hukumu ya kifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo kwa Rais wa Syria inatuma ujumbe gani kwa wahusika wa October 29?

    #HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad. Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo kwa kutokuwepo rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa makosa yanayohusiana na uhalifu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kati ya hukumu ya kifo na kifungo cha maisha,ipi ni adhabu kali zaidi?

    Kati ya kufungiwa kwenye chumba ukae humo mpaka ufe au utundikwe kwenye kamba,au uchomwe sindano yenye kemikali za sumu au upitishiwe umeme wa msongo mkubwa kwenye mwili wako ufe instantly, ipi kati ya hizi ni adhabu kubwa kwa serious crimes?
  3. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Marais wa Tanzania, Kutosaini Death Warrants, Je Kuna Haja ya Kuendelea Kuwepo Adhabu Hii ya Kifo cha Kikatili kwa Kunyonga?

    Wanabodi, Makala yangu gazeti la Mwananchi la leo, hapa ninazungumzia uhitaji wa kuendelea adhabu ya kifo cha kikatili kwa kunyonga mpaka kufa?. Hoja hii ni kufuatia kitendo cha marais wa 4 wa Tanzania, kati ya marais 6, kutosaini kabisa Death Warrants, hivyo nauliza kama bado kuna haja ya...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran imewanyonga raia wake 1,639 kwa mwaka 2025 pekee

    Mamlaka ya Iran yaliwanyonga watu wasiopungua 1,639 mwaka wa 2025, idadi kubwa zaidi tangu 1989, kulingana na ripoti ya pamoja ya mashirika mawili yasiyo ya kiserikali ya haki za binadamu. Ripoti hiyo inasema kuwa mauaji yaliongezeka kwa asilimia 68 kutoka 2024 na kuwajumuisha wanawake 48...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa DRC wadai hukumu ya kifo kwa Kabila hakuleta amani bali mvutano utaendelea

    Wakazi wa mji wa Bukavu uliyoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraisia ya Congo wamesema kuhukumiwa kifo kwa rais wa zamani, Joseph kabila, hakutaleta amani ambayo wanatamani, ila itaongeza hali ya mvutano. Bukavu ilivamiwa na waasi wa M23 tangu Februari 2025. Mahakama ya Kijeshi nchini DRC...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wenzetu ukiskika na tuhuma za hongo tu unahukumiwa kifo ila bongo hata mwenye tuhuma za kulawiti anaweza tolewa siku hiyo hiyo aliyoshtakiwa

    Aliyekuwa waziri wa kilimo China ahukumiwa kifo kwa kashfa za hongo Waziri wa zamani wa Kilimo wa China, Tang Renjian, amehukumiwa adhabu ya kifo iliyositishwa kwa miaka miwili, baada ya kupatikana na hatia ya kupokea hongo ya takribani Yuan milioni 268 (sawa na Dola milioni 38 za Marekani)...
  7. JamiiForums Tanzania Tishio kwa Wazalendo: Haki ya Maoni au Hukumu ya Kifo?

    Fg
  8. JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza jinsi mwisho wako hapa Duniani utakavyokuwa? Umejipangaje kuupokea?

    Moja kati ya swali la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kuhusu mwisho wako hapa Duniani. Unajua ni lini au ni namna gani utaondoka? Umejiandaaje? Maandalizi mazuri zaidi ni kurekebisha njia zako na kuishi kama Mungu anavyotaka bila kusahau jamii na sheria za nchi zinataka nini. Kuishi kama...
  9. JamiiForums Tanzania Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo February 26,2025 imemhukumu kunyongwa hadi kufa Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) kwa kumuua Mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa Katika kesi ya jinai namba 44/2023 mfanyabiashara huyo mkazi wa Gezaulole...
  10. JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo Kwa vijana wa Kuluna Gang DRC iwe fundisho Kwa panya road

    Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Zimbabwe yafuta rasmi Hukumu ya Kifo baada ya kutotekelezwa kwa miaka 19

    Rais Emmerson Mnangagwa ameidhinisha Sheria inayofuta rasmi adhabu ya Kifo ambayo kama ingeendelea kutekelezwa, ingeondoa uhai wa Wafungwa takriban 60 waliohukumiwa adhabu hiyo. Shirika la Amnesty International limepongeza hatua hiyo na kuielezea kama hatua muhimu katika juhudi za kimataifa...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi za Kiislamu Zinazotoa Hukumu ya Kifo kwa Kuacha Uislamu

    Katika baadhi ya nchi za Kiislamu, sheria za kidini (Sharia) zinaweza kumhukumu mtu anayekataa au kuacha imani ya Uislamu kwa adhabu kali, ikiwa ni pamoja na hukumu ya kifo. Hii ni kutokana na tafsiri za sheria za Kiislamu kuhusu “kufuru” au “apostasy” (kuasi dini). Ingawa si nchi zote za...
  13. JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo kwa mfanyabiashara Truong My Lan yathibitishwa

    Mfanya biashara wa Vietnam mwanamama aliyehukumiwa kifo na mahakama ya Hoch Min City mwezi wa April kwa kosa la kughushi nyaraka na kujipatia fedha kiasi Cha Trillioni ishirini, na baadaye kukata Rufaa akitaka apunguziwe hukumu hiyo mpaka kifungo Cha maisha. Baada ya kukata Rufaa Mahakama ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua katika hukumu za kifo ni kuwa kila binadamu anaogopa kuua binadamu wengine

    Nilikuwa napitia Hukumu ya Afande Zombe katika ile Kesi ya Muuza Madini aliyeuawa Mabwepande Jaji alisema Zombe hana hatia Kwa Sababu Siyo yeye aliyefyatua risasi iliyomuuwa Muuza Madini Pia soma: Arusha: Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yaiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaosubiri kutekelezwa kwa hukumu ya kifo, siku au dakika za mwisho huwa wanakuwa katika hali gani?

    Kuna jambo limenikumbusha vita ya ghuba(Second Persian Gulf war) ile iliyomuondoa madarakani aliekuwa Raisi wa Iraq, Bwana Saddam Hussein. Nikakumbuka huyu bwana alihukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa hadi kufa. Saddam ni mfano tu wa watu wengi waliouwawa kwa adhabu ya kifo iwe kwa kunyongwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

    Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu leo kunyongwa hadi kufa Grace Mushi (25) maarufu kama Neema baada ya kumtia hatiani kwa kumuua mpenzi wake Abdallah Sekamba. Grace alimuua mpenzi wake kwa kumchoma moto hadi kufa kwa kutumia mafuta ya petrol, baada ya kumfungia ndani ya nyumba...
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Iran imetoa hukumu ya kifo maafisa 4 wa MOSSAD

    Wanakumbi. 🇮🇷Mahakama ya Iran imewahukumu kifo wanachama 4 wanaohusishwa na MOSSAD, ambao walikamatwa hapo awali. Magaidi hawa chini ya uongozi wa maafisa wa Mossad, walikuwa wakifanya shughuli za kuhatarisha usalama wa Iran...
  18. JamiiForums Tanzania Bunge la Ghana lapiga kura na kuifuta hukumu ya kifo katika Taifa hilo

    Ghana imeingia katika orodha ya Nchi za Afrika ambazo zimeiondoa hukumu hiyo miaka ya hivi karibuni. Taifa hilo lina Wanaume 170 na Wanawake 6 ambao walihukumiwa kifo lakini adhabu yao sasa itakuwa kifungo cha maisha gerezani. Mara ya mwisho Ghana kutekeleza hukumu hiyo ilikuwa Mwaka 1993...
  19. JamiiForums Tanzania Iran: Waandamanaji 100 wadaiwa kukabiliwa na hukumu ya kifo

    Taarifa ya Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Norway (IHR) lenye makazi yake Nchini #Iran ni kuwa idadi hiyo ya watu wanakabiliwa na hukumu hiyo [amoja na kesi za mauaji. Wanawake watano ni kati ya waliopo kwenye hukumu hiyo na inadaiwa idadi ya watuhumiwa inaweza kuwa kubwa zaidi kwa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya Irani itatekeleza hukumu ya kifo kwa watuhumiwa hawa 7 ambapo 2 wanauraia wa Uingereza?!

    Wakati dunia na hasa mataifa ya magharibi yakiendelea kulaani utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa waandamanaji 2 walionyongwa na serikali ya Irani hivi majuzi, Taarifa iliyochapishwa na vyombo vya habari vya serikali ya Iran leo, imesema kikosi cha walinzi wa kimapinduzi nchini Iran Jumapili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…