hospitali

Stenoma hospitalis is a moth of the family Depressariidae. It is found in Rio de Janeiro, Brazil.The wingspan is about 29 mm. The forewings are whitish ochreous with the costal edge dark fuscous towards the base. The plical and first discal stigmata are small and ferruginous brown, the plical obliquely posterior. There are two small dark fuscous dots transversely placed on the end of the cell and there is a triangular ferruginous-brown spot on the costa somewhat beyond the middle, and a more elongate one towards the apex. A series of small ferruginous-brown dots is found from the first costal spot strongly curved around beyond the cell, then to two-thirds of the dorsum, and a curved series from the second costal spot to the dorsum before the tornus. There are also some minute marginal dots around the apex and termen. The hindwings are ochreous whitish.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake wanaojifungua hospitali za umma, wanadhalilika, usalama na stara hakuna

    Nimefika hospitali 1 ya serikali nilimtembekea rafiki yangu ( wa kike) aliyefika kujifungua nimesikita mno Wodi imejaa wajawazito na vichanga Wajawazito wanalala chini, vitandani wanalala hadi watatu, hii sio sawa Bora wananchi wachangie huduma ila ziwe Bora, ziwepo wodi za kutosha na wake...
  2. Naibu Waziri wa Afya: Busara inatumika, Mgonjwa mwenye uwezo analipa Hospitali za Serikali

    Akijibu hoja za Wabunge walioeleza kuwa kuna Wajawazito wengi na Watoto chini ya umri wa miaka mitano wamekuwa wakilipiishwa fedha katika Hospitali za Serikali kinyume na maelekezo ya Serikali, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati busara inatumika licha ya uwepo wa Sheria...
  3. Mamlaka angalieni Changamoto ya Gharana za Upasuaji wa wagonjwa wa mifupa kwenye Hospitali za Umma.

    Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali. Changamoto ya hivi punde ni Gharana za Upasuaji kwa wagonjwa waliopata ajali Na kuvunjika viungo Hospotari ya Rufaa Dodoma (General...
  4. Mama Maria Nyerere alazwa hospitali Dar

    Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa. Umri wake ni 96. Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery. Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata sasa hivi. Pia soma > Mama Maria Nyerere atoka hospitali baada ya kulazwa siku kumi
  5. Manyara: Bilioni 3 Kutumika Kuboresha Miundombinu ya Hospitali ya Manyara kwa Mwaka 2024/2025

    MANYARA: BILIONI 3 KUTUMIKA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA HOSPITALI YA MANYARA KWA MWAKA 2024/2025 Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma za afya katika mkoa wa Manyara kwa kutenga Shilingi Bilioni 3 katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya...
  6. Jimbo la Namtumbo: Bilioni 3.3 Zatumika Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma

    JIMBO LA NAMTUMBO: BILIONI 3.3 ZATUMIKA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA RUVUMA Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, unaendelea kutekelezwa kwa awamu ambapo hadi sasa, kiasi cha Shilingi Bilioni 3.3 kimetumika katika ujenzi pamoja na kukamilisha jengo la huduma za mionzi pamoja...
  7. P

    KERO Hospitali ya Seifee ijitathmini au ilazimishwe kujitathmini

    Kumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/ Hizo hela siyo ishu, Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jioni bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye, Utaratibu mbovu kupita...
  8. Serikali ijenge hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando

    Nashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali. Hii imefanyika maeneo kadhaa kwa kuondoa District Designated Hospital za makanisa na kujenga za kwake...
  9. Kwa trend ya gharama za hospitali binafsi za Tanzania ikiendelea hivi tutawakaribia marekani ilihali sisi ni nchi maskini

    Mwaka jana kuna mtu kaenda kujifungua hospitali binafsi sitaitaja jina ila gharama zinawezafika hadi million 20 kuna mda unajiuliza tunaelekea wapi mbona wamepewa uhuru mkubwa sana Kumbuka hata marekani walianza hivi hivi sahivi ni kilio kwenye gharama za afya maelezo mengine yapo kwenye video
  10. Mbunge viti maalumu: Tangu 2020 Mpaka leo Tabora hospitali ya mkoa tunaambiwa hospitali inajengwa kwa awamu

    Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga, ameonyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Tabora, ulioanza mwaka 2020 lakini hadi sasa haujakamilika. Akizungumza bungeni katika kipindi cha maswali na majibu, Mwaifunga amesema kuwa kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka...
  11. DOKEZO Bugando Hospitali mjitafakari wagonjwa kufia mikononi mwenu

    Ndugu zangu, hapa Mwanza tuna hospitali ya kanda ya Bugando ambayo lengo la uwepo wake ni kuokoamaisha ya Watanzania wa mikoa ya kanda ya Ziwa na mikoa jirani. Hospitali hii inaaminika kwakua inao watumishi waliobobea kwenye kada zote, na wapo madaktari bingwa kwenye hospitali hii. Cha...
  12. Baba aitaka Hospitali ya Aga Khan imlipe fidia ya Tsh. Bilioni 1.2 baada ya mtoto wake kukatwa mguu

    https://www.youtube.com/watch?feature=shared&v=5DrxCZ8iVZs Mwanaume anayefahamika kwa jina Ally Mkii, Mkazi wa Msongola Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, ameishtaki Hospitali ya Aga Khan iliyopo Jijini Dar es Salaam imlipe fidia ya kiasi cha Shilingi Bilioni 1.2 kutokana na madai yake...
  13. Mbunge Aysharose Mattembe Aibana Serikali Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Singida

    MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AIBANA SERIKALI UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SINGIDA Serikali imeeleza kuwa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida inatarajiwa kukamilika ifikapo Januari 2027, ikiwa ni baada ya utekelezwaji kwa awamu tatu za mradi huo muhimu kwa huduma za afya mkoani...
  14. PreGE2025 Mbunge Viti maalumu Kilimanjaro agawa mashuka 50 hospitali ya Hai

    Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro Esther Maleko amesema serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya Bilion nne (4) katika Halmashauri ya Wilaya na ameunga mkono jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kutembelea Hospitali ya Wilaya Hai na Kugawa Shuka zaidi...
  15. Hospitali Teule ya Mugana ya mkoani Kagera yaongoza kitaifa kwa usafi katika Hospitali za Wilaya

    Hospitali Teule ya Mugana iliyopo wilayani Misenyi mkoani Kagera imeibuka mshindi katika mashindano ya Afya na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2024 kwa upande wa hospitali za wilaya. Nafasi ya pili imeshikwa na Hospitali ya Mji wa Njombe (Kibena) huku ya tatu ikikamatwa na Hospitali ya Wilaya...
  16. M

    Serikali itupie macho huduma zinazotolewa hospitali ya wilaya ya Maswa.

    Utoaji wa huduma duni za afya katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu unaweza kuwa na sababu nyingi, na si lazima lawama zote ziwe kwa mganga mkuu wa wilaya,Dk Hadija Zegega moja kwa moja, japokuwa yeye ni mmoja wa wasimamizi wakuu wa huduma za afya kwenye wilaya. Hospitali hiyo ina...
  17. Mwana Simba SC anayeamini kabisa kuwa Simba SC ya Jana Misri itaifunga Al Masry Goli 3 na Kufuzu CAFCCSF awahi sasa Hospitali ya Wendawazimu akatibiwe

    Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo bado wana uhakika wa kupata Goli 1 na hapa namaanisha kuwa kama Simba SC itashinda Goli 3 basi Wao...
  18. PreGE2025 Mchengerwa: Sitaki kusikia changamoto ya dawa hospitali ya Utete, Rufiji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amesema hataki kusikia tena kuhusu changamoto ya upatikanaji wa dawa katika Hospitali ya Utete na kumtaka Mganga Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Hamis Abdallah, kuhakikisha anashughulikia tatizo hilo ili wananchi waendelee kupata huduma bora...
  19. Nawezaje kuboresha afya ya macho pasi kutumia dawa za hospitali?

    Natumahi mko salama ndugu na rafiki zangu: Naomba kufahamishwa majibu ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza kulifahamu kwa kipindi cha muda sasa. Je, naweza kuboresha afya ya macho kwa kutumia vyakula gani bila kutumia dawa za hospitali? maana nimejaribu kutumia Juice ya Karoti lakini sioni...
  20. Majengo yanauzwa Tabata

    MAJENGO Bei Tsh 1.3 B
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…