hussein bashe

Hussein Mohamed Bashe (born 26 August 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Nzega Urban constituency since 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Hussein Bashe MP (PhD) Waziri Mkuu ajae

    Mheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.
  2. N

    Dotto Biteko na Hussen Bashe mbona umewaacha kwenye Baraza la Mawaziri?

    1. Rais Samia ulivyomteua kumpa ubunge wa kuteuliwa yule bwana kutoka sekta binafsi ya fedha , mtaalm, msomi na mchapa kazi tulijua tunamfanya waziri wa fedha na nchi ingefurahi lakini imekuwa kinyume 2. Dr Biteko alikuwa kiongozi mstaarabu sana na mchapa kazi umekosea sana kumwacha alistahili...
  3. Ijue kampuni ya “Itel East Africa Limited” inayohusishwa na ufisadi nchini Tanzania

    Kampuni ya Itel East Africa Limited ilijiandikisha rasmi tarehe 15 Februari 2013, ingawa inadai kuwa imekuwa ikifanya kazi tangu mwaka 2010. Kampuni hii, ambayo ofisi zake ziko Dar es Salaam, ofisi namba 27 katika jengo la Uhuru Heights, karibu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ni kampuni...
  4. GE2025 Hussein Bashe: Tutauza sukari nje kwa sababu ni biashara na sio huduma

    Mgombea wa Ubunge wa Nzega Mjini ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa Serikali kupitia Wizara yake haiwezi kukataa kuuza sukari nje ya Nchi Kwa sababu kuna baadhi ya watu wanaohoji kwanini Tanzania inauza sukari Nje ya Nchi kwamba Kutakuwa na upungufu wa Bidhaa hiyo Bashe...
  5. GE2025 Bashe: Utu wa mtanzania haulindwi Twitter (X) au Instagram

    "Uchaguzi huu wa Oktoba 29, 2025 ni uchaguzi wa kufanya maamuzi kati ya Maisha halisi na anasa, wapo wanaojadili anasa wakitaka ndio ziwe ajenda za uchaguzi kwamba haki na uhuru wetu umeondolewa kwasababu hakuna Twitter, sisi huku Vijijini tunaelewa maana ya hatua unazozichukua. ... Niwaombe...
  6. GE2025 Bashe wa 2017 alikemea utekaji akitaka Sheria ifuatwe. Je, Bashe wa sasa anaweza kutamka hayo?

    Wakuu, Aprili 7, 2017 Bashe aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Twitter (X), "Sote tusimame tuseme hapana kwa mfumo huu unaoanza kuota mizizi. Kama mtu ana makosa ufatwe utaratibu wa kisheria kumkamata sio utekaji." April 10 akiwa bungeni aliweka hoja mezani akiomba bunge liahirishe...
  7. GE2025 Bashe: Serikali kujenga kiwanda kuchakata zao la Tumbaku mkoani Tabora

    Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amesema serikali inajenga kiwanda kikubwa cha kuchakata zao la Tumbaku mkoani Tabora, huku maandalizi yakiendelea kwa ujenzi wa kiwanda kingine cha kuzalisha mbolea ya zao hilo, ikiwa ni mkakati wa kuongeza uzalishaji na ubora wa Tumbaku ya Tanzania kwenye...
  8. S

    Kumbukizi: Hussein Bashe ajibu waraka wa Kinana na Makamba, Je atajibu tena hoja za Polepole?

    Mbunge wa Nzega Hussein Bashe amefanya mahojiano maalum na Azam TV 17 Jul 2019 na kuzungumzia sakata linaloendelea kushika vichwa vya habari kwenye medani za siasa la waraka ulioandikwa na makatibu wakuu wastaafu wa CCM Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba.
  9. N

    Wazazi Nzega mji walia na ahadi hewa Hussein Bashe: Ahadi ya chakula kwa wanafunzi wa mwanzoli yasalia hewani

    Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu Mheshimiwa Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega Mjini, atoe ahadi ya kugharamia chakula kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Mwanzoli, hasa wale wa bweni waliopata ufaulu wa juu. Hadi leo, utekelezaji wa ahadi hiyo haujafanyika. Ahadi hiyo ilipokewa kwa matumaini...
  10. R

    Waziri Kivuli Mifugo wa ACT, Thomas Nkola aachiliwa kwa dhamana kwa tuhuma kukamshifu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

    Waziri Kivuli wa Mifugo wa ACT Wazalendo, Thomas Nkola ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa siku zisizopungua tatu kwa tuhuma za kumkashifu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe Chanzo: actwazalendo_official
  11. Bashe: Mpina huyu aliua Kitalu cha Mbegu kwa Siasa za Uongo, alimpotosha Rais Magufuli

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, akihutubia Mkutano wa Hadhara Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 17 Juni, 2025 kwenye ziara ya Rais samia amesema kuwa; ''Jambo jingine ambalo Mhe. Rais nataka nilitolee maelezo na nataka hili niliongee polepole Wakulima wote wa Pamba na Wanasiasa...
  12. Hussein Bashe [MB] aomba Bunge kuunda kamati teule ya Bunge kuchunguza kikundi cha utekaji kilichopo ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa - TISS

    https://youtu.be/63sXH3357rs?si=3ImWk0_uC_FVkAcf Tunafukua makaburi: Hapo ni Bashe alipokuwa bado mbunge tu, back bencher hajalambishwa asali ya uwaziri. Baada ya hapo, aliteuliwa kuwa Waziri na kisha naye akajiunga na watekaji🤔🤔🤔 halafu kimyaaaa mpaka Leo... Alilia na kuwa na hofu baada ya...
  13. PreGE2025 Deodatus Mwanyika amuomba Rais Samia amrejeshe tena Hussein Bashe kuwa waziri wa kilimo baada ya uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge viwanda, biashara, Kilimo na Uvuvi Deodatus Mwanyika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan mara baada ya Uchaguzi Mkuu amrejeshe katika nafasi yake ya uwaziri wa Kilimo,Hussein Bashe Ili aendeleze mazuri yanayofanyika katika...
  14. W

    Hussein Bashe: Kwa mujibu wa katiba Rais ndiye msimamizi wa Rasilimali za nchi. Yeye ndiye anaegawa keki

    Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa === Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki. Bashe...
  15. Ni Malawi na sio Tanzania itakayoathirika zaidi kwenye mgogoro wa kibiashara unaoendelea. Malawi isichelewe, ichukue hatua zifuatazo!

    Wakuu. Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro mkubwa wa kibiashara kati ya Malawi na Tanzania, mgogoro ambao ukiuangalia kwa umakini, madhara yake yanaweza kuwa makubwa hasa kwa upande wa Malawi. Kama mnakumbuka siku chache nyuma, Malawi iliamua kupiga marufuku uingizaji wa baadhi ya...
  16. PreGE2025 Bashe: Rais Samia kuzindua Benki ya Ushirika Tanzania Aprili 28, Ikianza na mtaji bil. 55, matawi manne

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Rais Samia anatarajiwa kuzindua rasmi Benki ya Ushirika Tanzania tarehe 28 Aprili 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  17. Kusema ukweli Hussein Bashe amepiga pesa za BBT! Huu ni ufisadi mkubwa sana 'na kwakuwa Rais hana muda na mafisadi acha wajipigie mipesa ya bure

    Bashe anapenda kulimia mdomo na kupiga sound sana! Anamchapa sound mama anaingiza mihela tu! Hussein Bashe ana kilimo cha kwenye makaratasi, mabilioni ya pesa yanapotelea kwenye mikono yake! Angalia mradi wa BBT unavyomdhalilisha! Alitaka kulima kwa makaratasi na mdomo ! Mahindi Yale hata kwa...
  18. Hussein Bashe ataacha lini kuwahadaa watanzania kwa ruzuku ya tumbaku?

    Wana bodies, Serikali mwezi December 2023 ilitangaza bei elekezi ya pembejeo zote ambapo bei hizo zilikuwa na ruzuku . Wakulima wa zao la tumbaku walikuwa miongoni mwa wanufaika wa ruzuku hiyo na bei ingeshuka kwa kiwango cha kuridhisha Hata hivyo ulipofika wakati wa kulipa mikopo ya pembejeo...
  19. DOKEZO Bashe anafahamu kama kuna uhaba wa malimao nchini? Kwanini hakuna hatua za dharula kama za sukari ?

    Kuna uhaba wa malimao na ndimu katika nchi, hapa nilipo wanauza limao moja dogo 500, la kati 700 na kubwa buku! Hii haikubaliki, nimekunywa supu ya Samaki bila malimao na sasa nakula pilau yenye kachumbari bila limao! Bashe na waziri wa biashara chukueni hatua za dharura malimao yapatikane...
  20. Luhaga Mpina (Mb) ataka Waziri wa Fedha na Waziri wa Kilimo wasimamishwe kazi

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni maelezo kwa Ufupi ya Mbunge Luhaga Mpina aliyo yatoa kwenye mahojiano na Waandishi wa habari wiki hii Jijini Dar Es Salaam alipokuwa akitoka Mahakamani. Pia alitoa maagizo kwa mawakili wake waiombe Mahakama Kuu ya Tanzania itoe maelekezo kwa Waziri wa Kilimo Mh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…