In information retrieval, tf–idf (also TF*IDF, TFIDF, TF–IDF, or Tf–idf), short for term frequency–inverse document frequency, is a measure of importance of a word to a document in a collection or corpus, adjusted for the fact that some words appear more frequently in general. It was often used as a weighting factor in searches of information retrieval, text mining, and user modeling. A survey conducted in 2015 showed that 83% of text-based recommender systems in digital libraries used tf–idf.Variations of the tf–idf weighting scheme were often used by search engines as a central tool in scoring and ranking a document's relevance given a user query.
One of the simplest ranking functions is computed by summing the tf–idf for each query term; many more sophisticated ranking functions are variants of this simple model.
Wanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele
Jeshi la Israel (IDF) lashutumiwa kwa kulenga kanisa kwa makusudi
Kardinali Pierbattista Pizzaballa amesema:
“Tunachojua kwa hakika ni kwamba tanki — IDF wanasema kwa bahati mbaya — lakini sisi hatuna uhakika, lilipiga moja kwa moja Kanisa la Familia Takatifu, Kanisa la Kilatini.”
Kanisa...
Ripoti ya Channel 12, kwa mara ya kwanza imefichua hadharani kuwa, ndege ya kivita ya Israel F-15 ilikaribia kutua katika ardhi ya Iran wakati wa vita vya siku 12 kati ya Israel na Iran.
Ndege hiyo ilipata hitilafu ya mfumo wa tanki la mafuta wakati ikifanya kazi ndani ya anga ya Iran.
Rubani...
. Israeli official: ‘Iran broke the ceasefire, and it will pay’
By Lazar Berman Follow
Today, 11:22 am
Israel will respond to Iran’s missile attack, an Israeli official says, shortly after Tehran launched at least two ballistic missiles soon after the start of a ceasefire.
“Iran broke the...
Ni kwa mujibu wa JERUSALEM POST, Taarifa ya 17/06/2025 1903 hrs Easy African time.
Kama mpango wa kumuua Ayatollah ulivyo tayari, ndivyo pia mpango wa kulipua kituo kikubwa Cha kurutunusha Uranium kilicho chini ya Ardhi Cha Fordow uliyo. Kinachosubiriwa ni amri tu.
================
The IDF on...
Niwatakie usiku mwema kazi ya today imeisha, kesho kesho nayo ni siku, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, June 15, 2025
IDF says it completed ‘extensive’ wave of strikes on IRGC, military targets in Iran
By Emanuel Fabian Follow
Today, 11:11 pm
The IDF says it has completed an...
Vikosi vya Ulinzi vya Israel vimetoa onyo la dharura kwa Wairani, na kuwaambia wakaazi kuondoka katika eneo lililo karibu na vituo vya kijeshi.
Katika ujumbe kwenye mtandao wa X, akaunti ya IDF ya lugha ya Kifarsi inasema: "Watu wote ... waliopo ndani au karibu na viwanda vya utengenezaji...
Vikosi vya Ulinzi vya Israel vilisema kuwa vimefanya mfululizo wa mashambulizi katika maeneo ya miundombinu mjini Tehran yanayohusiana na mpango wa nyuklia wa Iran.
Jeshi linasema maeneo lengwa ni pamoja na makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Iran na Shirika la Ubunifu na Utafiti.
Iliongeza...
Wapiganaji wa Hamas ambao kwa sasa wanapigana kwa mbinu mbadala baada ya viongozi wao wakuu kuuliwa wameonekana kuja juu katika wiki kadhaa zilizopita na kufanikiwa kuwauwa askari kadhaa wa Israel hasa maeneo ya kusini mwa jimbo la Gaza.
Katika matukio ya hivi karibuni ni kuwakimbiza askari wa...
Wadau hamjamboni nyo. te, Msemaji wa IDF: Israel imeipiga Iran bila kusimama kwa saa 40, ikijumuisha zaidi ya malengo 150 Tehran haina kinga tena , Emanuel Fabian Fuata Leo, saa 8:55 mchana Msemaji wa IDF Brig.
Jenerali Effie Defrin, katika mkutano na waandishi wa habari, anasema...
Wadau hamjamboni nyote. IDF says it’s continuing to strike nuclear targets and scientists, military sites and officials in Iran
By Emanuel Fabian Follow
Today, 11:55 am
The IDF says it continues to strike in Iran, and its next step is to “operate freely...
Wadau hamjamboni nyote. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir na Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Meja Jenerali Tomer Bar walisema katika tathmini iliyochapishwa leo asubuhi kwamba "njia ya kuelekea Tehran imejengwa." "Kulingana na...
Tazama jinsi mmoja wa viongozi walio uwawa alivyopigwa akiwa chumbani kwake sijui amelala au anamgegeda wife
Unajiuliza hawa jamaa walikusanya vipi hizi intel na kupiga shabaha zao zote kwa ufani mkubwa?
Halafu kuna watu wanadai eti pale Gaza IDF inakazi ya kupiga wanawake na watoto
Kama...
Uchunguzi wa IDF: Sajenti Yosef Yehuda Chirak aliuawa kwa risasi rafiki(Friendly-Fire)
Uchunguzi wa awali uligundua kuwa wakati SGT Chirak alipokuwa akifanya kazi ya kukagua shimo la handaki kaskazini mwa Gaza, kikosi kilichokuwa kikilinda eneo hilo kilimpiga risasi bila kujua kuwa huyo ni...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameelezea kuwa Israeli itaendelea kudhibiti Gaza nzima licha ya shinikizo la kimataifa ambalo linaitaka kuondoa kizuizi cha vifaa vya misaada ambacho kimeiacha eneo hilo ukingoni mwa njaa.
Jeshi la Israeli, ambalo limetangaza kuanza kwa operesheni mpya limewaonya...
IDF inatangaza Khan Younis yote kuwa eneo la mapigano, raia kuhama haraka kutoka katika eneo hilo.
IDF inasema Wapalestina wanaoishi ndani na karibu na mji mkubwa wa kusini wa Gaza wa Khan Younis lazima waondoke makwao inapojiandaa kuanzisha "shambulio ambalo halijawahi kushuhudiwa" katika eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.