Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Toomaj Salehi anatuhumiwa kueneza Propaganda, Kushirikiana na Serikali yenye Uadui na Kuchochea Vurugu.
Salehi alikamatwa Oktoba 2022 baada ya kuunga mkono maandamano ya kupinga kifo cha Mahsa Amini, msichana wa miaka 22 aliyefariki akiwa chini ya Polisi kwa...
Wanabodi,
Kiongozi mzuri ni yule anayeyaishi maneno yake, yaani ku "practice what you preach". Ile preaching ya jana ya Rais Magufuli kuomba Watanzania wanaohukumiwa kifo Wanyongwe tuu, imenigusa na kumshauri ayaishi maneno yake kwa kuanza na hawa wa nyumbani waliohukumiwa kunyongwa mpaka wafe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.