ili

Ahupuaʻa (pronounced [əhupuˈwɐʔə]) is a Hawaiian term for a large traditional socioeconomic, geologic, and climatic subdivision of land. It usually extends from the mountains to the sea and generally includes one or more complete watersheds and marine resources. The predominant traditional system in the eight high islands of the main Hawaiian Islands was based on the ahupuaʻa. Each ahupua‘a contained a cross section of island resources and they were managed within a complex social system associated with each area. The general belief is that each ahupua‘a met the needs of the local population, with excess for tribute and trade.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO Mfumo wa SIS unatumiwa na Wakuu wa Shule kujaza wanafunzi hewa ili wapate hela

    Mfumo wa SIS (School Information System) unatumika na Wakuu wa shule kujaza wanafunzi hewa (walioacha shule/kufukuzwa/wasioripoti) wote wanawekwa na hawaondolewi kwenye mfumo ili wapate hela nyingi kupitia mfumo wa FARRS. Wengine wanaenda mbali zaidi, wanawachangisha wazazi michango ya walimu...
  2. Wameshindwa kukusanya kodi ili watengeneze barabara, sasa wanampango wa kuanzisha tozo za barabara.

    Tozo ya barabara.why?👇
  3. M

    Ndio maana Muumba wetu akatupa muongozo (Katiba) tuufate dunia nzima ili kuepusha haya yanatokea duniani

    Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze. Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla. Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi...
  4. Nina 800k tu nifanye biashara gani ili izalishe? Niko DSM

    Wakuu, Nimetunza hadi nimefikisha laki 800,000/= hadi sasa na bado najiuliza nifanye biashara gani kulingana na kipato nilicho nacho. Kazi niliyonayo iliyonipa hiyo 800k bado niko nayo na nataka niingie kwa biashara sasa.
  5. M

    Art of politics in Africa: bana pesa na miradi ili wananchi waone maendeleo ni fadhila sio haki yao, kisha wabaki wanyenyekevu kwa viongozi na mamlaka

    Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
  6. Hii nchi imepitia mengi sana, kuna wakati wasabato walivamia airport ili wapande ndege bure ili wakaende kuhubiri kwenye mataifa ya nje

    This was 2008.
  7. Kama Twaha amekamatwa basi Hilda Newton ni vizuri ukabadili location au ukajileta mwenyewe kumuangukia Bi. Kizimkazi

    Hamjambo! Ni ngumu kumkamata mwanamke kwa sababu vishawishi vya mwanamke nje ni vichache ukilinganisha na sisi wanaume. Mwanamke anauwezo wa kukaa na kujichimbia ndani kama akipewa mahitaji ya msingi mfano chakula, bundle la internet na kifurushi cha Luninga. Ushuani wanawake wanaweza kukaa...
  8. Mzee Salim: Waandishi wengi wanajipendekeza ili kupata teuzi.

    Hii lina ukweli ndani yake👇
  9. A

    DOKEZO TRA Custom office Makambako wanalipisha TZS 150,000 kwa Kontena la Parachichi kwa ajili ya kufungiwa export seal

    Habari, Sisi Avocado Exporter tuko na changamoto ya muda mrefu sana. TRA Custom office Makambako wana charge kiasi cha TZS 150,000 per Container kwa ajili ya kufungiwa export seal kwa transit shipment zinazopita Mombasa port. Kama haujalipa hii ela, container yako haifungwi seal na inawekwa...
  10. Sisi wasomi/wanazuoni tutautumia mgomo wa kutokula wa Lissu kama Case Study ili tuone mtu anakufa baada ya siku ngapi akikaa bila kula

    Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026. ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku...
  11. Unahitaji kufa kabla hujafa, ili uweze kuishi.

    Binafsi Nime undergo many circles of change, ila naona kabisa bado. Kuna time, inabidi u let go of the old version ili a new you awe born. Yaani kuna time, inabidi u empty out all the things uko attached to, ili uweze kuanza upya. Hauwezi kubadilika kama nervous system yako bado inamuwaza...
  12. K

    Taifa haliwezi kujenga imani ya kudumu kwa kuwarubuni kwa matukio ya kisiasa. Ili watu wasahau maswali ambayo ni magumu na hayajawahi kupatiwa majibu.

    Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
  13. Kuna kiwanja nataka kununua ila kipo katika mtaa ambao upimaji wa viwanja haujafika. Je inawezekana kumtafuta mpimaji anipimie na kuniwekea bikon?

    Karibuni wakuu
  14. Alafu mtu anakuja kusema Wamarekani ni mashetani. Shetani ni huyo anaekuhuburia kil siku hivyo ili aulinde ushetani wake

    Hata hizi pesa zilizo rudishwa zinaenda kupigwa juu kwa juu na wala ugali.
  15. J

    Nashauri vikao vya Tume ya Jaji Lila viwe LIVE, ili kuhamasisha wananchi watoe ushirikiano

    Jaji Lila ajifunze kutokana na makosa ya Tume ya Jaji Chande. Wananchi walikatishwa tamaa pale Tume ilipoamua kufanya vikao vyake kwa siri. Vikao vya Tume vikiwa LIVE wananchi watajenga imani na Tume na kuipa ushirikiano mkubwa zaidi. Kwa hali inavyoendelea sasa hivi wanaotumwa kuisemea Tume...
  16. Wakristo wameamua kuilinda Makah ili isishambuliwe na Waislamu wa Houth , Ukristo ni upendo!

    Naandika kutoka moyoni kwa kuwa naujua vema Ukristo ni dini ya upendo na huruma kwa wote haina ubaguzi, ukiachana na pale Kiev ambapo Wakristo wanalinda mauaji kutoka kwa waliokengeuka leo Ufaransa na Uingereza wameamua kuungana Wamarekani [Wakristo] kulinda mji mtakatifu wa Kiislamu wa makha...
  17. Umoja wa ulaya hawalioni kundu lao, Afrika tuwaonyeshe lilipo ili waache kutunyooshea vidole.

    Jumuiya ya Ulaya (EU) ni wepesi kuinyooshea vidole Afrika inapopambana kutatua masuala yake, iko kimya kunyoosha vidole yanapotokea kwa wanachama wao mambo kama yaleyale ya Afrika. Msikilize Macron nae anavyotatua masuala ya nchi yake kama vilevile tunavyotatua sisi huku...
  18. Kuna Wizi ili mtu aunganishiwe umeme na Tanesco!

    Ukimaliza kufanya Wiring, ili upate mita ya Tanesco,unatakiwa utumie wakala( Mkandarasi ) ili kuingiza maombi yako kwenye mfumo! Wizi hawa Wakandarasi au Mawakala wanachaji kiasi chochote cha pesa,hawatoi risiti yoyote kwa mteja! Huu ni wizi na Tanesco wanaelewa kuwa Wakandarasi wanaumiza...
  19. Serikali iondoe VAT kwenye sufuria za Jiko Janja(Induction Cooker) ili bei kwa mwananchi ishuke.

    Jiko Janja(Induction Cooker) ni jiko linalotumia umeme kidogo na linaokoa sana matumizi ya nishati ya umeme, jiko hili ni nafuu kulitumia kuliko la gesi, kikwazo kipo kwenye bei ya sufuria maalumu kwa jiko hili. Bei ya sufuria ni kubwa mno kuliko bei ya jiko wenyewe! Hivyo utakuta watu walinunua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…