hotuba ya rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    Marekani: Makelele yazuka wakati wa hotuba ya Trump

    Rais wa Marekani Donald Trump amekosolewa kwa sauti na kelele alipokuwa akitoa hotuba ya Hali ya Taifa. Wakati Warepublican wakimpa Trump shangwe za kusimama alipokuwa akizungumzia sera yake ya uhamiaji, aliwakemea wale ambao hawakusimama akisema, “Mnapaswa kuwa na aibu.” Tukio hilo la mvutano...
  2. Genius Man

    Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria

    Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria. Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa. Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
  3. Waufukweni

    Mwigulu: Hotuba ya Rais Samia hapa Bungeni ilikuwa nzito, inayoonesha umakini, umahiri na kutoa mwelekeo na dira

  4. The Palm Beach

    Hotuba ya Rais Samia kuuaga mwaka 2025 yazua mjadala. Aendelea kukebehi maelfu ya waliouawa. Yadaiwa si halisi, imetengenezwa kwa Akili Mnemba (AI)

    https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9 Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe 31/12/2025 masaa machache kabla ya kuingia mwaka mpya 2026 imezua balaa na mjadala makubwa kuhusu uhalisia...
  5. L

    Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
  6. L

    PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawakosha Watanzania. Waomba irudiwe kwenye vyombo vya habari kwa mwezi mzima mfululizo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata kiongozi imara,tumepata nahodha hodari,tumepata jemedari shupavu. Watanzania Tumepata Amiri Jeshi Mkuu Shupavu , Madhubuti na Shujaa kwelikweli. Tuna kila sababu ya kujivunia kuwa Na Rais Samia kitini. Tuna kila sababu ya kusema asante...
  7. Parabolic

    PostGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia bado Tume ya Jaji Chande ina kazi gani iliyobaki?

    Rais Samia Suluhu Hassan amewahutubia wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2. Kiini cha ujumbe wake kilikuwa ni maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025. Kwa kiasi kikubwa hotuba yake ni kama alikuja kutema nyongo iliyomjaa kifuani pake. Ameeleza chanzo cha maandamano na vurugu zilizoanza Oktoba...
  8. BigTall

    PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia: "Nani wa kumfunga paka kengele?"

    Mambo mazito Yanayosubiri Majibu Baada ya kutangazwa katika vyombo vya habari kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuliutubia Taifa, mijadala mikubwa imeibuka kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi wanatarajia hotuba itakayofungua ukurasa mpya wa matumaini...
  9. baz kaiza

    Tume, tume, tume. Watanzania wa leo si wajinga. Kabla ya hizo tume unazotaka kuunda tupe mrejesho wa uchunguzi wa kifo cha mzee Ally Kibao

    Tume ya kuchunguza watu waliokufa alafu? Uliunda tume ya kuchunguza kifo cha mzee kibao alafu nini kilifuata baada ya tume? Tume ya Kujichunguza mwenyewe wananchi sio wajinga na hiyo tume ni ya nini na ulisema waliondamana ni...
  10. Dr Adam Francis

    Hotuba ya Rais Samia ni Nyota njema iliyoonekana ahsubuhi!

    Rais Samia leo ametoa hotuba ya kufungua Bunge la 13. Hii ni hutuba iliyosubiriwa na wengi kutoa mwelekeo mpya wa kipindi cha pili cha serikali ya awamu ya sita ambayo kwakweli imepitia kipindi kigumu cha uchaguzi. Rais Samia ametambua uwepo wa maandamano na vurugu October 29, aidha ameliongoza...
  11. Avith almachius

    PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia uzinduzi wa Bunge la 13 imejikita kuwainua vijana

    Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
  12. ngara23

    PostGE2025 Tutajarajie nini kwenye hotuba ya Rais Samia leo akifungua bunge na kumwapisha waziri mkuu mpya

    Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa kiini macho wa wizi wa kura, maandamano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na police, Vyombo vya...
  13. Chakaza

    Waliofuatilia Mubashara Kesi ya Lissu ni Wengi Kuliko Hotuba ya Rais Kuvunja Bunge. Tatizo ni Nini? Tunakwama Wapi?

    Lazima kuna tatizo mahali katika siasa zetu au mapungufu mazito mahali. Kupitia TV zilizokuwa live na mitandao ya kijamii, leo watu wengi wamefuatilia kwa makini kesi ya Tundu Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini kuliko siku ya kuahirisha bunge Rais akihutubia taifa. Nini tatizo hapo hadi umakini wa...
  14. M

    Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  15. W

    PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

    Akizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la 2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika nchi walizotoka wasituharibie nchi yetu huku akivisihi vyombo vya sheria kuchukua hatua za haraka...
  16. Doctor Mama Amon

    Tahakiki ya Hotuba ya Rais Samia ya Tarehe 25 Aprili 2025: Muundo, Maudhui, Mabaya, Mapengo Na Mapendekezo

    Mazingira, muundo, maudhui, mabaya, mapengo na mapendekezo kuhusu hotuba ya Rais Samia ya tarehe 25 Aprili 2025: Mazingira ya hotuba Hotuba ya Rais Samia imeandaliwa, na inapaswa kutathminiwa, katikati ya mazingira yafuatayo: Msimu wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na mwadiwani inakaribia...
  17. B

    Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
  18. S

    Hotuba ya rais Samia: Mkuu wa nchi akitoa hotuba mjitahidi kusikiliza na kutoa ushauri, sio matusi

    Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri. Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii. Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta. Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
  19. Mkalukungone Mwamba

    Picha: Waziri Mkuu Kassim na wananchi wa Ruangwa walivyofatilia Hotuba ya Rais Samia

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wananchi wa Ruangwa ni miongoni wa Tanzania walifanikiwa kuifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan.
  20. Mindyou

    PreGE2025 Rais Samia: Tusikubali kugawanywa kwa sababu za kisiasa

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kuwakataa wale wote wanaotaka kuligawa Taifa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Ameyasema hayo katika kilele cha Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika...
Back
Top Bottom