1:Utaonekana mwerevu pale utakapo kuwa na kitu cha kuonesha, porojo za mdomoni ni sawa na mbwa koko kubweka tu.
2:hakuna mwanaume anayependa mwanamke mmoja, hakuna mwanamke anaye penda mwanaume asiye na kitu.
3:flashlights za dunia hii, zipo kukusherehekesha, ila kama huna plan ya maisha...