huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnaongea na binti zenu?

    Eti ? Huwa mnaongea nao ? Mnacheka ? Mnashauriana ? Siku moja nipo saloon Alifiki binti m,moja Baada ya kuketi Alipigiwa cm na baba yake na maongezi yao yalikua hivi HER > GOOD MORNING DADY HIM > MORNING DOTAA HIM > NIMEFIKA SALAMA,MWANZA MWANANGU....NA SIM YAKO INA SALIO ? HER > SIM...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ile mifungo ya maombi ya TEC huwa inaishia wapi? Ndio mjue Mungu si binadamu

    TEC huwa wanajifanya wanamifungo ya ajabu ajabu huku wao wenyewe hawawezi hata kuwakanya watu wasiibe Mali za watu, wasichome moto Mali za watu, wasiharibu miundombinu yetu, wasifanye vurugu nchini, wakati wao wenyewe wamejaa roho za mifarakano, roho za vurugu, roho za kutowaheshimu viongozi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Diaspora wa USA huwa wengi wao ni kama wana matatizo ya afya ya akili?

    Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani? Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka...
  4. JamiiForums Tanzania Historia huwa inajirudia CCM

    CCM wataachia nchi kama Nyerere kwa kushindwa kupata Mikopo, misaada na utalii kujifia. Na viongozi watakimbilia uhamishoni kuomba hifadhi History tends to repeat itself Maandamano ni VITA ya watu wajinga in this era. Wao wanaogopa nchi kukwama kiuchumi na kukosa misaada hilo tu. The rest...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano huwa hayazimwi kwa vitisho vya aina yoyote ile, siyo jeshi wala dini!

    Naona walioko hapo juu mnaendelea kufanya kosa lile lile la kabla 29.10.2025. Kabla ya hayo maandamano mlitumia vyeo vyenu vya Uamiri Jeshi Mkuu, Ukuu wa Mikoa, U-IGP nk kuwatishia waandamanaji, kwamba wakiandamana watakiona cha moto. Mkaanzisha na kupitisha maandamano ya Polisi na Wanajeshi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Informers wa Mange Kimambi huwa wanampa matango pori sana

    Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu. Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuamini kwa Tanzania tumefikia level ya majambazi wa kukodi, hawa huwa ni ndugu au watu wa karibu sana

    Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na kesi za kutumiwa majambazi ukichunguza kwa karibu huwa ni wanafamilia au ndugu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania CCM msitupigie kelele mnapo kuwa mnagonga meza kwa shangwe pale bungeni huwa mnaona mnatunga sheria za kuwakomoa CHADEMA na fikra zinakomea hapo

    Mkiwa na viongozi wasio na maono haya ndio madhara yake, mnapo kuwa kwenye vikao vya chama mnapitisha mambo huwa hamuwazi nje ya kikao hicho , na manapo kuwa mnapitisha sheria za hovyo pale bungeni kwa umoja na mshikamano mkubwa kabisa huwa hamuwazi nje ya pale.sasa mnatulalamikia nini huku...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuzoea kushinda kwa kulazimisha ushindi kuna hasara zake, na zaidi ushindi wa kishindo athari zake kwa mshindi huwa ni kuogopa vishindo

    Hakika ya ushindi wa namna hii ni kwamba, ushindi huo hauwezi kumwondolea mshindi huyo hofu ya kwamba naye anaweza kuondolewa kwa kishindo Hofu ya kulazimisha ushindi huwapokonya washindi bandia waliopo madarakani imani ya wapiga kura. Hivyo basi, washindi bandia hujitahidi kujijengea imani kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Unaamini Marais wa kiafirika huwa wanawaroga wananchi wao ili wawe makondoo wawafanye wanavyotaka

    Yaani kuna wachawi wanaroga wananchi wa inchi nzima halafu mnakuwa kama maiti zirizo lala hakuna wa kuhoji wala kuuliza, wale wazee wenzangu mliokuwepo wakati wa utawala wa nyerere mtakuwa mnalikumbuka hilo Yaani Rais inchi nzima inaiweka kwenye kiganja chake anawafanya anavyotaka, ngoja...
  11. JamiiForums Tanzania Huwa unafanya kitu/jambo gani kabla haujalala??

    Kwa upande wangu napenda kuangalia movie,naoga,kama mke wangu atahtaji huduma nitampa Kisha nalala,huu ndio utaratibu wangu wa Kila siku kabla ya kalala, Mdau,utaratibu wako ni upi before haujalala???
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya Aggrey kushinda tuzo ya mwanaume bora wa mwaka. Naomba kufahamishwa alikuwa anashindanishwa nani?

    Eti mwanaume bora wa mwaka? Wametumia metrics zipi kumuita mwanaume bora wa mwaka? Alikua anashindanishwa na nani?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mdau Huwa unasalimia mtu unayekaa naye siti moja kwenye daladala au unakaushaga

    Habari wakuu Binafsi mimi huwa na mikausho mikali sana ili kutojipa stress maana wengi kwenye dala dala wanakuwa kama wamevurugwa hivi, unaweza kusalimia mtu halafu akakunyamzia. Vipi Wewe unatabia gani kwenye daladala ? #Oktoba_tunatoka
  14. JamiiForums Tanzania Hatima huwa haikimbiwi kamwe

    Nimejifunza haya kutoka kwa Polepole na Tundu Lissu hatima uliyo pangiwa na MUNGU huwezi kuikimbia Kuna watu huwa wanasema kwanini wasinyamaze Hapana kila mtu Kuna namna kaumbwa Tundu Lissu na Polepole wa sasa starehe Yao haikuwa pesa Bali ni kuwa wakweli na wapinga uovu no matter what...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Duniani kote wenye Mamlaka ya mwisho juu ya Nchi yao huwa wananchi

    Mamlaka ya mwisho kabisa iko kwa wananchi siku wananchi wa Tanzania wakijitambua dharau za Viongozi zitaisha viongozi wamejaa dharau sana kudharau wananchi kuwaona kama takataka. Hiyo inatokana na wananchi kutojua kwamba wao ndo wenye mamlaka ya mwisho ya kuweza kuondoa yale yanayowaumiza...
  16. JamiiForums Tanzania Je, nini huwa kinatokea pale mtu anapokaribia kufa?

    Hilo swali niliuliza CHATGPT na haya ndiyo majibu yake.... Simulizi za watu waliokaribia kufa (Near-Death Experiences - NDEs) kwa kweli ni za kuvutia sana na mara nyingi huwa na mambo yanayofanana sana ulimwenguni kote. Watu hawa huripoti uzoefu ambao kwa ujumla unaweza kugawanywa katika...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Mara nyingi sisi CCM Vijana huwa tunachagua viongozi wa aina hii. Sijui kwanini?

    Nimeona wamekuwa wakijipenyeza sana hawa watu kwenye uongozi miaka ya hivi karibuni. Najua watasema nao ni haki yao lakini inaleta picha mbaya sana kwa jamii. Tukumbukeni yule mama wa Tanga alisema kitu kuhusu hawa watu kuwa wanajiingiza sana kwenye uongozi. Na kwa sasa ndo wanapata sana...
  18. JamiiForums Tanzania Ni misemo gani ya watu wa kariakoo ukiisikia huwa unacheka sana?

    Mimi binafsi nikipita kariakoo kwenye yale spika zao nikisikia hii misemo minne huwa nacheka sana. 1.Boss kalewa 2.Boss kasahau bei. 3.Boss kavurugwa 4.Boss kapandwa na kichaa
  19. JamiiForums Tanzania Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% ?

    Mfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza. Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
  20. JamiiForums Tanzania Hivi huwa yana kazi gani?

    Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral explanation??? Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…