huduma bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    NGOME J&U wana huduma bora, sambaeni mitaani pia.

    Mimi sijui kirefu cha Ngome J&U ila najua ni vituo vya kuuza mafuta ya Petroli kwa vyombo vya moto (Petrol stations) vinavyopatikana kwenye maeneo/kambi ya jeshi la wananchi JWTZ yanayotazamana na barabara kuu. Inawezekana ni vituo vinavyomilikiwa na jeshi kwakuwa viko maeneo ya jeshi na vina...
  2. Amicable Group

    Kwa huduma bora za usafi katika Ofisi, Taasisi, Biashara na Nyumba — kampuni yetu iko tayari kukuhudumia kwa weledi na uaminifu

    𝗧𝗮𝗻𝗴𝗮𝘇𝗼 𝗹𝗮 𝗛𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝘆𝗮 𝗨𝘀𝗮𝗳𝗶 Kampuni ya 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 inawakaribisha wateja kwa huduma bora za usafi kupitia 𝐀𝐦𝐢𝐜𝐚𝐛𝐥𝐞 𝐂𝐥𝐞𝐚𝐧𝐢𝐧𝐠 𝐒𝐞𝐫𝐯𝐢𝐜𝐞𝐬. Tunafanya usafi kwa ufanisi katika: Ofisi Majengo Taasisi Maeneo mbalimbali nchini Tanzania Wasiliana nasi: 📞 Simu: 0753 786 858
  3. A glass of water

    Je ni mambo gani yanaboa na kuuzi kwelikweli ambayo unatamani yasiwe ivyo lakini hauna namna ya kuyabadili

    Mambo ni mengi ndugu zangu, tuanze na salam kwa wote. Kuna mambo kadhaa yanaboa sana kwenye maisha yetu ya kila siku tupeane mbinu au tuyaweke wazi tuyajue. 1. Unaenda sehemu ya huduma, unakuta watoa huduma hawana habari na nyinyi wala hamna utaratibu wa foleni na hamna lolote basi tu. Ila cha...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Janeth Rithe: Msitegemee kupata huduma bora za afya

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe, amewaambia wakazi wa Jimbo la Tunduru Kusini Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuwa wasitegemee kupata huduma bora za afya kwakuwa Chama Cha Mapinduzi hakijali matatizo ya wananchi hivyo dawa pekee ya kuboresha huduma zote za kijamii...
  5. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Dkt. Mpoki apongeza Huduma Bora za Kibingwa za MOI Sabasaba

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya leo Julai, 4, 2025 ametembelea banda la kutolea huduma la taasisi hiyo katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Dkt. Mpoki ambaye...
  6. M

    Huduma bora kwa mifugo yako

    Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya,Leo napenda kuwaletea huduma bora kwa mifugo yako ambayo husaidia kuongeza uzalishaji kwenye shamba lako la mifugo. 🔴HUDUMA ZINAZOTOLEWA: ✅ Uhimilishaji kwa nguruwe ✅ Matibabu ya wanyama ✅ Chanjo ✅ Upasuaji ✅ Ramani za mabanda ✅...
  7. B

    Uwekezaji kwenye Ubia wa BRT maarufu kama UDART kwa kushirikiana na Emirates utaleta mapinduzi na huduma bora kwa abiria wa Dar Es Salaam. Big Up!

    Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar. Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu. Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
  8. M

    HUDUMA BORA KWA MIFUGO YAKO🐂🦮🐕‍🦺🐖🐓🐔

    Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya.napenda kumshukur mungu kupata nafasi hii kwenu.kwa majina naitwa dr gilliard nimebobea katika masuala ya matibabu ya wanyama.. Leo napenda kuwaletea huduma bora zitolewazo kwa wanyama Kama mbwa, ng'ombe mbuzi, nguruwe,kuku,paka,na kondoo n.k...
  9. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Aliyefanyiwa upasuaji wa nyonga na goti aishukuru MOI kwa Huduma Bora

    “Nilikuwa na changamoto ya nyonga na magoti kwa muda wa miaka 8, baada ya kufanyiwa upasuaji huo na Madaktari Bingwa kutoka MOI sasa naendelea vizuri” Bi. Apaikunda Massawe Mkazi wa Arusha
  10. A

    Huduma bora ya usajili kampuni na jina la biashara

  11. K

    🏗️🔥 KIPPAYA CONSTRUCTION – UJENZI WA KISASA,

  12. Cute Wife

    Ni huduma gani nchini haijajaa malalamiko ambayo tunaweza kusema kwa 90% serikali imetenda?

    Wakuu, Ni huduma gani ambayo tunaweza kusema kwa 90% na kuendelea kuwa serikali imetimiza? Yaani hata mtu akilalamika tutasema hapa ni roho mbaya tu ya watu kulalamika lakini huduma ni nzuri? Si kwa huduma za 'bure' wala ambazo tunachangia ambazo zimefanywa kwa ufanisi. Kote kumejaa makando...
  13. vnn

    Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

    Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee, Nchi inayoelekea uchumi wa kati, Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi! Hii ni kada gani hapa nchini?
  14. Wauzaji wa Aluminium

    Kwa wale ambao mnahitaji kusafirisha containers, lose cargo n.k naomba tuwasiliane ili muweze kupata huduma bora za usafirishaji

    This service for now is unavailable , we Appreciate your endeavors in making us great Thank you 🙏🏽
  15. Cute Wife

    Kumradhi haitoshi! Wananchi tufidiwe tunapokoseshwa huduma stahiki

    Wakuu, Mwananchi akichelewa kufanya malipo au akiharibu kitu hakuna msalia mtume, yaani uwajibikaji ni hapo kwa hapo, sasa kwanini wakitukosesha wao huduma inaishia tu kwenye kumradhi? Uwajibikaji uko wapi? Kwamba sisi ni waelewa sanaaaaa na hasara na usumbufu wote tunapitia hauna maana...
  16. Manyanza

    Hivi kwanini utoaji wa haki hapa nchini umekuwa hakuna?

    Wakuu ! Ni matumaini yangu mko salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila kwa neema na kudra za Allah. Nimeamua kuanzisha huu uzi ili niweze kusikia maoni yenu au kuweza kupata kujua ni namna gani ninaweza kupata haki yangu ya msingi hasa kwenye kipindi hiki ambapo upatikanaji wa haki...
  17. A

    KERO Kampuni za Mawasiliano zimeshindwa kuhakikisha huduma bora ya Mtandao Tarafa ya Mashati, Rombo

    Makampuni ya Simu kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya Miaka 10 tangu 2010 yameshindwa kuhakikisha Huduma Bora ya Internet katika tarafa ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro. Si network ya kupiga simu au ya kutuma ujumbe mfupi (SMS) wala internet, zote ni mbovumbovu na karaha kwa watumiaji...
  18. Waufukweni

    Nchi 10 za Afrika zenye huduma bora za Polisi, Tanzania haipo

    Ripoti ya Afrobarometer iliyochapishwa hivi karibuni, imebaini kuwa huduma za polisi barani Afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa za uadilifu na weledi, huku asilimia ndogo ya raia wakiridhika na utendaji wa vyombo hivyo vya usalama. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyokusanya maoni ya raia kati...
  19. M

    Unashauri nini kifanyike ili sekta ya afya iweze kutoa huduma bora kwa kila Mtanzania?

    Je, wajua? Serikali ya Tanzania chini ya Marais toka awamu ya kwanza hadi sasa awamu ya Sita imechukua hatua mbalimbali kuimarisha huduma za afya nchini kwa kujenga miundombinu ya afya. Zikiwemo zahanati, vituo vya afya, hospital za halmashauri, hospital za wilaya, hospital za mkoa, hospital...
  20. Mathias Byabato

    Nani mtoa huduma bora ya Mizigo kwa ndege na meli kutoka China?

    Wakuu, Si wote tunaweza kwenda China kufuata mizigo hasa hii midogo midogo ya matumizi ya kawaida na pengine biashara. kwa miaka takribani mwili nimekuwa nikiagiza kupitia hawa jamaa wanaitwa UNIQUE CARGO awali walikuwa wanafanya vema lakini kwa siku za karibuni naona wanasua sua. mzigo wa...
Back
Top Bottom