Alikuwa anajipenda sana, toto la singida, jeupeee.
Ilikuwa hivi, nilikuwa nammezea mate sana ila sikuwahi kumtongoza. Sikumoja akaweka simu yake kwenye flight mode bila kujua kwahiyo akawa hawezi kupiga simu wala kutuma sms. Akaniletea nimrekebishie yeye akaenda kuendelea na mambo yake...