ingekuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania ya leo ingekuwa vipi kama Kambona angepewa nafasi ya mawazo yake kutekelezwa au kuwa na cheo chenye mamlaka

    Huwa namsikia huyu Bwana Kambona alikuwa ni moja kati ya miamba katika behind the scenes hasa za kutafuta uhuru, tunachokiona baada ya uhuru ni tip of an iceberg, Naskia alianza kuonekana mbaya ila siwezi fikia conclusion maana ni upande moja tu walimsema ni mbaya, so labda zilikuwa ni figisu...
  2. Kama michoro ya watoto ingekuwa kweli😄😄😂

    Imagination za watoto zinatisha na kuchekesha sana walah🤣🤣
  3. Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF/PSSSF) ni hiyari ya mtu je, ungechangia?

    Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (nssf/psssf) ni hiyari ya mtu, je unge-changia...!? 1. Kwanini ungechangia...!? 2. Kwanini usinge-changia..!? 3. Hujui nini ungefanya..!?
  4. B

    Hii kauli ya Mo ingekuwa ni kwa wana Yanga asingekaa

    Hii kauli ya kanjibai kwa wanasimba ingekuwa kwa wana yanga kusinekucha kuachia ngazi. Sema wanasimba hawajali sana wapo wapo tu. Ifike wakati wanasimba tuamke bora timu iwe kama PRISON kuliko kusimangwaaaa
  5. Kama tukio hili lingekuwa Jijini Dar Es Salaam hawa askari wangekuwa na kazi?

    Kelele huwa ni nyingi sana pale inapoonekana chombo cha usafiri hasa wa umma pale jijini Dar kujaza abilia kupita kiasi. (Kwa wasio na bundle)👇🏾 Baada ya kupita mitaa fulani nikakutana na tukio hili, hapo ni China na hiyo ni treni ya mapema sana kutoka mji A kwenda mji B. Kutokana na wingi...
  6. Kuna baadhi ya maeneo ya nchi fulani ingekuwa inawezekana ningewashauri wauzie hata nchi jirani wagawane fedha

    Nchi nilipo sasa hivi kweli Ni kubwa lakini watu waishio huku wanapata tabu maji shida, barabara taabu, Afya shida, umeme ndo kabisa ukiwauliza habari ya matumizi ya gesi ya kupikia hawaelewi kabisaa. Jamani kuna maeneo bado loh! Picha nimekatazwa kupiga.
  7. Tanzania ndiyo ingekuwa Norway tungekufa tunajiona

    kuna nchi japo na ufinyu wao wa rasilimali kama ardhi ila wanatumia walicho nacho kwa akili zao wote. Nchi ya norway kuna season inakumbwa na giza saa 24 yani hujui usiku wala mchana na muda mwingine jua linawaka usiku sio mchana. Baridi ni kali sana ila wanajitahidi nchi yao kufika mbali...
  8. R

    Kwa Mfano Ndege iliyoanguka ingekuwa ni Ndege ya Adui kutoka Taifa jirani ingechukua Muda gani kukabiriana nayo?

    Wakuu nimejaribu kuwaza kiusalama zaidi. Mungu si athmani hii iliyoanguka na kuchukua muda mrefu kuokolewa kama ingekuwa ni ndege ya kivita kutoka kwa maadui wetu jirani. Kwa mfano lakini. Ingechukua muda gani kukabiriana na adui huyo? How fast is our rapid response teams for any aspect of...
  9. Ingekuwa wewe ungelipia?

    Hiki kisa hakikunitokea mimi ila mtu wangu wa karibu though sio sana. Kv aliopoa chura fulani mweupe mwenye wowowo, nadhani ni mwanafunzi wa Mlimani na kwenda naye guest house. Baada ya kujiridhisha kuvutiana appetite, Kv akamuomba mwanamke cd then wakaanza mechi. Kv akiendelea na ukunaji...
  10. Baada ya video ya "Nikupe nini" ni muda sasa wa kutoa video ya "Ingekuwa vipi"

    Nmefurahi sana baada ya Mandojo na Domokaya kuamua kufanya video ya wimbo wao wa nikupe nini. Wimbo unazaidi ya miaka 19 ila bado unaishi, Kwa kuutengenezea video leo itasaidia kuwaingizia kipato. Maana muziki wa sasa pesa, siyo mpaka kufanya tamasha tu. Pia itawajengea kufahamika na kizazi...
  11. Hao ni vipers vipi ingekuwa RS berkane au Al masry ya misri?

    Najiuliza tu mechi ya Leo vipi ngekuwa ni caf champion league,.yanga walishapigwa tayari ,
  12. N

    Picha: Natamani hii ndio ingekuwa jezi ya Simba. Kali sana

    Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
  13. CHADEMA haipo hai kama mnavyojidanganya. Ipoipo tu kama ilivyo ili kutimiza matakwa. Kama ipo hai ingekuwa na nguvu ya umma

    Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao. Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii. Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii. Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo...
  14. Je ingekuwa ndio wewe ungefanyaje?

    Usikubali kutoa jibu pekeako😅😅😅 mi nasema nisingewapelekea bana si nimeshakula mboko zao!! Hii hela kesho yake naenda kuila na Joanah kimya kimya mtaa pili
  15. M

    Tanzania ingekuwa na 'Serious Opposition' hili la Wafanyakazi kufanywa Mazuzu wa kutopandishuwa Mishahara ingekuwa ndiyo Turufu yao kuingia Ikulu

    Yaani Matapeli ( wa Vyeti Feki ) wanapewa Vipaumbele kisha Wafanyakazi kila mwaka wanafanywa tu Mazuzu na bahati nzuri hata na Wao wamekubali kuwa Mazuzu kwa Gharama za Kuwaweka Wanasiasa Waigiza Filamu Madarakani. Kuna Bomu Kubwa tumeshalitengeneza ndani ya Watendaji wa Serikalini kutokana na...
  16. Rais Samia: Hata Washington umeme unakatika ingekuwa Tanzania, Makamba angetukanwa

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
  17. Kwa wanaopenda mashepu: Je, huyu ndiyo ingekuwa umeweka ndani ingekuwaje?

    Mambo zenu? Huyu ni mdada wa Kisauzi ambaye aliuzika huko London na Ufaransa na baadaye akafia Ufaransa. Ila je, kama hii kitu ni yako ungeichunga au ungeifanyaje? ----- Soma: Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa
  18. Mama Ndie Amesababisha Dreamliner Kuingiza Hasara ya Billionii 23.6

    Habari za mda huu wadau. Kutokana na report ya CAG wakati ndege zingine zikitengeneza faida Dreamliner zetu zimeliingizia hasara ya Billion 23.6 shirika la ATCL. Sote tunajua ni kwanini hizi ndege mbili zimiingiza hasara hivyo Kichele usitudanganye sema tu ukweli kuwa ni safari za Chief H...
  19. N

    Ingekuwa Mo Dewji kadhulumu kiwanja wachambuzi makanjanja yangeshuka naye jumlajumla

    Pongezi sana kwa club ya simba kwa kukataa kutoa bahasha za khaki kwa haya MACHAMBUZI FEKI yenye njaa hadi kwenye unyayo..akili zao ni kisoda sana .... Najaribu kupata picha kwamba Mo Dewji ndiye ana kesi ya kiwanja na Daud Bashite sijui ingekuwaje huko Ukanjanjani, redio zingewaka moto kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…