Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi ameahidi kufutwa kwa utaratibu wa kuzuia miili ya Marehemu Hospitalini kwa sababu ya deni la matibabu.
Dkt. Nchimbi amesema haya leo Septemba 25 katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Kilolo, Iringa kwa...