inachukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini inachukua muda mrefu kutoka oral hadi placement? Nadhani watu wapewe kwanza matokeo ya oral kwenye akaunti zao halafu wasubiri PDF

    Kwanini inachukua Muda mrefu kutoka oral Hadi placement? Nadhani Kwanza watu wapewe matokeo ya oral kwenye akaunt zao alafu wasubir PDF.
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kwenu watu wazima mliovuka miaka 30, kuna ukweli kwamba inachukua miongo mitatu (miaka 30) akili kupevuka ?

    NB: nazungumzia akili ya maisha na sio pesa, elimu ya darasani, cheo, kuoa, n.k. hivi vitu hata kijana mwenye 18 anaweza kuwa navyo lakini AKILI bado haijakamilika kupevuka. Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao...
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni kiboko, Rufaa inachukua miaka miwili kusikilizwa!

    Ni lazima Msajili wa vyama vya siasa nchini aingilie Kati suala hili. Hawa akina Halima Mdee na wenzake wamesubiri takribani miaka miwili Rufaa zao kusikilizwa hii si sawa kabisa. Mambo kama haya huwezi kuyaona CCM
  4. The Transporter

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kwa NECTA kutoa certificate za O-level

    Kama mada inavyojieleza hapo naomba kujua wastani wa muda ambao NECTA wanachukua KUTOA certificate kwa mwanafunzi ambaye anastahili kupata?
  5. sanalii

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kupata mzigo uliofika katika FedEx's local facility?

    Mzigo umefika katika ofisi za FedEx local facility, cha ajabu tracking inaonesha utakua delivery tar 4 mwezi wa pili, zaidi ya siku kumi na tano mbele, nami nataka nisafiri, namba za simu hawapokei, naomba mwenye uzoefu anipatie
  6. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Matokeo yakiwa hivi inachukua muda gani hadi kuachiwa?

    Mwenye kufahamu anisaidie
  7. Kapepo

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kubadili jina kutoka NIDA?

    Habari wakuu, Naomba kuuliza hivi inachukua muda gani katika kubadirisha jina la kwenye kitambulisho cha NIDA ikiwa ushafata taratibu zote ikiwemo, Deed poll, tangazo la gazeti na kulipia elfu ishirini NIDA, je naweza subiri ndani ya muda gani hadi wabadirishe jina langu kwenye database yao...
Back
Top Bottom