Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ??
Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga...