INAUZWA Camera mpya Canon 5Dsr inauzwa kwa bei ya sikukuu

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,433
7,055
Professional Camera, Canon EOS 5Dsr inauzwa ikiwa imetumika mara 2 tu tangu inunuliwe mwezi uliopita.

Bei: 6.5m
Location: Tabata, DSM.

Package includes lens ya kisasa (24-105), Speedlight, stand, batteries na chargers zake.

Camera bado ni mpya. Haina tatizo lolote.

IMG_20220421_224517_477.jpg
 
Mchanganuo kwa wanaoulizia PM kuhusu uwezekano wa kununua kifaa kimoja kimoja ni kama ifuatavyo:

1. Lens - 2m
2. Body - 4m
3. Stand - 200k
4. Speed light - 300k
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom