inavyofanya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    Ninadhani RC Mtambi anatakiwa ajifunze zaidi kuhusu sekta ya utalii inavyofanya kazi

    Binafsi ninaona RC Mtambi kuna mambo hajui kuhusu utalii na jinsi gani hii sekta ina umuhimu kwa taifa hili. Hizi amri zake zinagusa mambo mengi sana kitaifa na kimataifa. Sio kauli za kidiplomasia.
  2. aise

    Kwa jinsi ICC inavyofanya kazi, wahusika wa mauaji ya Oktoba 29, 2025 hawatafikishwa kwenye hiyo mahakama

    Habari za jioni wakuu! Mauaji yaliyotokea October 29 2025 hapa nchini, wengi wetu matumaini ya kupata haki yako ICC, ila kwa jinsi mahakama hiyo inavyofanya kazi, ni ngumu kupata haki huko. Kwanza ICC haina 'Jeshi wala Polisi' Inategemea majeshi ya nchi husika kumkamata mtu, sasa kwa jeshi...
  3. I

    Ivii Umewai kujiuliza Internet Shutdown Inavyofanya Kazi Yaani kujiuliza Kwanini ghafla unakuta WhatsApp, Insta au net nzima Imekata Internet Shut

    Ivii Umewai kujiuliza Internet Shutdown Inavyofanya Kazi Yaani kujiuliza Kwanini ghafla unakuta WhatsApp, Insta au net nzima Imekata Internet Shutdowns ni moja ya silaha ya serikali nyingi za Afrika. Hii siyo net tu kukatika, ni maamuzi ya makusudi kudhibiti taarifa au kukata mtiririko wa...
  4. S

    Jinsi ya Kuanzisha App na inavyofanya Kazi

    Kwema Wakuu, Kuna idea nimeipata nahitaji kuianzishia APP. Sasa utaratibu ukoje? Naanzia wapi? Kuna vibali labda? Kama vipo naviombea wapi? Na kuna gharama? Kias gani kama zipo? Na kama App yenyewe itakua watu wanaingia free, Mimi nitalipwa na nani kwa uingiaji wao huo ukiacha matangazo ya...
  5. Scared

    Wakuu naomba kuelekezwa jinsi compound interest ya M wekeza inavyofanya kazi

    Nimewekeza kwenye kampuni ya sanlam ambayo imeungana na Vodacom Na kuita jina M Wekeza Sasa nilitaka kujua pale kwenye hii huduma nikichukua asilimia na pesa zangu ninazoweka Kwa mwaka wananimetea kiasi Fulani ambacho nataka kujua he hicho kiasi ndio kimejumuishwa na compound interest au ni...
  6. 888I

    Deep State: Dhana Yake, Namna Inavyofanya Kazi

    Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema mtandao huu umekuwa ukijitokeza mara kwa mara tangu mwaka 1995, na mara nyingine hufanikisha...
  7. W

    Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  8. Youbettersleep

    Wengi hawajui maana ya CHATGPT na inavyofanya kazi. Soma hapa

    CHATGPT inasimama kwa "Chat Generative Pre-trained Transformer." Hii ni teknolojia ya akili bandia inayotumika kutoa majibu ya mazungumzo, kama vile tunavyozungumza sasa. Inategemea mafunzo yaliyofanywa kwenye data nyingi za maandiko ili kujua jinsi ya kujibu maswali na kujenga mazungumzo ya...
  9. Narumu newz

    Mifumo mitano ya ulinzi wa anga ya Israel inavyofanya kazi

    Israel imetumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kukabiliana na mashambulizi ya makombora na droni katika miezi ya hivi karibuni. Imeshambuliwa na Iran, Hezbollah kutoka Lebanon, Hamas kutoka Gaza na waasi wa Houthi nchini Yemen. Marekani imepeleka mfumo wa kukabiliana na makombora ili kuimarisha...
  10. Huihui2

    Jinsi Akili Mnemba(AI) inavyofanya kazi

    Akili mnemba (AI) inafanya kazi kwa kutumia mifumo ya kihisabati na michakato ya kompyuta inayoweza kufuatilia na kuchambua data nyingi kwa haraka. Hapa kuna vipengele vya msingi vinavyofanya akili mnemba iweze kufanya kazi: 1. Mafunzo ya Awali (Training): AI inafundishwa kwa kutumia data...
  11. Kalamu Nzito

    Kuna Mwenye Uelewa au Uzoefu na Namna UFANDAO Inavyofanya Kazi?

    Habari wana JF Mimi ni jobless wa muda mrefu na nimeona nitafute njia za kupata mtaji nifanye project niliyonayo kichwani. Kuna mtandao unaitwa UFANDAO kwaajili ya ufadhili kutoka kwa watu mbalimbali endapo watashawishika na wazo lako. Kuna mwenye uelewa na namna inavyo-operate anipe hints...
  12. M

    Bado mnashea umeme? Ijue prepaid submeter inavyofanya kazi

    Kwenye nyumba zetu tunazoishi au maeneo mbalimbali ya biashara, changamoto ya umeme wa kushea ni kero kubwa kutokana na kutegemea mfumo wa kushea mita moja ya umeme (LUKU). Katika mfumo huu ni ngumu kutambua matumizi ya umeme kwa mtu binafsi, ni ngumu kudhibiti matumizi ya umeme kwa mtu binafsi...
  13. William Mshumbusi

    Naomba kujua Jinsi Toyota Alphard Hybrid inavyofanya kazi na Ubora wake

    1. Je, ni full hybrid? 2. Inaweza kutembea kwa betri engine ikiwa iimezima. 3. Fuel conception ikoje.
  14. BARD AI

    Ufafanuzi kuhusu Bima ya Afya kwa wote itakavyokuwa

    Wizara ya Afya, imetoa ufafanuzi wa maswali yaliyokuwa yakiulizwa mara kwa mara na wananchi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote. Muswada huo umeshafikishwa Bungeni na Oktoba 19, Kamati ya Kudumu ya Bunge Huduma na Maendeleo ya...
Back
Top Bottom