Makamu wa rais aliyelazimika kujiuzulu akadai kajiuliza mwenyewe Emaruel Nchimbi,
Japo umeondoka kimya kimya, umeacha kelele kila mahari.
Japo, umesema kuwa umeachia ngazi na si kuachiswa madaraka au tuseme kutemeshwa bungo, umeacha kitendawili ambacho anayeweza kukitegua ni wewe ama rais...