icc

The ICC Champions Trophy is a One-Day International (ODI) cricket tournament organised by the International Cricket Council. The 2013 tournament was intended to be the final edition of the Champions Trophy, but it was extended to 2017 due to its widespread popularity. In 2018, the ICC decided to replace the tournament with the World Twenty20 championship to be held every two years, and no Champions Trophy was contested in 2021. However, as part of the 2021 Future Tour Programme, the event was reinstated for the 2025 cycle onwards. In November 2021, the ICC confirmed the tournament would next take place in 2025 in Pakistan, with India hosting the tournament in 2029.

View More On Wikipedia.org
  1. Si Mlisema ICC wanakuja nchini wako wapi?

    Makamanda mlisema ICC wanakuja, najiuliza wanatumia Usafiri wa Punda? Kila nikiingia mtandaoni sioni kama wamefika au laa! Makamanda hebu tuliweke sawa hili jambo lipo au ni Chai tuu maana hata Dada mange naona haliongelei sana siku hizi kulikoni?
  2. S

    ICC naanza kuwaona ni wazembe

    Nilikuwa na imani sana na hii mahakama, ila kwa sasa naanza kupoteza matumaini kuwa huenda nayo inaingilliwa . Tangu watuhumiwa wa mauji ya Oktoba 29 wafunguliwe kesi, inakuwaje mahakama hii iko kimya mpaka leo huku ikionekana kukutana na watu ambao ni wateule wa mtuhumiwa mkuu? Kukutana sio...
  3. M

    David Evance Komba: Tanzania haiwezi kushtakiwa ICC kwa matukio ya Oktoba 29

    Wakati 'Tume Huru ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Nchini Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata' ikiendelea na majukumu yake, na wakati huu ambao inatajwa kwamba baadhi ya wawakilishi wa taasisi za kimataifa wamefika au wanatarajiwa kufika nchini kwaajili ya kuangaza matukio...
  4. R

    Tetesi: Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea Oktoba 29, 2025

    Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea October 29,2025 By the way, hii ni ya sasa au ile ya zamani? Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, (ICC), kupitia Baraza la wanasheria wake, imetangaza kuwa ipo katika hatua za maandalizi ya kuanza uchunguzi nchini Tanzania kwa lengo...
  5. Jaji Nangela ajitosa kuwania Ujaji Mahakama ya ICC, ni juhudi za kujisafisha na yaliyotokea wakati wa Uchaguzi?

    Wakati Mahakama ya Kimataifa Uhalifu wa Kibinadamu (ICC) ikitarajiwa kuchagua majaji wapya ifikapo Desemba mwaka huu, Jaji Deo John Nangela amejitokeza kugombea nafasi hiyo. Kuonyesha kuwa Jaji Deo ana Baraka za Serikali ya Tanzania, Januari 28, 2026, Balozi wa Tanzania the Hague Netherlands...
  6. Q

    Hatimaye ICC kutua nchini - MwanaHALISI

    Mahakama ya kisheria ya Kimataifa inayohusika kusikiliza na kutoa hukumu kwa kesi za jinai ICC, kupitia Baraza la Wanasheria wake limeviambia vyombo vya habari kuwa litafika Tanzania kuanza uchunguzi na kukusanya ushahidi wa matukio yote muhimu yaliyotokea kabla na baada ya tarehe 29/10/2025.
  7. Nini kinaendelea Mahakama ya ICC na Tanzania?

    Picha ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (ICC), Balozi Mahmoud Thabiti Kombo na Naibu Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Mame Mandiaye Niang, pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Februari 14, 2026, imezua...
  8. kwa nini mkutano wa mweshiwa waziri na mwendesha mashataka ICC haujawa publiced na media zetu Tanzania?.Kunani?

    Tumezoea viongozi wetu na vyombo vya habari vya Bongo hutoa taarifa pale wanapokutana na viongozi mbalimbali wa kimataifa. Nimejaribu kutafuta habari ya mkutano wa Waziri wa Mambo ya Nje na Mwendesha Mashitaka wa ICC, lakini sijaona kabisa kwenye vyombo vyetu vya habari au taarifa yoyote rasmi...
  9. CHADEMA inatumia mifano hovyo inawadanganya wafuasi wake kuwa Samia atahukumiwa ICC ,hii mifano ya kuondoa ujinga huo

    Hawa ndio viongozi wa Afrika waliowahi kushtakiwa na International Criminal court bila la maana kutokea au kutokamatwa kabisa 🇰🇪 Kenya (Kesi za 2007–2008 Post-Election Violence) 1️⃣ William Ruto Wakati huo alikuwa Waziri; sasa ni Rais wa Kenya. Alishtakiwa ICC mwaka 2011. Kesi ilifutwa 2016 kwa...
  10. Icc msitumie nguvu kumkamata huyu kiongozi maana ni mzee. Mtumie busara na atii bila shuruti. Yasiwepo makabiliano kama Venezuela

    Naona hata yeye ameshajua kuwa ana wakati mgumu. Juzi amesikiika akiongea kwa unyonge kuwa mimi nitaondoka na watakuja wengine. Hakuna haja ya kutumia nguvu na kumpeleka Icc kama Rodrigo Durtete mumchukue taratibu msije mkatuletea matatizo mengine
  11. Q

    Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC akutana na Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

    Hatujui Kombo kapewa taarifa gani, lkn yumkini itakuwa ni kuhusiana na mauaji ya 29/10 na kesi iliyofunguliwa ICC. Waliokuwa wanasema hakuna kesi iliyofunguliwa ICC na kudhani mambo yataisha, business as usual wafikirie upya. ========== On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC...
  12. M

    Hizi thread za eti JPM ni chanzo cha uovu wote uliopo, ni za kishamba na kujaribu kumuosha anayepaswa kunyongwa na kupelekwa ICC

    Nyuzi zote hizi ni wale chawa washamba washamba wa mama anaupiga mwingi, na ni kikundi maalumu kinachojaribu kutaka kuangalia upepo wa watanganyika, bahati mbaya kabisa hatujaona uzi wowote unasifia kuupiga mwingi Mo 29 Nyuzi zote hizi zinalengo la kutaka kutuliza mioyo ya walioumizwa na...
  13. S

    PostGE2025 ICC wanatuchelewesha sana

    Hawa jamaa tunaomba watoe kipaumbele kwenye mashitaka dhidi ya hawa waauji na ambao mpaka sasa wameshindwa kuwajibika wala kuwajibishana.. Hawatakiwa kukalia ofisi za umma hata kwa sekunde moja. Ni chukizo hata kuwaona wakitoa kauli kama viongozi au watawala. Kwahiyio, ICC msituchelewesha...
  14. Prof. Tibaijuka: Nilipendekeza iundwe Tume ya Kijaji, ingepunguza kelele za ICC kuliko tume ya Rais matukio ya Oktoba 29, 2025

    "Rais alisema ataunda tume jambo jema kabisa na mimi nikaona kwa uzoefu wangu tuunde tume ya kijaji, ukienda Kwenye account ya X utaona kwamba nilipendekeza i iundwe tume ya kijaji. Sasa kama ilivyo mambo mengi labda haikueleweka tangu Tanzania iundwe haijawai kuunda na tume ya kijaji...
  15. Hii Obsession yake kwa Kanisa Katoliki sio ya kawaida. Mwambieni tu hata afanyaje, wana ushahidi wa kutukuka juu yake lazima utamzamisha vilivyo ICC

    Ndani ya Tanzania anahangaika kuwatuma kina Habib Mchange, uvccm, Bakwata na wapumbavu TISS waandae maigizo dhidi ya Kanisa Katoliki kwa ajili ya kuwachafua. Anadhalilisha mapadre, Maaskofu na masista. Alafu nje anawatuma Mawaziri wake kwenda kupiga picha na Baba Mtakatifu ili kuirubuni dunia...
  16. Rais Samia anadaiwa kutumia fedha za umma kununua ushawishi wa Warepublican katika jitihada za kukwepa hadhi ya kutengwa kimataifa

    Wakati Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ikijiandaa kuandaa jalada muhimu kuhusu mauaji ya mwaka 2025, Rais Samia Suluhu Hassan anadaiwa kutumia fedha za umma kununua ushawishi wa Warepublican katika jitihada za kukwepa hadhi ya kutengwa kimataifa
  17. Q

    Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

    Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC. Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu. Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki. Tunafuatilia.
  18. Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

    Hello guys Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika. Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza. Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation. Siongezi maneno but within...
  19. W

    SI KWELI ICC itatoa hukumu mwezi huu January 2026, kuhusu mauaji yaliyotokea Oktoba, 2025

    Wakuu nimekutana na Taarifa huko mtandaoni inayoeleza kuwa; "=AZYgKkVELthfF2or8cz9hZgtDA2u2RiBdMfdI8maVSNICA04cSYXXbdXRplfrWQvl_7jXQwbtQeqJ-AHtoRziO5eE5VYJ6t4oaVOH482QFJ6S9hWcWKyFVkANFBRfLwvaufqlpK135He2ochFj0XJkUCngvoo0g2yoYg_jBY6fBEDX62nxo0jsmwKYNFNTfLS8Y1EhB4LKO4uYtMX6BoU9IN&tn=*NK-R']#Kesi...
  20. Watanzania eleweni, CCM ni sikio la kufa. Dawa pekee ya kuwanyoosha kweli ni ICC tu

    Yaliyotokea Mbeya leo hivi ndivyo CCM ilivyo. Anayoendelea kuyafanya Kenan kihongosi hivi ndivyo CCM ilivyo. CCM haijutii vifo vya maelfu ya Watanzania kwenye Uchaguzi wa mwaka jana Oktoba 2025. Yaliyotokea waliyapanga na waliyaandaa maana ile ndo njia waliyopanga kuitumia ili wabakie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…