IDF waanza kutoa ushahidi unao onyesha wanahabari wa Al Jazeera walikua magaidi yenye mlengo wa kidini

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Wana habari walijificha kwenye mgongo wa uanahabari huku wakifanya yao, ila hawakujua siku zao zilihesabika...

Military claims documents found in Strip reveal pair working for Al Jazeera were members of Hamas, Islamic Jihad, and ‘actively involved in attacks’​

The Israel Defense Forces on Wednesday two said two men identified as Al Jazeera journalists who were killed in a strike in southern Gaza’s Rafah earlier this week were members of terror organizations in the Strip.

In Sunday’s strike in Rafah, Hamza Wael Dahdouh, the son of Al Jazeera’s Gaza correspondent Wael Dahdouh, and Mustafa Thuria, a video stringer for AFP who was also working for the Qatar-based TV outlet, were both killed. A third journalist, Hazem Rajab, was seriously wounded, Al Jazeera said.

The strike was carried out after the IDF said it spotted a terror operative piloting a drone in a way that endangered Israeli forces, and subsequently hit a car they were in.

View: https://twitter.com/idfonline/status/1745158775567175764?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1745158775567175764%7Ctwgr%5E1d1bef5560c672b00eb4de42f7e32120868b8dee%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.timesofisrael.com%2Fidf-appears-to-walk-back-claim-journalists-killed-in-gaza-were-in-car-with-terrorist%2F
 
😄 Israel lazima atabandika chochote ili aonekane uwaji wake ni halal, haya atuonyeshe akina Sherin yule mtangazaji wakike al jazeera aliye muuwa pia alikuwa askari?

Kashindwa kuzuia Hamasi anavyo penya mpaa kwenye simu zao akakamate document za Saraya Al Quds 😄

Poleni Waziri wa Jeshi wa America ana cancer enhee 😄 Huyo yuko mbinguni kwa Yesu, dhambi zake kisha chukua Yesu 😄 Warusi wameisha mmaliza kule Ukraine kwa kipigo kimoja tu cha Missile

Wakristo vichaa nyie Yesu ni Mungu afu hapo hapo Mungu wenu ndio anajichoma moto kwa ajili yenu nyie😄
 
We ni mpumbavu,na unastahili kuwa mpumbavu.
Hamas wako dunia nzima kwa mgongo wa ukimbizi,ndio hao wana muda wa kupiga propaganda..
Walioko Gaza ni War zone hamna muda hata wa kukaa na simu kuandika.
Wanatuma video na picha kwa ndugu zao huko nje ndio wapublish.
Ila kule Ghaza Muiziraili kashafuta wote ndo mana amehamisha kichapo Lebanon.
Na Iran anasubiri.
Hizo nuke mnasema muiran anazo ndo zitalipuliwa kwanza
Ndio kipigo kiendelee.
 
Wewe ndio mpumbavu na walio kuzaa pia ŵapumbafu shenzi type.

Eti Israel kaifuta Gaza kuvunja majumba ndio kuifuta na je kavunja majumba yote Gaza.

Eti kahamisha kichapo Lebanon we unaishi Israel? Nenda katazame hospital za Israel zinavyo jianda kapokea vilema, zinangojea kipigo cha Hezbullah kina kuja

Israel akapige Iran 😄 kichaa kweli wewe ikiwa Hamasi kaishindwa
Anambembeleza Qatar awasaidie vita isimame we huoni mpa anasingizia Qatar ni magaidi tv zao na kiongozi wao ili Qatar wawahi kuwapatanisha 😄

Israel yuko tayari kukubali masharti ya Hamasi hizo kelele zenu hapo ni propoganda tu za Israel hana alicho fanya zaidi ya kuvunja majumba, watoto, wanawake na raia wakawaida tu wa Gaza, na kabahatika kuwauwa viongozi wa Hamasi, tena sio yeye aliye wauwa Inasemekana ni America.
 
Ukiwa mvaa vipedo na makobazi hata uwe na PhD akili inakuwa kisoda. Aljazeera Wanalalamika wana habari wao kuuwawa kumbe ni magaidi! 🤔
 
Wewe ndio mpumbavu na walio kuzaa pia ŵapumbafu shenzi type.

Eti Israel kaifuta Gaza kuvunja majumba ndio kuifuta na je kavunja majumba yote Gaza.

Eti kahamisha kichapo Lebanon we unaishi Israel? Nenda katazame hospital za Israel zinavyo jianda kapokea vilema, zinangojea kipigo cha Hezbullah kina kuja

Israel akapige Iran 😄 kichaa kweli wewe ikiwa Hamasi kaishindwa
Anambembeleza Qatar awasaidie vita isimame we huoni mpa anasingizia Qatar ni magaidi tv zao na kiongozi wao ili Qatar wawahi kuwapatanisha 😄

Israel yuko tayari kukubali masharti ya Hamasi hizo kelele zenu hapo ni propoganda tu za Israel hana alicho fanya zaidi ya kuvunja majumba, watoto, wanawake na raia wakawaida tu wa Gaza, na kabahatika kuwauwa viongozi wa Hamasi, tena sio yeye aliye wauwa Inasemekana ni America.
Endelea kupiga kelele huko wenzio wanafutwa kimyakimya.
Ziraili hatangazi asilaumiwe na dunia.
Kashafuta kila kitu na bado.
We kaa hapo na ushabiki maandazi
 
Pole ndugu walokole ndo huwa wanatia kinyaa kwenye hii dunia wako radhi kuwasifia waisralei hata kuwalamba makalio.. kisa eti ni binadam kutoka taifa teule
 
😄 Israel lazima atabandika chochote ili aonekane uwaji wake ni halal, haya atuonyeshe akina Sherin yule mtangazaji wakike al jazeera aliye muuwa pia alikuwa askari?

Kashindwa kuzuia Hamasi anavyo penya mpaa kwenye simu zao akakamate document za Saraya Al Quds 😄

Poleni Waziri wa Jeshi wa America ana cancer enhee 😄 Huyo yuko mbinguni kwa Yesu, dhambi zake kisha chukua Yesu 😄 Warusi wameisha mmaliza kule Ukraine kwa kipigo kimoja tu cha Missile

Wakristo vichaa nyie Yesu ni Mungu afu hapo hapo Mungu wenu ndio anajichoma moto kwa ajili yenu nyie😄

Pale hakuna msafi, mumechafua hadi watoto na kuwafanya mazombi

main-qimg-ee006f51089b88b6cb54cd9d07eda21a
 
Wana habari walijificha kwenye mgongo wa uanahabari huku wakifanya yao, ila hawakujua siku zao zilihesabika...

Military claims documents found in Strip reveal pair working for Al Jazeera were members of Hamas, Islamic Jihad, and ‘actively involved in attacks’​

The Israel Defense Forces on Wednesday two said two men identified as Al Jazeera journalists who were killed in a strike in southern Gaza’s Rafah earlier this week were members of terror organizations in the Strip.

In Sunday’s strike in Rafah, Hamza Wael Dahdouh, the son of Al Jazeera’s Gaza correspondent Wael Dahdouh, and Mustafa Thuria, a video stringer for AFP who was also working for the Qatar-based TV outlet, were both killed. A third journalist, Hazem Rajab, was seriously wounded, Al Jazeera said.

The strike was carried out after the IDF said it spotted a terror operative piloting a drone in a way that endangered Israeli forces, and subsequently hit a car they were in.

View: https://twitter.com/idfonline/status/1745158775567175764?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1745158775567175764%7Ctwgr%5E1d1bef5560c672b00eb4de42f7e32120868b8dee%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.timesofisrael.com%2Fidf-appears-to-walk-back-claim-journalists-killed-in-gaza-were-in-car-with-terrorist%2F

Hata huyu Marwan Bashara nadhani ni hamas

Endelea kupiga kelele huko wenzio wanafutwa kimyakimya.
Ziraili hatangazi asilaumiwe na dunia.
Kashafuta kila kitu na bado.
We kaa hapo na ushabiki maandazi
We baki na ujinga wako Israel hi ya kuishinda Hamasi? Haya tusubiri tuone alingika kwa nia tatu.

1 kuifuta Hamasi je kaifuta,

2 Kuitawala Gaza kaitawala?

3 Hasimamishi vita mpaa azimalize silaha za Hamasi na Tunnels zao, haya tuonyeshe tunnel hata moja kaingia kawakamata Hamasi? Aliwachiwa tunnel moja tu walio tumia pale mpakani tena Hamasi hawakuwa na shida nayo kwa mda hu, walitumia kwa lengo la 7th October tu.
 
Mtaishia na ujinga tu, we ukiona mtu anaita binadamu ni mungu na mwingine anaita ngombe mungu na mwingine anasubiri Dijal ndio mungu lazima akili zao zifanane tu 😄

Huwa sishangai kuona Waislam wanachukiwa na wajukuu wa shetani 😄
neno ni Ng’ombe
 
aisee ni bonge la tegoo mazee dah..hapa mpalestina kakosea njiaa kwa myahudiiii...unabeba kasabuni ka kijanii alf baadae unapakwa matee hataree na yahudis...
Screenshot_20231215-104901_Quora.jpg
 
Nasikia israhell washaitwaa ghaza kwasasa
Na hamas imeishakwisha futika huko ghaza

Israhell ukiisikia kwa wazayuni wa jf kina wewe na shosti zako unaweza ukadhania hawa watu hawafi yaani😀🤣😀

Au wakipigwa shaba zinadunda puwa holiwudi
 
Back
Top Bottom