Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imepanga kupokea fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia Chama cha ACT Wazalendo siku ya Jumamosi, Septemba 13, 2025, saa nne asubuhi, katika ofisi za tume jijini Dar es Salaam. Wagombea waliopendekezwa na chama hicho ni Luhaga...