igp

IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuhuma za Jeshi la Polisi kuzuia majeruhi wasitibiwe wapelekwe mochwari ni za kusikitisha. IGP lazima ajiuzulu.

    Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi. Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa. Hivi leo polisi waliofanya...
  2. JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano: Kwanza Balozi (CP) Suzan Kaganda awe IGP ndo tukae mezani

    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mheshimiwa Kamishina wa Polisi (CP) Suzan S. Kaganda, awe IGP ili tufanye maridhiano IGP Camillus Mongoso Wambura anatuhumiwa kutoa amri kwa Polisi ya kuua Raia. Ananuka damu za Watanzania. Kwanza hana Elimu ndo maana hajiamini. Hatuwezi fanya reconciliation...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi IGP wambura na Generali Mkunda wana elimu gani?

    Naomba wenye cv za hao watu wawili waziweke hapa tuzichambue.
  4. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi lilipofikia Polisi akimtaka mke wako na ukimuuliza anakumiminia risasi na IGP anasimama na kusema polisi wangu alikuwa anajihami

    Kuna visa ukivisikia unadhani ni story lakini jeshi hili la Polisi Tanzania ni jeshi la ovyo na hasa kwa unyanyasaji na ubabe usio na kichwa wala miguu. Asakari polisi anaweza kukufanyia lolote atakalo na kama huna pesa na huna watu basi haki ndio inapotea. Nadhani nchi nyingi za Afrika zina...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Nje na Jumuiya za Kimataifa ili zituelewe ni lazima IGP apelekwe ICC kushitakiwa

    Ili Jumuiya za Kimataifa na Mataifa ya Nje ziweze kutuelewa ni vyema IGP aweze kupelekwa The Hague - ICC kufunguliwa mashitaka ya mauaji yaliyofanyika. Hii itasaidia Sana IGP wajao wasiweze kutoa AMRI kama hizi katili za kuua watanganyika na kutoa AMRI za Curfew za kibabe. Chao
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 TLS yawashtaki IGP, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kufuatia amri ya kutotoka nje Oktoba 29, 2025

    Kesi hii imefunguliwa na TLs kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar (Dar es Salaam Sub-registry) kupinga uhalali wa amri ya kutotoka nje (curfew) IGP Wambura tarehe 29 Oktoba 2025, ambayo baadaye ilifutwa na Rais tarehe 3 Novemba 2025. TLS wanaiomba Mahakama itamke kwamba amri hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Rais, tume yako haiwezi tufikia sisi walengwa,nani mwenye UWEZO wa kumsogelea IGP mstaafu, sjui brugedia na yule wa usalama hata hao majaji?

    MH RAIS NATUMAH u salama salimini na UNAENDELEA SALAMA salimini heko kwako. Mh Rais Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao kuwa mkweli siku ya uchaguzi sikutoka kuandamana Wala KUPIGA kura, lakini ningeulizwa nilikuwa nachagua njia ipi hakika ningechagua ya kuamdamana kuliko KUPIGA...
  8. JamiiForums Tanzania IGP Wambura usijitoe Ufaham, Yaan RASIMALI zibagazwe, Vyama Siasa (CHADEMA) Muwaumize Kila siku, alafu ulopoke "Watanzania msikubali kugawanyika"

    Huyu huenda ndio akawa IGP mpuuzi kushinda Upuuzi wenyewe, na Haya yote ni matokéo ya kua na Elimu za Hapa na Pale, Elimu za Kuhonga honga wahadhiri mpaka unapata Degree. Huyu Jamaa Leo ananukuliwa anawaambia Wananchi, eti msikubali Kugawanyika Kwa Sababu za Kisiasa , Wala za Rasimali... LISSU...
  9. JamiiForums Tanzania Tucheke pamoja (UTANI): Utetezi wa Samia, DGIS, CDF na IGP mbele ya Majaji Mahakama ya ICC

    Samia- Waheshimiwa Majaji, mimi sikutoa maelekezo yeyote kipindi cha Uchaguzi. Nchi ilikuwa chini ya mwanangu Abdul na Msaidizi wangu Kheri. Hawa ndo walikuwa wanawasiliana na DGIS, IGP na CDF DGIS- Waheshimiwa Majaji. Mimi sijui lolote. Hata kwenye Taasisi yangu hakukuwa na chain of comand...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa huu ushahidi uliowekwa na CNN, Samia, DGIS, CDF na IGP tukutane ICC

    Heko CNN Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa. Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu. Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Yafuatayo; 1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu...
  11. JamiiForums Tanzania Kama kauli hizi ni za kweli, usalama wa taifa,uhamiaji na Jeshi wakurugenzi watumbuliwe aachwe IGP, walitaka kumwalibia KAZI

    KAULI ya Rais yakuwa Kuna vijana wa Kenya waliingia Tanzania na kuandamana tarehe 29 ni inshara tosha yakuwa Jeshi la uhamiaji na Jeshi la wananchi lilimuujumu kikubwa IGP Ili atumbuliwe. Je NGO zilizowalipa vijana Ili waandamane zilisajiliwa na nani? Nisemw ukweli Rais Samia anahujumiwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Licha ya Tume kutoaminika, unawezaje kufanya uchunguzii wakati CDF, IGP na DGIS wakiwa bado wako ofisini?

    Ukiacha madai kuwa Rais mwenyewe anayeunda Tume ni mtuhumiwa, unawezaje kuunda Tume ya uchunguzi wakati wakuu wa vyombo vya ulinzi na uslama kwa maana ya Mkuu wa Majeshi ( CDF), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS) wakiwa bado ofisini? Na hawa viongozi wenye...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yale matamko ya IGP Wambura naona sasa hivi kapoa kama uji uliochemshwa kuelekea tarehe 09.12.2025

    Wakati wa uchaguzi mkuu mambo makubwa mabaya yalifanyika dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanadai Haki siku ya tarehe 29.10.2025 hadi tarehe 04.11.2025 nchi iliingia gizani huku raia wake wakisulubiwa ipasavyo waliokuwa wakidai haki neno ( shoot to kill) lilikuwa nineno rahisi dhidi ya watawala...
  14. JamiiForums Tanzania Clemence Mwandambo: IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi zao

    Mzee Clemence Mwandambo anasema Katika nchi zenye kuwajibika leo hii IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kujiuzulu nafasi zao, waache ofisi wazi waingie wengine. Anaendelea kwa kuongeza kuwa, Huwezi kushughulikia maharage yaliyoungua unamwagia maji kwenye sufuria harufu...
  15. JamiiForums Tanzania IGP aitwa mahakamani shauri la HECHE

    Mahakama Kuu Dar es Salaam imetoa hati ya wito kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na wenzake watano kufika mahakamani kufuatia ombi la mawakili wa CHADEMA wanaotaka Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, afikishwe mahakamani au aachiwe kwa dhamana. Wengine ni Afisa Upelelezi Kanda Maalum...
  16. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Soon atamfuta kazi IGP, lakini tusipumbazwe

    Habari za chini ya carpet ni kuwa atamfuta kazi IGP na akina Muliro ili kutuzuga kuwa mauaji yote yaliyofanyika hayana fingerprints zake, but men….we shouldn’t be fooled. Huyu ni wa kwenda naye ulalo ulalo hadi ateme bungo. No letting up🇹🇿🇹🇿🔥🔥
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania, msijaribu kwenda kumtoa Lissu

    Watanzania!. Nimeona uzi wa britanicca kuhusu kwenda kwa lissu na wengine wamechangia kwenda huko. Mkienda na mkajaribu kumtoa mnaweza kumuweka kwenye hatari kubwa sana ya usalama wake. Wapo watu wahovu wanaweza kujipenyeza na kumdhuru. Kwa sasa yupo sehemu salama. Uhakika wa yeye kutoka...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fungueni kesi Haraka sana kumshtaki IGP aoneshe Heche Alipo kabla hawajamdhuru

    Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa. Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa Poleni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi wa kupata CDF au IGP Mzanzibari, hakuna kinachoshindikana

    Sioni ikishindikana kwa afya ya muungano kuwepo CDF au IGP kutoka Zanzibar.
  20. 4

    JamiiForums Tanzania Ombi mahalumu la kukutana na IGp , CDF , mkuu wa usalama wa taifa ikiwapendeza sio lazima.

    Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku. Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani. Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…