Nyumba nzuri saana.
Nyumba nzuri ya Kisasa Inauzwa milioni 190 maongezi yapo.
IPO GOBA MAJENGO - Dar es salaam - Tanzania
Ina Vyumba Vinne vya Kulala Vyumba viwili ni self Conteinard
Stady room
Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen
Store
Public toilet
Ukubwa wa kiwanja: sqmt 844...
Huo ndio ujumbe wenu. Mbuga, bandari, maji, na kila kitu wameuziwa waarabu, sasa dhahabu nayo watagawiwa waarabu maana watapewa kwa bei ya kutupa kama walivyopewa vingine!
Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta.
Sifa za Nyumba:
*Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio.
*Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master.
*Huduma zote za kijamii zipo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1833.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 900...
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
Habari maboss
Nyumba ya Zamani inauzwa msasani mwisho. Nyumba inatazama barabara ya mtaa.
Mtaa wa pili kutoka BAHARINI
Sqm 425
Document offer ya Kazi
BIlion 1
KWA hitaji la kuona eneo
Nipigie simu nikupeleke ukazungumze na wahusika wakuu.
0754693556
Habari maboss
Nyumba inauzwa Msasani karibu na kituo cha standi ya daladala.
Kituo kinautwa macho bila Shaka ni standi maarufu sana msasani.
Nyumba inaangalia barabara ya Lami.
Kiwanja cha nyumba ni skwata.
Hakuna mgogoro wowote
Bei ni milion 500
Kwa maongezi ya Bei utaongea na wenye...
Habari,
Nauza Starlet, gari ipo katika hali nzuri sanaa, haina changamoto yoyote. Atakayenunua ni kutia mafuta na kuanza safari.
Nko Dodoma, naomba mnunuxi wa moja kwa moja, ili kupunguza madalali.
Mawasikiano 0713366393
Ofa ya Viwanja Kibaha Kwa Mathias Kidenge B
Vipo vya umbali wa km 4-kutoka kituo cha Mathias Lami
Vipo vya Km km 6-Kutoka lami
Nipazuri sana na huduma zote za kijamii zimefika
Bei Ukubwa kuanzia:
*million 2 ukubwa 16×13
*Milion 2.5 ukubwa 15×16
*Milion 3 ukubwa 15x19
*Milion...
NYUMBA INAUZWA 10M – BAGAMOYO ZINGA, MTAA WA KISHUA BAGAMOYO ROAD UPANDE WA BAHARINI
Nyumba 2 bedrooms, (no doors, windows, flooring), plot 21×19 (≈400 sqm) Bagamoyo – Zinga. Karibu na barabara umbali wa kutembea mtaa una MAJI, UMEME NA NEIGHBORHOOD NZURI, plot 21×19, hati tayari
Bei: 10M cash...
📍 Kimara Mwisho – Dar es Salaam
💰 BEI: TZS MILIONI 800
🚫 Hakuna Udalali • Mauzo ni ya Mmiliki Mwenyewe
🏫 *MAELEZO YA MUHIMU KUHUSU NDANI YA SHULE (DAYCARE )
Eneo linauzwa likiwa ndani ya uzio (fence) na lina miundombinu yote ya kisasa:
✔️ Madarasa ya kisasa kwa matumizi ya Daycare
✔️...
Nyumba ipo kibaha visiga madafu.
Nyumba Ina vyumba 5 vya kulala,viwili master bedroom.
Nyumba Ina mabanda makubwa ya kuku,ya mbuzi na ng'ombe.
Ina nyumba ya wafanyakazi.
Kuna kisima kikubwa Cha maji,na maji dawasco pia yapo.
Ukubwa wa eneo eka Moja.
Kuna fence.
Ina hati ya wizara(title deed)...
Salam wadau.
Nauza pikipiki aina ya Honda Ace 125 almaarufu kama honda manji.
1).Pikipiki ni nzima ina engine yake original.
2.)Kadi ipo
3).Bei inazungumzika
4).Mahali-ipo Ifakara Mjini.
Niweka picha,kwa maulizo zaidi nicheki DM tufanye biashara.
Kwanza nitafafanua maana ya Taifa kuuzwa
Ni Taifa ilo kupuuza matakwa ya wananchi wake na kufanya kazi wa faida ya kikundi kidogo Cha watu au nchi nyingine kwa maslahi yao binafsi na sio (Umma) watu wake.
Kama haijauzwa kwanini watawala hawasikilizi malalamiko ya wengi(Umma)
Kwanini kila kitu...