icc

The ICC Champions Trophy is a One-Day International (ODI) cricket tournament organised by the International Cricket Council. The 2013 tournament was intended to be the final edition of the Champions Trophy, but it was extended to 2017 due to its widespread popularity. In 2018, the ICC decided to replace the tournament with the World Twenty20 championship to be held every two years, and no Champions Trophy was contested in 2021. However, as part of the 2021 Future Tour Programme, the event was reinstated for the 2025 cycle onwards. In November 2021, the ICC confirmed the tournament would next take place in 2025 in Pakistan, with India hosting the tournament in 2029.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

    Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
  2. JamiiForums Tanzania ICC yatoa vibali vya kukamatwa kwa viongozi wa Taliban kwa kuwatesa wanawake na wasichana

    Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa viongozi wawili wakuu wa kundi la Taliban, ikiwatuhumu kuwatesa wanawake na wasichana nchini Afghanistan. Mahakama hiyo yenye makao yake mjini The Hague ilisema kuna "sababu za kutosha" kuamini kuwa Kiongozi Mkuu...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Samia akimuachia huru Lissu atapungua nini?

    Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja. Ni ushauri tu...
  4. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) washtushwa na matukio ya utekaji na ukandamizwaji wa upinzani unaoendelea Tanzania

    Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa Serikali ya Tanzania kusitisha mara moja vitendo vya utekaji wa wapinzani wa kisiasa, watetezi wa haki za binadamu na waandishi wa habari, hasa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu. UN imesema kwamba wameshtushwa na taarifa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hatari iwazi, watawala wa CCM vitendo na kauli zao kuwapeleka mahakama ya uhalifu dhidi ya binadamu ICC The Hague

    Kama utani vile lakini uthibitisho wa watu kutekwa, kuumizwa, kutupwa na bado Bunge la CCM Dodoma mawaziri na wabunge wake kusisitiza wahanga zaidi wasakwe na kushughulikuwa ni ushahidi tosha siku si nyingi tutaona vigogo wakiwekewa vikwanzo na pia waranti ya INTERPOL kuwatia nguvuni kisha...
  6. JamiiForums Tanzania Tulipofika hapa hakuna kurudi nyuma. Vyovyote vile, lazima ICC waje kukuchunguza na kukutolea hati ya kukukamata

    Kwa hapa ulipofika it's too late! Tulikushauri hukusikia. It's just a matter of time. Jiandae kwenda ICC. Tukio la huyu dada wa Uganda kutekwa na kubakwa hakika halijakuacha salama na mark this halitakuacha. Press ya leo ya Gwajima imeonesha kuwa taasisi nyeti ya TISS imejiondoa kwenye haya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwa sehemu ya jopo la uongozi wa IDU, hakuharakishi viongozi Madikiteta Africa kufikishwa ICC?

    Miongoni mwa shughuli ambazo IDU huzifanya, ni pamoja na Kulaani, kuweka msimamo wa kisiasa, au kuhimiza jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua, Na kazi ya Jumuia ya kimataifa, ni kufanya uchunguzi wa mambo maovu yanayofanywa na aidha serikali na ama kiongozi na kisha Umoja huo kutoa agizo la...
  8. JamiiForums Tanzania Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

    Sasa basi, hebu tusikilize kwa makini – this ain’t just some regular violation, huu siyo mchezo wa kitoto. Hiki kilichomkuta dada yetu Agatha Namirimu, mwanaharakati shupavu kutoka Uganda, ni kitendo cha kishetani, cha kinyama, na cha kutisha mno – ni ubakaji wa kisiasa, ni attempt ya kuua sauti...
  9. JamiiForums Tanzania Tuliombe Bunge la EU kupiga kuiomba ICC waanzishe uchunguzi wa Watu kutekwa, kuuawa na kupotezwa Tanzania

    Watanzania wote naomba twende kwenye pages za Bunge la EU kwenye mitandao ya kijamii tuwaombe hiyo kesho kutwa baada ya mjadala wao watoe azimio kuiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya; 1. Rais wa Tanzania; 2. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani Kenya watishia kuishitaki serikali ya Ruto ICC

    Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Kenya wamelaani vikali ghasia zilizozuka katika Eneo Bunge la Kilgoris, Kaunti ya Narok, kati ya wananchi na maafisa wa polisi kuhusu mgogoro wa ardhi ya ekari 6,800 – ambapo watu watano waliuawa. Katika taarifa ya pamoja iliyosainiwa na Kiongozi wa Chama...
  11. JamiiForums Tanzania ICC Waufyata mbele ya Benjamin Netanyahu!!

    Katika mabadiliko makubwa, Mahakama ya Rufaa ya ICC imeegemea upande wa Israel, na kurudisha kesi dhidi ya Netanyahu na Gallant kwenye mahakama ya chini ili kuzingatia kikamilifu pingamizi za mamlaka za Israel. Uamuzi huo unasimamisha mchakato wa hati ya kukamatwa kwa sasa, na kutilia shaka...
  12. JamiiForums Tanzania Pendekezo la kesi- icc dhidi ya serikali ya Tanzania- wanasheria CHADEMA amkeni na mfanye kazi- fofofo- hamtatoboa na hiyo no reform no election

    PENDKEZO LA KESI- ICC DHIDI YA SERIKALI YA TANZANIA- WANASHERIA CHADEMA AMKENI NA MFANYE KAZI- FOFOFO HAIWATOI KWENYE NO REFORM NO ELECTION. NAWAPA MUONGOZO BILA MALIPO. Kichwa: Pendekezo la Uchunguzi wa Uhalifu wa Kisiasa na Ukiukaji wa Haki za Binadamu katika Serikali ya Tanzania Kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hungary imejitoa Mahakama Ya Kimataifa na wamekataa kumkabidhi Netanyahu ICC

    Hongera sana kwa Hungary kwa hatua hii baada ya kuona utapeli wa ICC. Yani wameshindwa kuwakamata viongozi wa hamas na hezbollah wanaoanzisha vurugu kila siku eti wanakuja kumkimbizia Netanyahu aliejibu mashambulizi ya uchokozi. Kama wana hasira sana wakamate bush na blair walioanzisha vita...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA wakifanikiwa kuwashawishi ICC kuja kuchunguza kutekwa na Kupotezwa kwa Wanachama wake na Watanzania, Rais, DGIS na IGP jiandaeni kwenda ICC

    Hivi juzi aliyekuwa Rais wa Ufilipino, Bwana Rogrigo Duterte amekamatwa akiwa uwanja wa ndege wa nchi yake kutokana na operesheni zilizofanyika akiwa Rais za kuwaua Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya. Bwana Duterte amekamatwa kutokana na Hati ya Kukamatwa iliyotolewa dhidi yake kwa makosa dhidi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nini kinachelewesha Kagame kushtakiwa ICC?

    Paul Kagame, kama Rais wa Rwanda, anaweza kuchunguzwa na kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa madai ya ukatili unaofanywa na kundi la waasi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). ICC ina mamlaka juu ya mauaji ya halaiki, uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Duterte wa Ufilipino Akamatwa, kupelekwa ICC

    Ofisi ya Rais wa Ufilipino imeripoti kukamatwa kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Rodrigo Duterte, baada ya kupokea ombi kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Duterte alikamatwa Jumanne katika Uwanja wa Ndege wa Manila alipowasili kutoka Hong Kong, kwa mujibu wa serikali ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ICC: Uchunguzi dhidi ya Uhalifu wa kivita DRC unaendelea

    Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika...
  18. JamiiForums Tanzania Merz amwalika Netanyahu Ujerumani licha ya hati ya kukamatwa na ICC

    Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich MerzPicha: Volker Hartmann/AFP Wakati hayo yakiripotiwa, Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich Merz amemwalika Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuitembelea Ujerumani. Merz amesema atatafuta njia ila kuhakikisha kuwa kiongozi huyo wa Israel...
  19. JamiiForums Tanzania USA sio Mungu wakikosea tuwapinge, kwenye hili nasimama na Mahakama ya Kimataifa ya ICC

    Trump amewawekea vikwazo vya kifedha na Visa kwa maafisa wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC baada ya mahakama hiyo kutoa hati ya kukamatwa kwa viongozi wa juu wa Israel Israel na washirika wengine wa USA. Mtakumbuka kwamba mwaka jana 2024 mahakama hiyo ya kimataifa ilitoa hati kukamatwa...
  20. JamiiForums Tanzania Trump kumuekea vikwazo Karim Khan, Jaji mkuu wa mahakama ya ICC baada ya uamuzi wake dhidi ya Benjamini Netanyahu

    🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu 🚨NEWS: Donald Trump will SANCTION a British lawyer ‘Karim Khan’ over the International Criminal Court’s arrest...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…