idf

In information retrieval, tf–idf (also TF*IDF, TFIDF, TF–IDF, or Tf–idf), short for term frequency–inverse document frequency, is a measure of importance of a word to a document in a collection or corpus, adjusted for the fact that some words appear more frequently in general. It was often used as a weighting factor in searches of information retrieval, text mining, and user modeling. A survey conducted in 2015 showed that 83% of text-based recommender systems in digital libraries used tf–idf.Variations of the tf–idf weighting scheme were often used by search engines as a central tool in scoring and ranking a document's relevance given a user query.
One of the simplest ranking functions is computed by summing the tf–idf for each query term; many more sophisticated ranking functions are variants of this simple model.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania IDF, wakazi wa majengo 6 kusini mwa Beirut na maeneo jirani waondoke mara moja kwa usalama wao, shambulizi kubwa la ndege linakuja

    Wadau hamjamboni nyote? IDF itafanya shambulizi kubwa la ndege maeneo hayo Wakazi wakae umbali mita 500 Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo na kiarabu November 13, 2024 IDF issues evacuation warning for 6 Beirut buildings ahead of strikes against Hezbollah By Emanuel Fabian Follow...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa waziri wa ulinzi Israel, Yoav Gallant awajuza familia za mateka IDF imepata mafanikio makubwa

    Kumekuchaaa Aliyekuwa Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant amepingana waziwazi na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau Anasema kuwa hakuna uhalali wowote majeshi ya Israel kuendelea kuwepo Gaza kwani malengo makuu tayari yametimizwa kikamilifu Kwamba wanajeshi wa Israel haifai kuwepo Gaza kwani...
  3. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Chief of Staff wa IDF amekoswakoswa tena wanne wauwawa huko Jabalia

    Mnadhimu wa Jeshi la Wanamgambo Israel amekoswakoswa na kuuwawa baada ya nyumba aliyokuwemo kulipuliwa na Wanajeshi wa Hamas. Lt Gen Halev alikua katika majukumu yake ya kukagua wanamgambo katika uwanja wa vita.. Shambulio hilo limeondoka na wanamgambo wanne. BREAKING: HAMAS TARGET HOUSE WHERE...
  4. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Mustafa Ahmad Shahadi Kiongozi wa Kikosi Maalum cha Hezbollah Auliwa na IDF

    JESHI la Israel limemuua kiongozi mwingine wa kikosi maalum cha kundi la Hezbollah, Mustafa Ahmad Shahadi katika shambulizi lililofanywa eneo la Nabatieh kusini mwa Lebanon. Taarifa ya jeshi la Israel imesema katika shambulio hilo lililofanywa na jeshi la anga la Israel limemshambulia kiongozi...
  5. econonist

    JamiiForums Tanzania Wapalestina 106 wauawa huko Gaza baada ya shambulio la IDF

    Shambulio la IDF Leo Gaza huko eneo la Beit Lahia limeua wapalestina 106 na kuacha maelfu wakijeruhiwa. --- Raia takriban 34 wa Palestina wameuwawa kufuatia shambulio la lililolenga jengo moja la ghorofa tano walikokuwa wakijihifadhi Wapalestina wasiokuwa na makaazi,kaskazini mwa Ukanda wa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Askari wanne wa Israel wa kikosi maalumu cha makomandoo almaarufu "ghost" unit wauawa, afisa mmoja ajeruhiwa vibaya kwenye mapigano Gaza

    Wadau hamjamboni nyote? Ni huzuni kubwa Askari wanne wakipoteza maisha kwenye mapigano makali na magaidi ya Hamas huko Gaza Majina ya wahanga yametajwa hapo chini kwa kimombo: --- Four soldiers killed, officer seriously wounded in northern Gaza fighting Four Israeli soldiers were killed and...
  7. U

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Meja Jenerali Aviad Dagan mkurugenzi idara ya huduma za computer ya IDF, alishiriki shambulizi dhidi ya Iran jumamosi iliyopita

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Maj. Gen. Aviad Dagan takes over IDF Computer Service Directorate By Emanuel Fabian Maj. Gen. Aviad Dagan has taken over the IDF’s Computer Service Directorate, replacing Maj. Gen. Eran Niv, who is retiring from the IDF after a...
  8. econonist

    JamiiForums Tanzania Wapiganaji 100 wa Hamas wakamatwa na IDF

    Wapiganaji 100 wa Hamas wamekamatwa Leo na jeshi la Israel IDF. Kwa Sasa wapo Chini ya ulinzi. Haya yanatokea baada ya kuonekana wapiganiji wa Hamas wamo ndani ya Hospitali huko Gaza. Ndipo walipozungukwa na kuzidiwa mashambulizi na kuamua kussurender. Kwa Sasa wapo sehemu salama wanatoa...
  9. U

    JamiiForums Tanzania News alert kikao cha baraza la mawaziri Israel hakitafanyika kwenye ofisi ya Waziri Mkuu wala makao makuu ya IDF kwa hofu ya Usalama.

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama Mawaziri wamearifiwa leo asubuhi kuwa kikao hicho kitafanyika eneo Salama Hawaruhusiwa kuja na...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Shambulio la IDF limelemaza uzalishaji wa makombora wa Iran na kuzima ulinzi wa anga; utawala wa Iran washtuka

    Mashambulizi makubwa ya anga ya Israel nchini Iran siku ya Jumamosi yalilemaza uwezo wa Iran wa kuzalisha makombora ya masafa marefu katika pigo ambalo litakuwa gumu na linalochukuwa muda kurejesha, na kutoa vifaa muhimu vya nishati katika hatari ya mashambulizi ya siku za usoni kwa kuharibu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mashariki ya kati: IDF ilituma zaidi ya ndege za kivita 100 Tehran kushambulia kambi za kijeshi zaidi ya 20

    Jeshi la Israel 🇮🇱 lilituma zaidi ya ndege 100 kwenye anga la Iran 🇮🇷 na kushambulia kambi za jeshi zaidi ya 20 ,huku Iran ikijitahidi kutumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kupunguza madhara, vinaropoti vyanzo mbali mbali. Mpaka sasa Iran haijathibitisha kutokea kwa madhara, huku IDF...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Khalil Muhammad Amhaz kamanda mwandamizi Hezbollah kitengo cha drone maarufu kwa jina la unit 127 auawa kwa shambulizi la ndege za IDF

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki nyumba ya Yakobo October 23, 2024 IDF: Prominent member of Hezbollah drone unit killed in airstrike By Emanuel Fabian Follow Today, 9:12 am A prominent member of Hezbollah’s drone unit was killed in an Israeli...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas yadai yawauwa kamanda wa IDF huko Gaza kwe uwanja wa mapambano

    Wanaukumbi 🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS ADAI KAMANDA WA IDF AMEUAWA HUKO GAZA. Vikosi vya Al-Qassam, tawi la kijeshi la Hamas, walitoa picha ya bomu la IED likilipua chini ya tanki kaskazini mwa Gaza, ambalo wanadai lilimuua mwanachama mkuu wa IDF. "Tulilenga kifaru cha Kizayuni chenye maganda 105 cha...
  14. U

    JamiiForums Tanzania IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda watatu

    News alert IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda waandamizi 3 Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha kituo kikuu cha uongozaji cha Hezbollah huko Beirut...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Benjamin Netanyahu ajitokeza hadharani kibabe baada ya kuwepo na taarifa ya nyumba yake kushambuliwa na drone

    Wakuu, Kuna hii video inasambaa. Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza. Soma pia: Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria...
  16. U

    JamiiForums Tanzania IDF yamuua Nasser Abd Elaziz Rashid naibu kamanda wa magaidi ya Hezbollah huko Lebanon , alihusikana kurusha maroketi nchini Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel halipoi hata kidogo na muda tayari yule Naibu kamanda alihusika na kurusha roketi Israel keshaliwa kichwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: 3min ago IDF says deputy commander of Hezbollah’s Bint Jbeil district killed in airstrike yesterday The...
  17. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania IDF ni Jeshi lenye maadili, utu na heshima, hongereni kwa kuonesha maturity

    Wayahudi ni watu wenye maadili, utu na heshima. Yahya Sinwar(kiongozi mkuu wa hamas) october 7th aliamuru wanajeshi wake wavuke mpaka, waue raia ikiwamo watoto, na kuwabaka wanawake wa kiyahudi, lakini siku ya kufa kwake hawakuburuza mwili wake kama Hamas walivyofanya na miili ya victims wa...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa IDF wapiganaji 1,500 wa Hezbollah wauawa, wengi wanajisalimisha, mfadhili wao Iran haamini kinachotokea Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? Mkuu wa majeshi ya Israel Luteni Jenerali Herz halev ametembelea vikosi vya Jeshi hilo huko Milima ya Golan Asema kuwa Hezbollah kila siku inazidi kusinyaa na kusinyaa. Wapiganani zaidi ya 1,500 wameuawa tokea Israel ianze operesheni za kijeshi Lebanon Asema Hezbollah...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Wafanyakazi wa ofisi za kituo cha television cha Al Jazeera wakimbia ofisi zao haraka, yadaiwa ni hofu dhidi shambulizi la IDF!

    Wadau hamjamboni nyote? Hajulikani nani aliyetoa taarifa hiyo iliyoleta taharuki hiyo ila hadi muda huu ofisi hizo huko Beirut zimebaki tupu baada ya Wafanyakazi wote kukimbia ili kuokoa maisha yao Taarifa kamili tutawaletea October 17, 2024 Al Jazeera office evacuated in Beirut after...
  20. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

    Taarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel. Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic...
Back
Top Bottom