humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Kuna Uwezekano mkubwa anayejiita kaka yake Humphrey Polepole akawa na matatizo ya akili na msongo wa mawazo

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna uwezekano Mkubwa sana mtu anayejiita Kaka Yake Humphrey polepole Akawa na Matatizo ya akili pamoja na Msongo Wa Mawazo. Ni mtu ambaye ukimsikiliza vizuri na kwa umakini unabaini wazi kabisa ni mtu ambaye hayupo sawa kichwani na pengine ameelemewa na msongo wa mawazo...
  2. Cute Wife

    Augustino Polepole: Najua Humphrey Polepole yupo Kigamboni, mumpeleke kwa mama yake, mkimhamisha mtajuta

    Wakuu, Kuna habari gani kuhusu huyo Mafwele, naona mapichapicha tu huko mtandaoni! Kweli jamaa aliingia kwenye kumi na nane za Kanali? Baada ya kaka wa Augustino Polepole kuongea mchana wa leo, amerusha tena video nyingine akisema amepata habari wanataka kumhamisha Polepole kutoka hapo...
  3. Chizi Maarifa

    Kaka yake Humphrey Polepole nadhani hayupo Serious ni wa kumpuuza kwa sasa

    Kama angekuwa amemkamata Mafwele sidhani kama mtu serious anamkamata na kumwachiai. Huo ni uongo wa mchana. Mtu ambaye amemteka ndugu yako au kamuua. Unamkata unamwachia? Yaani unaona adhabu yake ni hiyo kama ni kweli? Ni uongo. Aanze kuwa serious. Huyu bwana mdogo anaongea sana vitendo hamna...
  4. Waufukweni

    Wakili Massawe: Kwani Ali Kibao aliposhushwa, si alishushwa na Polisi, walisema ni Polisi?

    Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe akijibu maswali ya Waandishi wa Habari Februari 10, 2026 wakati akitoa taarifa kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini amesema matukio mengi yanayofanyika kama yale ya Mzee Ali Kibao na Humphrey Polepole, Polisi...
  5. Waufukweni

    Butiku: Sijui Polepole alipo, ingawa aliniaga

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema hajui aliyekiwa Balozi, Humphrey Polepole, alipo hadi sasa ingawa mara kadhaa alikuwa akikutana naye. "Kabla ya kuacha kazi aliniambia, nifanyaje? Nikasema sikiliza ridhaa yako, lakini mara ya mwisho...
  6. Etwege

    Humphrey Polepole hata wakikuua ulishamaliza wajibu wako kwa taifa, nyeti za CCM mtandao ziko hadharani

    H Polepole alishatusanua, tatizo la nchi hii siyo mabeberu ni ccm mtandao. 1. Ndiyo maana Singa singa wa Iptl alitolewa harakaharaka na kulipwa billioni 349 za kodi za watanzania kinyume kabisa na agizo la bunge. 2. ⁠Ndiyo maana wabunge wote waliokuwa wanahoji kuhusu masilahi ya taifa na...
  7. The Father of All

    Rachel Dangwa adai Polepole bado yupo hai

    Alichosema mtengeneza maudhui ya kukosoa serikali ya Tanzania ni kuwa Humphrey Polepole amekuwa akihamishwa hamishwa sehemu anazohifadhiwa. Amedai kuwa anapohamishwa huvishwa nguo nyeusi. Amepelekwa Mbweni kisha Kigamboni. Rachel amesema wanajisumbua wanaofanya juhudi ya kufungia account zake...
  8. W

    Mama Polepole: Wamrudishe mwanangu akiwa mzima, lolote litakalotokea na mimi nimezaliwa na Mungu kutoka mbinguni nitajua cha kufanya

    Wakuu Mama yake na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba (Humphrey Polepole) ameomba arudishiwe mwanawe akiwa mzima na kama lolote baya litamkuta huko alipo basi atajua cha kufanya. Mama Polepole ameeleza kuwa lolote baya likitokea kwa mwanawe huko alipo basi kila aliyemgusa naye atakufa...
  9. DuaZaMama

    Video: Ndugu wa Humphrey Polepole wakimwombea ndugu yao

    Ndugu wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba 'aliyetekwa' takribani miezi mitatu iliyopita leo, Jumanne Januari 06.20226 wamefanya maombi kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mpendwa wao wakimuomba Mwenyezi Mungu amlinde mpendwa wao huko aliko na arejeshwe akiwa salama...
  10. thegreat1510

    Yuko wapi Augustino, kaka yake Humphrey Polepole?

    Mara ya mwisho alitoa masaa 24 na tishio kali sana kwa samia na genge lake. Kwa alivokuwa anazungumza inaonekana lilikuwa ni jambo lilio ndani ya uwezo wake kuwadhuru magaidi hawa. Kinachonishangaza ni ukimya wake tangu siku hio, hata attempt yoyote haijaonekana hata kwa hawa askari wadogo...
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    Wewe Samia Suluhu Hassan unajua alipo Mteule wako Humphrey Polepole?

    Nakuagiza ututangazie alipo kama tulivyo tangaziwa alivyo teuliwa. Hii ni amri sio ombi.
  12. B

    Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila asked about the whereabouts of the abducted ambassador Humphrey Polepole

    Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila asked about the whereabouts of the abducted ambassador Humphrey Polepole The most contentious questions asked by the press to governor of Dar es Salaam county Mr Abert John Chalamila revolved around the intelligence failures leading up to...
  13. DuaZaMama

    PostGE2025 Polepole: Wapo wanaotengeneza orodha ya watakaoshiriki Katika 'Maridhiano' Baada ya Uchaguzi

    "Kuna watu wakiwemo wazee wanatengeneza orodha ya nani na nani watashiriki kwenye maridhiano baada ya hii kitu kinaitwa uchaguzi mkuu mimi naita kiini macho watakao shiriki kwenye maridhiano kutupatanisha, sasa hivi wamekaa kimya kwa sababu wanaulaji, mimi naanza kuwakataa leo mmepoteza uhalali...
  14. Waufukweni

    Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

    Kaka yake Humphrey Polepole, anayejitambulisha kama Kanali Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi
  15. Mafyangula

    Kaka wa Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole azungumza mazito zaidi ikiwa leo ni kumbukizi ya mdogo wake

    Baada ya kimya kirefu kidogo, kaka wa balozi Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole atokea na kuzungumza na umma wa watanzania yasikilize aliyosema leo ikiwa ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya balozi humphrey polepole Habari njema: Tanzania mpya imeshakuja na hakuna wa kuizuia kwa namna...
  16. ChekoFagia

    Happy Birthday Humphrey Polepole, Watanzania wanakukumbuka sana

    Happy birthday. Lakini moyoni mwangu bado nakuwaza. Mimi, pamoja na wengi, tunaendelea kutumai kuwa huenda siku moja tungepata majibu, kwa kuwa bado kuna sauti ndani yetu inayosema labda bado upo hai. Hilo ndilo linalouma zaidi. Maumivu yangu huwa makubwa ninapomuona mama yako akiendelea kuomba...
  17. Mhaya

    Unamzima Humphrey Polepole anabuka Larry Madowo; Serikali Isipuuzie Sauti za Raia

    Shida ya serikali yetu imechukua mizizi kwamba njia pekee ya kuwanyamazisha wananchi ni kuwatia mbaroni au kuwatisha kwa jeuri au kauli kali. Wamesahau kabisa kwamba kila siku watoto wa binadamu wanazaliwa. Kwa hiyo, kila siku wanaharakati wapya, wenye damu changa na shauku mpya, wanakuja...
  18. Griss

    Tetesi: Baada ya Polepole sasa anayewindwa ni Lissu. Lissu anatakiwa kulindwa kuliko kitu chochote

    Nimerudi kuwasanua mwenye masikio na asikie: asiyesikia la mkuu uvunjika guu. Kuna wahuni wanapanga kutumia mwanya wa maandamano kuchochea kuni zaidi kwa maslahi yao binafsi. Sasa hivi ni wazi kabisa ni Lissu anayekuwa mhitajiwa. Kuna mpango unaosukwa, wanamtandao wanasema, baada ya kuona...
  19. The Magnifico

    Tundu Lissu, Humphrey Polepole na Josephat Gwajima ndiyo pekee ambao wakiachiwa na kuongea neno, kidogo itatuliza fukuto

    Hii miamba mitatu ndiyo kwa sasa ina "Public Trust" kubwa nchi hii kuliko yeyote yule katika nyakati hizi. Hawa ndiyo imani ya wananchi wengi iko kwao, neno lao lina nguvu kushinda yeyote yule! Hawa ndiyo the only "Checkmate" wa kututoa kwenye hili sekeseke na kutuliza hali ya hewa ya nchi...
  20. DuaZaMama

    PostGE2025 Agustino Polepole: Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa

    Kwa mujibu wa kaka yake Balozi Humphrey Polepole, Kanali Agustino Polepole, amesema kuwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyetoa maelekezo kwamba Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa. “Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa.” Kanali Agustino Polepole, kaka wa Balozi...
Back
Top Bottom