inauzwa

  1. L

    JamiiForums Tanzania NISSAN JOURNEY INAUZWA KWA BEI NAFUU MNOOOO (11,350,000/=)

    HABARI JAMII FORUM --Gari aina ya Isuzu Journey inauzwa na Benki kwa njia ya Mnada. --Sababu ya kuuza ni, mdaiwa ameshindwa kurudisha mkopo katika muda aliopangiwa hivyo mali zake zimekamatwa zinauzwa kufidia deni. -MAWASILIANO: 0679781081 (Simu/sms), 0784379396 ( Whatsaap only) -Email...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Office inauzwa ipo kwenye location nzuri

    Library ya movies za kutafsiriwa na zisizotafsiriwa inauzwa ipo mabibo NIT chuo cha usafirishaji, library ipo barabarani kabisa, unaweza kukaa mwenyewe au unatafuta kijana ukamuweka kuingiza 30,000 mpaka 45,000 kwa siku ni jambo la kawaida mnoo, office ni banda la mbao nzuri ujihitaji nitafute...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Hekari 1.5 inauzwa Kiluvya Gogoni

    Hekari 1.5 inauzwa kiluvya gogoni milion 250 ipo mita 400 kutoka lami Morogoro road ■Huduma zote za kijamii zipo kama umeme na maji ■Kuna kiwanda cha tofari kinafanya kazi hapo ■Hati ya mauziano ni hati ya wizara title deed ■Panafaa kwa apartment nyumba za kupangisha au lodge na hotel 0675...
  4. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa

    Mashine imeuzwa
  5. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa ipo Madale Kwa Kawawa

    Nyumba inauzwa ipo madale mil 70, Kwa Kawawa, Ipo umbali wa km 1 kutoka barabara lami, Kiwanja kina Sam 650 na kimeshawekwa bikoni, Nyumba ina vyumba 3 vya kulala 1 master na public toilet 1, sitting room1, dining room 1 na jiko 1 0656077998
  6. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Goba

    Nyumba ipo umbali wa km 1 kutokea Goba centre, ina kiwanja chenye ukubwa wa sqm 462, nyumba ina vyumba 3 vya kulala, sebule 1, dining jiko stoo na vyoo 2 0656077998 Inauzwa 90mil
  7. JamiiForums Tanzania INAUZWA Fridge inauzwa (imetumika kidogo)

    SOLD
  8. 0

    JamiiForums Tanzania CPU Inauzwa Dell Omniplex 780

    Natumaini mko poa. Mimi nauza CPU yenye jina Dell Omniplex 780 Intel cup duo 3.06 GHZ, 6.0 GB RAM na HDD 210. Hii ilikuwa inatumika ofisini Bei sh 150,000 Imerumika miezi kadhaa tu Piga hii namba 0769308197. Hii alikuwa anatumia mume wangu. Ameniambia nimsaidia kuuza kwa niaba yake. Hizi...
  9. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari inauzwa Nissan Patrol

    Nissan patrol Engine D 45 Ac Available Fully working Halogen Lights Tsh 16,000,000 haina shida yyte Maongezi yapo🙏 0774446553 Location Arusha
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Kibamba: Shule ya Msingi Inauzwa - Dar

    • Ipo Kibamba Mwisho • Ukubwa wa eneo ni ekari 4 • Ina hati miliki • Imesajiliwa • Inauzwa TZS bilioni 1.2 . ✓ darasa 1-7 ✓ inatoa huduma ✓ ni ya kutwa ✓ ina maabara na jengo la ofisi ✓ ina kiwanja cha michezo ✓ eneo kubwa limebaki linaweza kutumika kwa maendeleo mengine . • In Real...
  11. JamiiForums Tanzania Tshirt hii ya Yanga inauzwa 85,000/= ina ubora mzuri

    Tshirt hii alivaa GSM siku ya mwananchi. Ikawa gumzo, mtaani wakasema ni bei. Jamaa yangu kaenda kuinunua kauziwa 85,000 na risiti halali ya EFD kapewa. Mambo mazuri yanahitaji pesa!
  12. E

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  13. JamiiForums Tanzania Phone4Sale iphone X inauzwa Dar es salaam goba

    habari, nauza simu yangu ,iphone x yenye specs zifuatazo 64gb camera kali sana battery health 77 true tome ipo officiall iphone
  14. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Exercise bike / baiskeli ya mazoezi inauzwa laki 2. Wapenda gym na wenye wazee wa mazoez karibuni

    Habari. Nauza baiskeli ya mazoez. Baiskeli ni used sio brand new. Haina tatizo lolote Bei laki 2 tu. ( fixed price)
  15. JamiiForums Tanzania House4Sale City Center: 4th Floor 3 Bdrm Apartment Inauzwa - Dar

    • Direction: Kisutu • Document: hati • Price: TZS milioni 200 . ✓ ni ghorofa ya 4 ✓ ina lift ✓ inauzwa bila samani (unfurnished) ✓ vyumba master 1 & kawaida 2; public washroom; sebule; jiko lenye makabati; balkoni ✓ feni za juu; maji moto bafuni; madirisha vioo ✓ wafanya usafi nje na ngazi ✓...
  16. JamiiForums Tanzania Mota ya kusaga mahindi inauzwa

    Habari Mota ya kuzungusha machine ya kusaga mahindi inauzwa. Mota hii ipo kibaha mkpa wa pwani. Ina Hz 50. Bei sh 1..8m. Anayehitaji karibu. 0758308193
  17. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa kibaha mwenda pole

    Nyumba inauzwa ipo kibaha mwenda pole. Si mbali na barabara kuu iendayo dar es salaam. Ina vyumba 3 master 2 single Moja Ina sitting room dining room jiko store umeme maji mabanda ya kuku ya kisasa Ina tiles na madirisha ya aluminum. Ukubwa wa eneo ni hatua 20 Kwa 60. Bei ni sh milioni 80 Tu...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Howo tipper 371 used inauzwa

    Howo tipper 371 used inauzwa, ni used kutoka China ina Hali Nzuri Sana, Karibu ofisini kwetu Kurasini opposite na diplomatic college, Pia utapata offer ya kufanyiwa service ya truck Kwa mwaka mmoja Karibu sana. Price: million 127.5 ☎️0715 128 827
  19. JamiiForums Tanzania Samsung Note 9 Inauzwa

    Habari wakuu. Samsung note 9 ipo sokoni ila ina shida ya kioo kinahitaji kubadilishwa. Storage 128GB Ram 6GB Bado ipo kwenye clean condition ukiacha kioo tu. Bei ya kubadilisha kioo ni 170k Bei 90,000 0757 444 844.
  20. I

    JamiiForums Tanzania Vitz old model inauzwa bei mil 2

    Vitz old model inauzwa 1. Milango 5 2. Cc990 3. 1SZ FE engine 4. Haina deni, bima imelipwa 5. Engine ina kipengele, inarekebishika au inafaa kwa mswaki. Mimi nna gari nyingine 6. Bodi zima. Picha imewekwa apo, for serious business nicheki inbox
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…