creativity za kusisimua. Angalia jinsi filamu za kikorea...
  10. Kuna wakati sisi wanawake tulipaswa kuishi maisha haya. Dunia ingekuwa sehemu salama kabisa

    Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu. Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo. Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja. Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One...
  11. A

    SGR ingekuwa Vyema Ingepita Chalinze na Kibaha

    Hii Treni ya Sgr ingepita Karibu na miji Midogo ya Mdaula, Chalinze, Mlandizi na Kibaha Ingekuwa fursa kubwa sana kiuchumi na Watu wengi wangeishi katika miji hii na kufamya shughuli zao Dar es Salaam kwa Urahisi sana Sijui kwa nini Wenye maamuzi hawakuliina hili Hii tabia ya kupitisha treni...
  12. Ingekuwa vipi ulimwengu kama kusingekuwa na dini, dunia bila dhambi kipimo cha uovu nini?

    Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho? Naelewa bado dini zipo lakini maovu yanaendelea, je ingekuwaje kama dini hazikuwepo kabisa? Inamaana maovu yangezidi na hakuna wa...
  13. Naamini Hersi angejibu tofauti sana kama ingekuwa tz

    Jana au juzi Hersi ameulizwa kuhusu Aziz kuendelea kuwepo yanga ama ataondoka na akajibu vema TU kuwa mazungumzo yanaendelea na Aziz bado hajasaini huku jibu lake likionesha wazi kukata matumaini ya kumbakisha jangwani Aziz (kwangu mi sio shida maana ni kawaida wachezaji kupitia tz sababu sio...
  14. Bila shaka madai ya Mchungaji Msigwa kuondoka na Kutimkia CCM ni Yale Yale ya siku

    Friends and Our Enemies, Bila shaka madai ya Mchungaji Msigwa kuondoka na Kutimkia CCM ni Yale Yale ya siku zote ambayo makada wengine wamekuwa wanayatoa pindi tuh wanapoamua kumwaga manyanga,siyo mapya...point ni zile zile ..nakumbuka enzi zile tunasoma history swali likija Majibu ni Yale...
  15. Ingekuwa wewe ungefanya nini kwenye huu mkasa?

    Moja kwa moja kwenye kiini. Jana nimepokea simu kutoka kwa jiran yangu mahali nilipokuwa naishi.Jamaa ni mtu mzima anakaribia 47 ni vile tu anajitunza na hela ya kula haimsumbui kwa hiyo anaonekana kijana ila ni old school na pia alichelewa kuoa kutokana maisha yalimchelewesha. Ana mtoto wa...
  16. Video: Ingekuwa wewe ungefanya nini?

    Mke anampiga Kibao Mama yako mzazi, halafu unaingilia nawewe unapigwa kibao pia. Ungechukua uamuzi gani? 📹 HabariMtandaoni
  17. Yanga ingekuwa na kikosi kama cha Simba msimu huu wangekaribia hata kombe

    Yanga ingekuwa na kikosi kama Cha Simba na hela za Mo hizo hizo anazotoa kipindi kile Simba anachukua ubingwa mara 4 Simba wasingekaribia hata kidogo Hilo kombe Imagine una kocha mzuri wachezaji wazuri udhamini mzuri na unashika nafasi ya 3 kwa vimigogoro vya kutengeneza
  18. L

    PreGE2025 Bila Uwepo wa CCM Madarakani Nchi ingekuwa Imesambaratika na Kugawanyika vipande vipande

    Ndugu zangu Watanzania, Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo wa CCM Madarakani basi Taifa hili lingekuwa...
  19. Serikali ingekuwa mmliki wa real estate nyingi ili kupunguza ujenzi wa ovyo na unafuu wa kodi

    Bado serikali yetu jambo ambalo nafikiri linawasumbua moja ya kukosa mapato makubwa ni real estate ambazo lile wazo la majengo ya urafiki dar es salaam lingeendelezwa lingekuwa msaada mkubwa ya watu kutofikiria ugumu wa nyumba za kupanga. Ni vizuri kuwa mliweka NHC ila yenyewe imekuwa kama...
  20. CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

    Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile. Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…