A hybrid vehicle is one that uses two or more distinct types of power, such as submarines that use diesel when surfaced and batteries when submerged. Other means to store energy include pressurized fluid in hydraulic hybrids.
The basic principle with hybrid vehicles is that the different motors work better at different speeds; the electric motor is more efficient at producing torque, or turning power, and the combustion engine is better for maintaining high speed (better than a typical electric motor). Switching from one to the other at the proper time while speeding up yields a win-win in terms of energy efficiency, as such that translates into greater fuel efficiency, for example.
Hello wana jamii. Naomba kuuliza kama kuna mwenye uzoefu na uendeshaji wa Toyota AQUA hybrid. Hapa Tanzania experience ikoje?
Je ulaji wa mafuta ni kama wanavyoonyesha kwenye review za mtandaoni 24 - 35 Km/l?
Ufanyaje service je? Mnatumia oil gani. Maana recommended ni SAE 0w20. Ila kwa Hapa...
Bei/Price TSH 13.9M
Call +255 747 999 927
TOYOTA AQUA HYBRID
Year: 2013
Engine: 1490Cc
Mileage: 124,000+
Transmission: AUTO
Fog Lights
Alloy Wheels
2-SRS Airbags
Clean Interior
In Good Condition
Exchange Possible
Hatimaye Mazda wamezindua 3rd gen ya SUV yake pendwa duniani, CX-5 Itakayoanzwa kuuzwa mwaka 2026.
Mazda CX-5 itakuja na option ya 2.5L engine Petrol na 2.5L Skyactiv-Z engine Hybrid itatoka kuanzia 2027 na option ya Diesel mtaendelea kusubiria.
Kwa muonekano wa nje imeongezeka ukubwa kutoka...
Mitsubishi Outlander PHEV ni moja ya magari ya plug-in hybrid yanayoongoza duniani, likiwa na mchanganyiko wa teknolojia ya engine ya petroli na mfumo wa umeme.
Mfumo wa Injini
Outlander PHEV inatumia injini ya petrol ya cc 2,000 ikiwa na 4-cylinders, pamoja na mfumo wa umeme unaotoa jumla ya...
Democracy is not good for Africa, Qatar doesn't have a democratic system of governance. One leader one vision for economic transformation. In Africa we have to just say no to neocolonialism and emancipate ourselves from mental slavery and start thinking to do things on our own. The country...
Hatimaye Generation ya 6 ya Rav 4 imezinduliwa leo tar 21 May huko Japan, na imejumlisha re-design ya kuanzia muonekano wa nje na ndani, hadi performance.
Kuendana na kasi ya ukuaji wa magari ya umeme, generation hii ya Rav 4 itakuja kwa options mbili tu, either full EV (BEV) au Hybrid (PHEV)...
Nissan Note Hybrid 3rd generation (E13) yenye engine (generator) ya cc 1200 na e-Power hybrid system ya Nissan ni chuma ambayo watu wanajifanya hawaioni.
Kwa CIF ya Mil 20+ na kodi ya mil 13+ unapata hii hatchback moja kali sana.
Model ya 3rd gen imeanzia 2020+ na una options za FWD au AWD...
Wakuu.
Baada ya kukaa na Mazda Atenza kwa karibia 2 years, nikaona nibadirishe niende EV ndoto ikiwa Nissan Leaf ila ushuru ukanikata maini nikasema sio mbaya nikienda Hybrid, moja kwa moja nikaangukia Honda Fit Hybrid.
Ni gari ndogo, isio na mambo mengi kwa mtu ambae ana misele mingi ya...
Magari ya Hybrid:
Uzi huu ni maalum kwa Wasiojua Magari ya hybrid wapate kuyafahamu
Katika ulimwengu wa magari, teknolojia ya hybrid imekuwa moja ya mabadiliko makubwa ya karne ya 21. Lakini hybrid ni nini hasa? Hebu tuchambue kwa urahisi, hatua kwa hatua, ili kila mtu aweze kuelewa.
Hybrid ni...
Ni kutoka China tena.
Kampuni ya magari kutoka China ya Roewe wamevunja record ya Dunia kwa kutembeza gari lao la D7 zaidi ya Kilometa 2,200 bila kujaza mafuta wala kuchaji.
Ni Plug-in Hybrid inayokuja na engine ya 1.5 L petrol inayotoa 110 hp na electrical motor inayotoa 200hp, na ikiwa na...
Wakuu.
Bila kupepesa macho, kuna izi hybrid mbili kutoka Japan (Toyota Prius na Honda Insight) ambazo zinafanana na kutofautiana mambo mengi sana.
Kwa kuanza zote naomba tutumie za mwaka mmoja, 2009 ambapo kwa Prius ndio alikua anaanza generation ya tatu na Insight yeye anaanza generation ya...
Wadau Nataka kununua kigari cha kupigia misele hapa mjini. Yaani Nataka kila niendapo iwe ni mwendo wa kukanyaga Gia Tu.
Je kuna gari zaidi ya Vitz na Passo Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?
Nawasalimu wote jukwaani
Kutokana na kuzidi kupaa kwa bei za mafuta napenda kujua zaidi kuhusu hizi hybrid cars. Ufanisi wake, uimara wake, consumption ya mafuta[nimesikia ni ndogo] na mengine mengi na je magari hAya ni rafiki kwa mazingira ya nchi yetu
Mnaofahamu au kuwai kutumia gari hizi...
Waitalia hawapoi, wakati juzi juzi tu wametoka kuzindua Lamborghini Revuelto (ipo sokoni kuanzia huu mwaka 2024) iliyomreplace Aventador (iliyotokea 2012 hadi 2023) sasa wamekuja na Temerario itakayoanza kuuzwa 2025 na inamreplace Lamborghini Huracan iliyokua sokoni kutokea 2014.
Kidogo...
Muda hautoshi, vyuma vinatolewa kila siku.
Kampuni ya Kibabe ya Magari kutoka Ufaransa, Bugatti wameamua kutuletea generation mpya ya gari yao itakayomrithi Bugatti Chiron aliekuwepo tokea 2016 na sasa officially imeachwa kutengezwa 2024, na tumepewa Bugatti Tourbillon.
Hii gari ina cc 8300...
Huku bei ya mafuta ikiendelea kupanda kila kukicha ndani ya hii miaka mitano (kutoka Tsh 2100/= hadi sasa Tsh 3300/=) na hamna "dalili" kuona bei ikishuka, ni muda wa Watumiaji kubadirisha muelekeo (adaptation). Kwa wanaotafuta gari, ni bora kuangalia "Fuel Efficient cars" au "Hybrid cars" huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.