inauzwa

  1. Compressar 150l inauzwa kigamboni

    Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote. Bei 950,000/= Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
  2. INAUZWA Compressor 150l inauzwa Kigamboni

    Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote. Bei 950,000/= Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
  3. INAUZWA Camera mpya Canon 5Dsr inauzwa kwa bei ya sikukuu

    Professional Camera, Canon EOS 5Dsr inauzwa ikiwa imetumika mara 2 tu tangu inunuliwe mwezi uliopita. Bei: 6.5m Location: Tabata, DSM. Package includes lens ya kisasa (24-105), Speedlight, stand, batteries na chargers zake. Camera bado ni mpya. Haina tatizo lolote.
  4. Kilo moja ya Ruby inauzwa TZS billion 657

    Kilo moja ya rubby inauzwa TZS billion 657 CONVERSION OF CARAT TO GRAMS 1 carat = 0.20 grams Therefore 8400 carats -=420 grams= 0.42 kg Hii rubby haifiki hata nusu kilo, lakini bei yake ni billion 276. Kwa hiyo kilo moja ya rubby inauzwa billion 657 Source: Ruby yenye thamani ya bil 276...
  5. W

    Used Pioneer Amplifier 1000watts inauzwa

    Original imenunuliwa Nje na imetumika kwa mda mfupi.Bei yake ni Shillingi 350,000.Kama unauhitaji tupigie simu au tuma meseji namba 0742662669.Napitikana Dar es Salam Mwananyamala Komakoma karibu na CRDB bank
  6. INAUZWA Stationery Inauzwa

    Stationery Inauzwa. Bei 2,500,000 (Hakuna Punguzo). Stationery Ipo Mwanza, Jirani na chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino. Stationery ipo katika eneo zuri sana na inawateja wengi sana. (Sababu za kuuza ni mwenye nayo kukosa usimamizi). Ndani kuna vitu vifuatavyo: 1. Computer 1 2. Printer 2...
  7. J

    House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa Dar-Es-Salaam - Kigamboni maeneo ya Dege

    Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu. Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja ni Square Meter 947 na...
  8. INAUZWA Feni ya juu inauzwa

    Feni inauzwa Brand:Evernal Bei: 50000/= Piga simu no: 0653499987 Mahali: Dar es salaam - Gongo la mboto
  9. Phone4Sale iPhone 11 plain inauzwa 900,0000

    Simu inauzwa Laki 9 Brand ni Iphone11 plain Ni mpya imetumika miezi 2 tu! Mahali ilipo ni Mbezi Mwisho Dar es Salaam Mawasiliano - 0688986066
  10. Phone4Sale iPhone 8+ GB 64 inauzwa. Used for 3 moon only

    Imetumika miezi mitatu tu Gb 64 Afya ya Betrii: 100% bei elekezi: 600,000 0713096076, Chamanzi, Dar es salaam
  11. LENOVO LAPTOP X131e INAUZWA

    Lenovo X131e HDD 500 CHARGE 3HRS PRICE 200K FIXED CONT; 0766345199 IMETUMIKA MIEZI MINNE(4)
  12. Car4Sale Scania semitrailer inauzwa

    Habari wakuu, gari ya kazi inauzwa Make: Scania Model: 114L-380 Trailer: Continental Axels: BPW Double lala Bei: 75M (vyote horse na trailer) Location: Dar Gari haina tatizo lolote ndio imerudi toka Congo. Ukitaka kukagua na mazungumzo nipigie 0755963775
  13. House4Sale Jengo la ghorofa inayosubiria kupauliwa tu! Linauzwa milion 120 - madale njia panda

    NYUMBA YA GHOROFA INAYOSUBIRIA KUPAULIWA TU! INAUZWA -* ( MADALE NJIA PANDA YA NGUZO MTAA WA NYUMA YA KITUO CHA POLISI MADALE) Ni nyumba yenye eneo kubwa na mchoro wa kisasa kabisa"( Jumla ya vyumba 5) BEI ELEEZI NI 120M (million 120 za kitanzania) "Ila mazungumzo ya kina yapo..Karibu...
  14. Chapati yapanda bei Himo Kilimanjaro, moja inauzwa shilingi 500

    Hii ni hatari! Kitafunwa pendwa kwa Watanzania nikimaanisha chapati kimepanda bei ghafla isivyoelezeka! Mfano hapa njiapanda ya Himo muda huu chapati tena kwa mama ntilie wa kawaida inauzwa 500! Kwenu studio.
  15. Phone4Sale Huawei P20 Lite inauzwa

    Hello jf,nauza huawei P20 lite Storage 128GB RAM 4GB NETWORK 4G/H+ Colour right gold IMEI 05 CPU 659 Screen size 2280x1080 EMUI 8 Price:350,000/-..but it is negotiatable Contacts:0759-124378
  16. Computer4Sale Laptop HP inauzwa TShs 300,000 Arusha

    Laptop HP processor intel core i5 2.5ghz ram 4gb HDD 500gb. Inafanya kazi vizuri. Note: Tatizo lake haikai na chaji hivyo betri sio nzuri Ipo Arusha Piga simu 0765390225 au 0652494919
  17. INAUZWA Pikipiki inauzwa

    Aina haojue,bado ipo kwenye upya wake. Ipo kibaha,kokote inafika. inafaa kwa biashara ya Boda Boda au binafsi. 0693135215 Milioni moja na laki mbili
  18. Car4Sale Gari inauzwa

    Gari imenyoka haina tatizo lolote. Bei Milioni 4 Lilipo dar es salaam. Call 0742141467 au 0686648630
  19. Phone4Sale Phone for sale: Simu inauzwa Huawei Y7 Prime 290

    Habari wapendwa, Nauza simu yangu aina ya Huawei Y7 Prime Internal GB 64, Ram GB 4, battery capacity 4,000 MAh. Bado mpya kabisa Bei yake ni 290k (laki 2 na 90) pamoja na Charger yake Kama unahitaji piga simu namba 0676258343.
  20. Phone4Sale Used Redmi 9C for sale

    Ram 3gb Rom 64gb Bei 270k. Nimetumia miezi 6, haina tatizo lolote. Iko na box lake. Ukihitaji njoo PM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…