ifakara

Ifakara is a small rural town in the Kilombero District, Morogoro Region, south central Tanzania. It is the headquarters of the Kilombero District administration and the main trading centre for Kilombero and Ulanga districts. The town is located near the Tanzania-Zambia Railway (TAZARA) line, at the edge of the Kilombero Valley, a vast swampland flooded by the mighty Kilombero River.
Ifakara is home to six major institutions of the Tanzanian health and water sectors:

the Ifakara Health Institute, formerly Ifakara Health Research and Development Centre, recognized internationally for its research on malaria, other tropical diseases and health systems and services
the St.Francis University College of Health and Allied Sciences(SFUCHAS), a constituent college of St. Augustine University of Tanzania, a higher learning institution established in 2010 offering Doctor of Medicine degree and other Allied health programs.
the St. Francis Designated Referral Hospital
Maji Safi Kwa Afya Bora Ifakara (MSABI) is an NGO implementing cost effective, community based water, sanitation, and hygiene projects in Tanzania.
The Ifakara School of Nursing former Edgar Maranta Nursing school.

View More On Wikipedia.org
  1. INTERN at Ifakara Health Institute January 2026

    INTERN (1 Position(s)) Job Description Job Summary Ifakara Health Institute is seeking a Biostatistician Intern who will receive training and become part of the team that is involved in performing routine and specialized tasks in the implementation of the MSMT2 project. The Intern will have...
  2. Barabara ya Songea kupitia Malinyi, mpaka Ifakara itajengwa kwa kiwango cha lami nikiwa Rais wa Tanzania

    Kumekua na sababu nyingi kwamba kuanzia ifakara, malinyi mpaka songea kuna mito mingi sana na hii pia kutoka ifakara mpaka njombe ni muhimu sana ikajengwa kwa lami ili kulifungua hili eneo Uwezo wa kuijenga tunao kama nchi kama tukiamua Mfano awamu ya kwanza ni kuanza na madaraja, baada ya...
  3. 4

    Nimemaliza form 4 mwaka jana ,nina division 2.20

    Je chuo cha Tanzanian international training health center kilichopo ifakara ni kizuri kwa KOZI ya diploma in clinical optometry NTA LEVEL 4 TO 6 nahitaji muongozo wenu
  4. Physiotherapist (2) and Occupational Therapist at CCBRT May 2025

    Vacancy: Physiotherapist (2) and Occupational Therapist (1) Ref: 2025 – 11 Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) aims to be the leading provider of accessible specialized health services in Africa and serves – as healthcare social enterprise and through development...
  5. PreGE2025 Serikali yaidhinisha bilioni 30 kukarabati barabara Ifakara – Mlimba kwenda mkoa wa Njombe

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya...
  6. Wizi Shule ya sekondari Kwa Shungu Ifakara

    Umetokea wizi usiku wa kuamkia leo. Wezi wameiba masufuria Sita (6) ya kupikia chakula kwa ajili ya wanafunzi. Shule hiyo ina wanafunzi wa kutwa na hostel kwa baadhi ya wanafunzi. Pia wameiba Michele, mafuta ya kupikia, majaba ya maji, ndoo. Nyie wezi mbona mnarudisha nyuma kata yetu ya...
  7. N

    DOKEZO Jinsi Ifakara ilivyotekwa na kukithiri magenge ya uhalifu na matapeli wa mtandaoni maarufu kama halo-haloo

    Habari wanajamvi, Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna hatua zozote zinachukuliwa dhidi ya MATAPELI Hawa.. Cha kusikitisha polisi wilaya ya Kilombero haswa...
  8. Ifakara ndio mji wa wajanja. Wezi wa TUMA kwenye Namba hii makao makuu yao Ifakara. Ifakara ni noma sana

    Hatimaye hadi mamlaka za Serikali hasa wizara ya mambo ya ndani imenyoosha mikono, imeweka bayana kuwa ifakara ndio Baba lao wa tuma kwenye namba hii. Ifakara iko kijanja zaidi. Ni hayo tu
  9. M

    Wizara ya TAMISEMI na Wizara ya Elimu nendeni Ifakara mkajionee madudu

    Kuna walimu wakuu shule za msingi takribani 19 wameenguliwa nafasi zao bila Sababu za msingi. Jambo la ajabu ni kwamba:- 1. Walimu hao 19 wamepokea barua za onyo mwezi January Mwaka huu. Barua za onyo zinaonekana zimeandikwa na kusainiwa na mkurugenzi tangu mwezi December mwaka jana. 2. Barua...
  10. KERO Baadhi ya Migahawa ya Ifakara Mjini haizingatii usafi, Mamlaka zinazohusika ziingie mtaani kufuatilia

    Habari ndugu zangu wa jukwaa hili ambalo limekuwa sauti Kwa wasiyo sikika. Ndugu yenu katika pitapita zangu nikajikuta nimeibukia Wilayani Kilombero Mkoa wa Morogoro, nilichokutana nacho kwa baadhi ya Mama Lishe ni hali ambayo inaweza kuwa hatari sana kwa afya za Watu. Mama Lishe wa Ifakara...
  11. TANZIA Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani, Jaji wa Mahakama Kuu na Mbunge wa Ifakara, Edward Anthony Mwesimo afariki dunia

    Moja kati ya manguli ambaye amehudumu katika mihimili yote ya dola, amepumzika. Ni Mh. Jaji Mstaafu Edward Anthony Mwesiumo. Alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, katika nafasi hiyo aliwahi "kukwaruzana" na Mwalimu Nyerere baada ya kukataa "maelekezo" kuhusu jalada nyeti lililokuwa mbele...
  12. LGE2024 Zangina, Katibu Uenezi CCM Mkoa wa Morogoro Alipokuwa Ifakara Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha

    ZANGINA S. ZANGINA, KATIBU UENEZI CCM MKOA WA MOROGORO ALIPOKUWA IFAKARA AKIHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Zangina S. Zangina alipokuwa akitimiza majukumu yake ya kuhamasisha wananchi wa Ifakara na...
  13. Mlimba Morogoro jau sana, ikifika saa 9 jioni haujageuka Ifakara ndio nitolee hadi kesho hiyo!

    Katika harakati za mtu mweusi, nikaenda Ifakara, Morogoro. Sasa kufika hapo mchongo ukanitaka asubuhi niende Mlimba Morogoro pale Kihansi Hydropower. Nauliza wenyeji wanasema kwa “bus” ni kama masaa 2 hivi. Nikaona sio mbaya. Nikaamka saa 3 kujiandaa kufika saa 4 nipo stendi. Nikapanda Noah...
  14. Bilioni 2.5 Zilitumika Kulipa Fidia kwa Wananchi Waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu - Ifakara

    BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo...
  15. Bashungwa: Tsh. Bilioni 2.5 zimetumika kulipa fidia kwa Wananchi waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu – Ifakara

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo ndani ya hifadhi ya barabara ya Mita 22.5. Hayo yameelezwa leo Septemba 3,2024 Bungeni Jijini Dodoma...
  16. Post-Doctoral Fellow in Bioinformatics at Ifakara Health Institute

    Job Summary Position: Post-Doctoral Fellow in Bioinformatics (1 Post) Reports to: Project Principal Investigator Work station: Dar es Salaam Apply by: 15th August 2024 Institute overview Ifakara Health Institute (IHI) is a leading research organization in Africa with a strong track...
  17. Intern - (3 Posts) at Ifakara Health Institute

    Job Summary Position: Intern – (3 Posts) Reports to: Project Principal Investigator Work station: Dar es Salaam Apply by: 14th August 2024 Institute overview Ifakara Health Institute (IHI) is a leading research organization in Africa with a strong track record in developing...
  18. Student (MSc) - (2 Posts) at Ifakara Health Institute

    Job Summary Position: Student (MSc) – (2 Posts) Reports to: Project Principal Investigator (PI) Work station: Dar es Salaam Apply by: 14th August 2024 Institute Overview Ifakara Health Institute (IHI) is a leading research organization in Africa with a strong track record in...
  19. PreGE2025 Mbunge Abubakari Asenga, wana Ifakara hatukukutuma kupiga magoti, kuanzia leo tafuta kazi nyingine hutufai

    MBUNGE wetu sisi wana IFAKARA hatukukutuma kupiga magoti. Kuanzia leo hii anza kutafuta kazi NYINGINE maana kwa ubunge basi. Mbunge Abubakari Asenga ameonekana akipiga magoti kushukuru KUJENGEWA barabara ya lami kutoka Kidatu hadi Ifakara. Siamini kama mbunge kama huyu anajua wajibu wake hapo...
  20. Huu ndio Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu (Mita 133) katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara

    Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Morogoro. Daraja hilo limejengwa na Mkandarasi Reynolds Construction Company - RCC ya Nigeria na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…