idf

In information retrieval, tf–idf (also TF*IDF, TFIDF, TF–IDF, or Tf–idf), short for term frequency–inverse document frequency, is a measure of importance of a word to a document in a collection or corpus, adjusted for the fact that some words appear more frequently in general. It was often used as a weighting factor in searches of information retrieval, text mining, and user modeling. A survey conducted in 2015 showed that 83% of text-based recommender systems in digital libraries used tf–idf.Variations of the tf–idf weighting scheme were often used by search engines as a central tool in scoring and ranking a document's relevance given a user query.
One of the simplest ranking functions is computed by summing the tf–idf for each query term; many more sophisticated ranking functions are variants of this simple model.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mossad waupata mwili wa Sajenti Zvi Feldman, aliyepotea miaka 43 iliyopita kwenye Vita ya Israel na Syria bonde la Bekaa nchini Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? IDF na Mossad wameupata mwili wa Sgt. Daraja la Kwanza Zvi Feldman, ambaye hajapatikana tangu Vita vya Kwanza vya Lebanon vya 1982 vya Sultan Yacoub, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atangaza. Feldman alipotea pamoja na Sgt. Darasa la Kwanza Yehuda Katz na Sgt. Darasa la...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IDF ni Jeshi lenye weledi zaidi duniani

    IDF- THE MOST MORAL ARMY IN THE WORLD !
  3. and 100 others

    JamiiForums Tanzania VIDEO: IDF wakishambuliwa na Hamas baada ya kuvamia nyumba Gaza.

    Askari wa IDF wakipiga kelele za kuomba msaada baada ya kuona maji yamezidi unga. https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78 Hii video inaonyesha uwezo wa IDF kwenye uwanja wa mapambano.
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauli Serikali iwaachie waiangamize Gaza!!

    Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauri Serikali iwaachie waiangamize Gaza, na walitoa taarifa ifuatayo mwishoni mwa wiki: “Toka vita vianze Gaza tulikuwa tumeichukua lakini Serikali wakaingia makubaliano na magaidi wa Hamas tukaondoka kwenye maeneo tuliyokuwa tukiyadhibiti baada ya makubaliano...
  5. I

    JamiiForums Tanzania IDF yamuua gaidi mkuu wa Jama'a Islamiya nchini Lebanon

    IDF yamuua gaidi mkuu wa Jama'a Islamiya nchini Lebanon. IDF imemuua Hussein Izzat Mohammad Atwi, gaidi mkuu katika kundi la kigaidi la Jama'a Islamiya lenye mfungamano na Hamas, wakati wa mgomo nchini Lebanon, jeshi lilisema Jumanne. Mgomo huo ulitokea Haret El Naameh, kusini mwa Beirut...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa kikosicka cha magaidi wa Hamas huko Shejaiya gaidi Haitham Sheikh Khalil, ameangamizwa bila huruma yoyote na IDF

    IDF imemwangamiza Gaidi Haitham Sheikh Khalil, kamanda wa Kikosi cha Hamas Shejaiya aliyehusika na shambulio la Nahal Oz Oct 07,2023 Khalil alipanga oparesheni za kigaidi dhidi ya wanajeshi wa IDF, alitega vilipuzi, na akaongoza shughuli za handaki ya Hamas. Kifo chake kinafuatia kuangamizwa...
  7. adriz

    JamiiForums Tanzania Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

    Moja kwa moja. Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi https://www.jamiiforums.com/threads/nawalaumu-sana-hamas-serikali-ya-israeli-pamoja-na-wale-wanaowaunga-mkono.2167817/ Mwingine...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Beirut IDF yalipuka karakana ya kutengeneza na kuhifadhi drones mali ya magaidi ya Hezbollah almaarufu Unit Unit 127

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo Kituo kilichotumika kuhifadhi ndege hizo ni mali ya vikosi vya anga vya Hezbollah, vinavyojulikana kama Kitengo cha 127, jeshi linasema. Kitengo hicho kinahusika na mashambulizi ya ndege zisizo na rubani zilizojaa vilipuzi dhidi ya...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah washambuliwa na IDF huko Beirut, Lebanon

    IDF: Tulishambulia kituo cha kuhifadhi ndege zisizo na rubani mali ya shirika la kigaidi la Hezbollah huko Dahiyya, Beirut. Hivi majuzi IDF ilishambulia miundombinu katika kitongoji cha Hadahiya cha Beirut kwa ajili ya kuhifadhi magari ya anga I (UAVs) yanayotumiwa na kitengo cha anga cha...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania BAADA YA KULEMAZWA NA IDF HEZBOLLAH YAJITUTUMUA TENA KUISHAMBULIA ISRAEL

    Leo tena, kombora lingine limerushwa Israel kutoka Lebanon. Israel wamezoea ving'ora vya roketi na milipuko wakati Iron-Dome ikipopoa makombola kama vile sisi tulivyozoea kunywa kahawa au chai. Wakati mwingine, huwa najiuliza ikiwa ni jambo zuri wamezoea hilo (labda njia ya kukabiliana na...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel yaani IDF halina utani, lafanya shambulizi kali la kutokea angani huko Syria kwenye mji wa pwani ya Latakia,

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za hivi punde za motomoto zinasema IDF wamefanya shambulizi kali la anga huko Syria Mlengwa hajajulikana bado ila naahidi kuwa nitawajuza nani kaliwa kichwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki nyumba ya Yakobo The Syrian National News Agency...
  12. U

    JamiiForums Tanzania IDF yafanya shambulizi la anga na kuua makamanda waandamizi wawili hatari sana wa Hamas Rashid Jahjouh na Amin Eslaiah

    Wadau hamjamboni nyote? Kazi ya kuua Viongozi wa magaidi ya Hamas imeanza upya huko Mashariki ya kati kwa vifo vya makamanda 2 waandamizi IDF na Shin Bet wametangaza kuwa maafisa wawili waandamizi wa Hamas wameuawa katika mashambulizi ya anga katika Ukanda wa Gaza. Mmoja wao ametajwa na jeshi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania IDF yaua magaidi 60 ya hamas, yakamata 210 ni operesheni kubwa maalumu ya kijeshi almaarufu Operation Iron Wall huko magharibi mwa mto Jordan

    Wadau hamjamboni nyote? Operesheni kubwa ya kijeshi kuyasaka magaidi ya Hamas yaendelea huko ukingo magharibi mwa mto Jordan Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: February 13, 2025 IDF says over 60 terror operatives killed, 210 detained amid ongoing West Bank...
  14. U

    JamiiForums Tanzania IDF yasema Serikali Iran imeanza tena kuwapelekea fedha magaidi wa Hezbollah kupitia uwanja wa ndege wa Beirut, lengo kukijenga upya kikundi hicho

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Iran kupitia Jeshi lake la irgc wameanza kuwapelekea Fedha magaidi ya Hezbollah kupitia uwanja wa ndege wa Beirut =============== Iran’s IRGC Quds Force has been smuggling cash to the Hezbollah terror group in Lebanon via the Beirut international airport in...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania IDF Chief of Staff, Herzi Halevi atangaza kuwa atajiuzulu Machi 6, kwa kuwajibika kutokana na shambulio la Hamas la October 7

    Wanaukumbi. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Herzi Halevi amemjulisha Waziri wa Ulinzi Israel Katz kwamba anakusudia kujiuzulu mnamo Machi 6. Katika taarifa, Halevi anasema anaondoka jeshini baada ya "kutambua wajibu wangu kwa kushindwa kwa IDF mnamo Oktoba 7, na katika wakati ambapo...
  16. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Israel (IDF) ni Nchi (jeshi) ambao wako Very Overhyped. Hawana Uwezo Wowote

    Israel asee wanapewaga hype sana. Yani kupigana na magenge ya wahuni kama Kuluna (Hamas na Hezbollah) inawachukua karibu mwaka na nusu bila kufanikisha lengo lake la kuwakomboa mateka na kuifutilia mbali Hamas? Pamoja na kusaidiwa kwa silaha, manuari, fedha na kaka zao NATO lakini wapi...
  17. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Silaha, Makombora na Vifaa vya Kijeshi Zaidi ya 85,000 vya Hezbollah Vimetwaliwa na Jeshi la Israel IDF Kusini mwa Lebanon

    Tangu Oktoba 2024, vikosi vya IDF vilifanya kazi dhidi ya Hezbollah katika zaidi ya maeneo 30 kusini mwa Lebanon. Wanajeshi hao walitambua na kuharibu miundombinu ya magaidi, wakaondoa magaidi, na kupata na kunyang'anya silaha. makombora na vifaa vya kijeshi zaidi ya 85,000. Silaha...
  18. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania IDF: tunajiandaa kupiga tena Iran kwenye nuclear site zote

    Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi kupitia Kwa jeshi la Israel wametangaza mpango wao wa kupiga tena nuclear site zilizobakia nchini Iran. Leo IDF wametoa mchanganuo wa vita ya Syria hasa baada ya kuharibu Rada zote Syria pamoja na vituo vyote vya makombora ya Masafa marefu na mafupi pamoja...
  19. U

    JamiiForums Tanzania IDF yasambaratisha kwa makombora jengo la ghorofa 8 Beiruti huku ikidaiwa mlengwa alikuwa kiongozi mkuu mpya Hezbollah Naim Qassem!

    Wadau hamjamboni nyote? Yasemekana Kiongozi Mkuu huyo aliyechaguliwa karibuni na shura ya maimamu kuongoza kikundi hicho cha Hezbollah alikuwa ndani ya jengo hilo pamoja na afisa mwandamizi Talal Hamiya Watu 4 wameuawa na 23 wakijeruhiwa vibaya Jengo hilo la ghorofa 8 limesambaratishwa...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mossad, IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Uingereza wameshindwa kuwarudisha mateka kutoka Gaza, atayekaleta mateka kupewa $5M

    Wanaukumbi. Ni aibu kubwa IDF jeshi ambalo tuliaminishwa kuwa lina kila kitu makomandoo bora kabisa duniani na majingambo ya Netanyahu kuwa tunaingia Rafah kuwarudisha mateka wetu haamna wa kutuzui leo hii Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu anasema Israel inatoa zawadi ya $5m kwa yeyote...
Back
Top Bottom