idris sultan

Idris Sultan (born January 28, 1996) is a Tanzanian Actor, comedian, and Radio host who won the Big Brother Africa-Hotshots in 2014. BBA Winner Idris Sultan He hosts the biggest comedy news show called SIO HABARI. Apart from that, he also hosts his own stand-up comedy show. He is well known in Tanzania through the vines he posts on Instagram. He also hosted a radio show called MwB(Mji wa Burudani) on "ChoiceFM" Tanzania.
"Netflix". Idris Sultan is also the first Tanzanian actor to be featured on Netflix streamed movie .

View More On Wikipedia.org
  1. Muonekano mpya wa Idris Sultan wawashangaza watu; Je anapitia nini kwenye maisha?

    Idris Sultan ni miongoni mwa mastaa waliopata pesa nyingi wakiwa wadogo, na wakapata umaarufu wakiwa wadogo. Idris aliwahi kushiriki shindano la Big Brother na kitoka kitita cha mamilioni na akapata umaarufu zaidi kufikia hatua ya kuchuana na wasanii aliowakuta kwenye game kama kina Alikiba na...
  2. Nini kimemkuta Idris Sultan?

    Mbona kama nuru imepotea ghafla kwa Idris Sultan, Nini kimemsibu star huyu?
  3. PreGE2025 Idris Sultan kuja na documentary ya 'Tanzania ya Samia'

    Msanii wa Filamu na Mwanamitindo Maarufu Nchini Tanzania ametangaza ujio wa Tamasha la Rangi Zinaongea litakalo fanyika Tarehe 23/05/2025 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ikiwa ni pamoja na kuionesha nembo ya Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania ambapo itakuwa ni pamoja na...
  4. PreGE2025 Idris Sultan: Madereva wote wa Serikali wavae Samia Suit. Mnavaa suti za Kaunda wakati hamumjui, Samia mnamjua

    Wakuu, Naona safari ya Korea imetiki! Tunazidi kukuza vijana waliojaa funza na kamasi kichwani! === Mwigizaji wa filamu nchini Idris Sultan ambaye pia ni Jaji katika Onyesho la Samia Fashion Festival Idris Sultan amesema kuwa watu wanazungumzia kuhusu 'Kaunda Suit' ila Watanzania hawamjui...
  5. Jihad ni nini? Idris Sultan aielezea kiundani

    Anaandika Idris, Uzuri ni kwamba nimesoma fiqh. Tuanzie maana ya neno “Jihad”, muhimu sana kuelewa kuwa Jihad sio vita ila ni mapambano. Jihad inayozungumziwa na Quran kwa bahati mbaya imetafsiriwa vibaya na wengi kwa sababu zao binafsi. Hata ukipambana na ugonjwa, umaskini n.k ni Jihad na...
  6. Natafuta Mshirika wa Biashara ya Chips Tabata Kinyerezi

    Habari zenu ndugu jamaa na marafiki, Me naitwa Gerald Anthony Lyapega naishi Kinyerezi ni muhangaikaji wa kawaida tu kwa jina langu la mitaa wananiitaga GYGA. Pointi yangu ni kupata mshirika wa biashara, mimi nina eneo hapa stendi Kinyerezi nilikuwa na dhumuni la kufungua chips na nyamachoma ya...
  7. Edo Kumwembe na Idris Sultan punguzeni ushamba

    Huu wa kupoat picha za timu mbalimbali za tz kisha kifuani mnazifuta sababu ya matangazo Mbona mkipost timu zenu man U na arsenal Hamfanyi hivyo?
  8. Idris Sultan, wenzake wafutiwa mashtaka na mahakama

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia kesi na kumwachia huru msanii wa vichekesho, Idris Sultani na wenzake wawili baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) akielezea mahakama hiyo kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo. Sultan na wenzake walikuwa wanakabiliwa na shtaka moja...
  9. MOVIE: Idris Sultan ndani Netflix "Slay" - Usikose!

    Wale Wapenzi wa Movie, "SLAY" aliyoshirikishwa msanii Mtanzania Idris Sultan (Mogul). Inatarajiwa kuruka muda sio Mrefu. Kwa Dar mzigo utaruka Pale Little Theatre Oysterbay kuanzia Saa Moja jioni... Hakuna kiingilio. Nitakuwepo pia and I will comeback here for Review.
  10. Staa na msanii Idris Sultan apaa kimataifa hadi NETFLIX;, kuonekana kwenye filamu ya Slay

    Msanii mahiri wa Tanzania, aliyewahi kuwa mshindi wa Big Brother, Idriss Sultan apata dili la kimataifa la kuonekana kwenye kampuni kubwa ya kuonesha Movies ya NETFLIX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…