idf

In information retrieval, tf–idf (also TF*IDF, TFIDF, TF–IDF, or Tf–idf), short for term frequency–inverse document frequency, is a measure of importance of a word to a document in a collection or corpus, adjusted for the fact that some words appear more frequently in general. It was often used as a weighting factor in searches of information retrieval, text mining, and user modeling. A survey conducted in 2015 showed that 83% of text-based recommender systems in digital libraries used tf–idf.Variations of the tf–idf weighting scheme were often used by search engines as a central tool in scoring and ranking a document's relevance given a user query.
One of the simplest ranking functions is computed by summing the tf–idf for each query term; many more sophisticated ranking functions are variants of this simple model.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kumtaka Benjamin Netanyahu aachie madaraka na uchaguzi uitishwe yameiingia hatua ya juu

    Maandamano ya kumtaka Benjamin Netanyahu aachie madaraka na uchaguzi uitishwe yameiingia hatua ya juu leo pale waandamanaji kwenye mitaa tofauti ya Tel Aviv kuziba njia kuu za usafiri. Hata hivyo Netanyahu pekee ndiye amekuwa na tamaa ya fisi ya kuishinda Hamas ambapo ametoa amri ya jeshi lake...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Top Hezbollah commander hit in apparent Israeli strike as air force head threatens more

    A burning car is seen in the southern Lebanese town of Nabatieh after it was struck in a reported Israeli airstrike on February 8, 2024. (Screenshot from X used in accordance with clause 27a of the Copyright Law) An apparent Israeli drone strike Thursday in southern Lebanon targeted two...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania IDF yagundua handaki na ofisi ya kijeshi chini ya makaburi

    Yaani hawa magaidi wa dini walitumia nguvu nyingi sana kujipanga, dadeki.. Hawa walipaswa wapigwe carpet bombing tuanze upya, ingekua Mrusi au Mchina anapambana na hawa, angepiga moja tu na tunasahau hizi issue, dunia inapiga makelele mwezi mmoja kisha tunafanya mengine. Israel wanatumia nguvu...
  4. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Jeshi la Israel wamekiri Kushindwa na Hamas: - NYT

    Makamanda wa IDF: Haiwezekani kuwashinda Hamas na kuwaokoa mateka - NYT Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa Google. Malengo mawili ya kuwaokoa mateka na kuwaangamiza Hamas hayawezekani, Majenerali wanne waandamizi wa IDF waliliambia gazeti la New York Times katika makala iliyochapishwa...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania IDF wasambaratisha jengo Damascus na kuua maafisa wa kijeshi wa Iran

    Kama kawa, Israel wanaendelea kuwahisha watu kwenda kwa mabikira.... An Iranian Islamic Revolutionary Guards Corps official was killed in an alleged Israeli airstrike on Damascus, the Reuters news agency reports, citing sources in the regional pro-Syria alliance. The source says the...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania IDF ilipoteza udhibiti kamili Kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa Al -Qassam

    Wanaukumbi IDF ilipoteza udhibiti kamili kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa All -Qassam. Kaskazini ilikuwa chini ya udhibiti wa Hamas kila wakati, habari za uongo kuhusu ushindi kutoka kwa Waisraeli zinashangaza wakati ukweli unapikwa kila siku, hakuna lengo moja...
  7. Exile

    JamiiForums Tanzania IDF inaripotiwa kuingia Lebanon

    Jeshi la israel linaripotiwa kuvuka mpaka na kuingia katika ardhi ya lebanoni usiku kucha. Iwapo itathibitishwa hii itakuwa mara ya kwanza kwa jeshi la Israel kuingia lebanon tangu 2006 na inaweza kufungua njia ya mashambulizi ya ardhini. Source: Al jazeera...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania IDF waanza kutoa ushahidi unao onyesha wanahabari wa Al Jazeera walikua magaidi yenye mlengo wa kidini

    Wana habari walijificha kwenye mgongo wa uanahabari huku wakifanya yao, ila hawakujua siku zao zilihesabika... Military claims documents found in Strip reveal pair working for Al Jazeera were members of Hamas, Islamic Jihad, and ‘actively involved in attacks’ The Israel Defense Forces on...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Ali Hussein Burji, kiongozi mwingine wa Hezbollah auawa na IDF

    Huyu alikua amesimamia masuala ya kiteknolojia, mashambulizi ya drones. ========= A senior Hezbollah commander responsible for dozens of explosive drone attacks on northern Israel in recent months, including an attack Tuesday morning on an Israel Defense Forces base, was killed later Tuesday...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania IDF wagundua kiwanda kikubwa cha makombora Gaza

    Watu waliishi kila siku wakijiandaa kuifuta Israel, badala wajenge viwanda vya kusaidia jamii wao wanajenga vya makombora ya kuelekeza Israel, jameni hawa wana bahati sana maana wangekua na ujirani na mtu asiyejali kama Mrusi mbona wangekoma, Mrusi angewapiga carpet bombing bila kuchambua watoto...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Lebanon yashushiwa mabomu na IDF

    Israel bado wanaonya, ifahamike hawajafanya kitu Lebanon, hapa wanaendelea kuonya tu. Endeleeni kuwachokoza ila msije mkalalamika na kulia lia kama inavyotendeka Gaza. ======= Israeli strike in Aita Shaab (AP) The recent Israeli airstrikes in southern Lebanon have reignited memories of the...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Command centre ya Hezbollah yasambaratishiwa mbali, yafichua IDF

    Wanaume kazini. ========== The IDF says it has hit a Hezbollah "command centre" in Lebanon in retaliation for strikes towards Israeli territory. An Israeli fighter jet carried out the strike in the town of Blida in Lebanon. "Earlier today, numerous launches were identified from Lebanon...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mwandishi aliyetoa habari za vifo vya wanajeshi wa IDF kauliwa na Mossad

    Wanaukumbi.. ⚡️[Itathibitishwa] Habari za kuuawa kwa mwandishi wa habari wa Kiyahudi Jerry Yorkam, ambaye aliandika ripoti inayoelezea idadi ya Wayahudi waliouawa katika vita vya Gaza baada ya siku 83 za vita. Idadi ya magari 825 Idadi ya Wazayuni waliouawa 8435 Idadi ya vifo vya Ufaransa 902...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS waondoa sharti la IDF kuondoka Gaza, wakubali basi hata wapewe wafungwa

    Juzi hapa walisema hata iweje hamna kukubali chochote kisichohusu Israel kuondoka Gaza, ila Israel wakasema hamna kitu kama hicho na kwanza wakaongeza mapigo. HAMAS sasa wanasema basi sawa jameni wapewe wafungwa wao tu wataachia mateka 40 ======================== Hamas negotiators have waived...
Back
Top Bottom