hospitali

Stenoma hospitalis is a moth of the family Depressariidae. It is found in Rio de Janeiro, Brazil.The wingspan is about 29 mm. The forewings are whitish ochreous with the costal edge dark fuscous towards the base. The plical and first discal stigmata are small and ferruginous brown, the plical obliquely posterior. There are two small dark fuscous dots transversely placed on the end of the cell and there is a triangular ferruginous-brown spot on the costa somewhat beyond the middle, and a more elongate one towards the apex. A series of small ferruginous-brown dots is found from the first costal spot strongly curved around beyond the cell, then to two-thirds of the dorsum, and a curved series from the second costal spot to the dorsum before the tornus. There are also some minute marginal dots around the apex and termen. The hindwings are ochreous whitish.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Mliochezea Mashine Pale Temeke Hospitali Nina Ujumbe wenu

    Huyu mwamba mwenye dhamana ya Wizara yenu hatanii na Wala hataniwi, ni Bora mkafikiria kwenda kuishi nje ya nchi kama bado mnapenda kuendelea kupumua katika hii Dunia kabla hamjaaimbiwa parapanda. Natumaini mmenielewa.
  2. PostGE2025 Waziri Mkuu: Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mlowo, mkoani Songwe ameagiza Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo, amesema mambo ya uandikishaji yafanyike mgonjwa akiwa kitandani anaendelea kupata huduma.
  3. U

    Tetesi: Madaktari mbalimbali nchini wanawindwa kama wahalifu ili kuficha ushahidi wa mauaji na maiti zilizopelekwa kutupwa ktk hospitali zao

    https://youtu.be/yh3FB26VcNc?si=Aa33IMGEMgn_8AW0 👉Baadhi wameshakamatwa, kutekwa na kuuawa Ili kuficha ushahidi (Taifa likiwa bado linaomboleza na kuzika ndugu zao waliouawa kati ya 29/10 na 5/11/2025, nyuma ya pazia Samia akiwa anaendelea kuteka na kuua kwa Siri at the same time akijidai...
  4. Video: Kilichotokea Mwanyamala, pia kilitokea Mount Meru Hospitali. Waliouwawa ni wengi

    Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa X: "Hii ni Mortuary ya Mt, Meru hospital. Hii picha imepigwa Tarehe 30 Oktoba"
  5. W

    PostGE2025 Ndugu wathibitisha kuona mwili ya ndugu yao kwenye video ya Mwananyamala Hospitali

    Huyu kijana yupo kwenye ile video ya Mwananyamala ambayo wanasema sio video ya hapa Tanzania. Mwanamitandao Muna Love aliwahi kumpost kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kijana huyo anatafutwa na alipigwa risasi Mabatini akidai hata ndugu yake amenuona, daaah. Tunachouliza miili ya hawa...
  6. R

    Video: Mama aelezea mwanae alichukuliwa na gari la Polisi lakini amezunguka vituoni na hospitali hajampata

    Kupitia ripoti ya DW ikimuhoji Mama kwa jina Elizabeth Makule, ameelezea namna mwanae alichukuliwa na gari la Polisi ikiwa baada ya kupigwa risasi mguuni katika vurugu zilizotokea Oktoba 29, Mama huyo amesema tayari amefika katika vituo mbalimbali vya Polisi na hospitali lakini hajamuona mwanae...
  7. Je, ni kweli Damu iliisha Hospitali za Dar? Mbona hawakusema?

    Inadaiwa watu wengi walio kufa Hospitali ni kwasababu ya damu kuwaishia. Maandamano ya Uchaguzi mkuu wa 2025 ambao Samia aliamua kuubaka, uliua watu wengi kwa kuishiwa damu Ajabu hawajasema tukajitoolee damu. Wauguzi walitumiwa meseji za kuwashukuru kwa kujitolea kuwauguza na kuwatia faraja...
  8. Kuna mauaji ya majeruhi wa maandamano yanaendelea hospitali ya Muhimbili

    Kwa bahati mbaya hamna chombo kinachoweza kupewa hii taarifa na kuzuia hili. Polisi wamejazwa wodi zote za MNH na kila ambulance ikileta watu , basi hao watu wanapewa caring kidogo kisha polisi wanawachukua na kuondoka nao. Ambapo wote wanaochukuliwa hurudishwa tena lakini wakiwa maiti tayari...
  9. Hospitali za India zimebaki kupiga hela, matibabu yapo Ujerumani

    Kama ulitegemea India kimatibabu andika kabisa Wosia na uukabidhi kwa Mwanasheria maana kurudi mzima ni 20% RIP Rt Hon. Raila Odinga
  10. Je unatazama filamu za mauaji mara kwa mara, ukiwa peke yako na kufurahia? Wahi Hospitali mapema

    Kuna kundi la watu linalokua kwa kasi ya ajabu sana katika ulimwengu wa burudani – wale wanaopenda kutazama filamu na tamthilia za wauaji (serial killers). Wengine wanajitapa kwamba wameangalia na kupenda sana kutazama filamu kama Zodiac, Hannibal, Mindhunter, au I Saw the Devil mara kumi au...
  11. GE2025 Said Azan: Ikulu si hospitali kwamba kila mgonjwa anapaswa kuingia

    Kwa mujibu wa Said Azan Msingili mgombea jimbo la Uzini amesema Ikulu si hospitali kwamba kila mgonjwa anapaswa kuingia . Amesema ametaja hospitali kwani wapo baadhi ya watu ambao wamekuwa wanahamasisha vurugu na si amani huku akisema CCM
  12. GE2025 Dkt. Jafari atangaza ujenzi wa barabara na Hospitali mpya Busanda

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Busanda kupitia chama cha CCM, DKT. Jafari Seif, amezindua rasmi kampeni zake akitangaza ajenda kuu ya kuimarisha miundombinu ya barabara na huduma za afya. Katika hotuba yake ya uzinduzi, DKT. Jafari ameeleza mpango wa kujenga barabara mpya itakayounganisha majimbo...
  13. N

    Yas yatoa msaada vifaa tiba Hospitali ya wilaya Chalinze

    KAMPUNI ya mawasiliano hapa nchini, Yas imeonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha ustawi wa jamii kwa kutoa msaada wa vifaa tiba muhimu katika Hospitali ya Wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani. Mpango huo, uliongozwa na Mkurugenzi wa Kanda ya Pwani Kusini, Fadhila Saidi ambaye alimkabidhi...
  14. Mganga Mkuu wa Serikali afafanua sakata la Muuguzi na Askari kuvutana Wodini Hospitali ya Kibondo

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewatoa hofu wananchi juu ya picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Muuguzi na Askari wakivutana katika Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo huku ikidaiwa askari kuvamia chumba cha kujifungulia, jambo ambalo amesema sio kweli na likiwa...
  15. DOKEZO Ujenzi Hospitali ya Mkoa Songwe unaenda kwa mwendo wa konokono, Serikali ijaribu kuangalia hilo

    Nichukue nafasi kupongeza utendaji kazi wa Wahudumu waliopo Hospitali ya Mkoa Songwe iliyopo nje kidogo ya Mji wa Vwawa Mbozi kwa utoaji wa huduma. Changamoto iliyopo hapa ni ujenzi unaenda kwa mwendo wa konokono taratibu mno Serikali ijaribu kuangalia hilo. Changamoto nyingine ni upungufu wa...
  16. Ben Pol aungana na Wananchi wengine kuelezea changamoto ya miili ya marehemu kuzuiwa hospitali

    Baada ya andiko la JFKUMBUKIZI kuhusu ahadi mbalimbali zilizotolewa na Viongozi tofauti kuhusu ahadi za kushughulikia changamoto ya taasisi au vituo vya Afya kugoma kutoa miili ya Watu kutokana na madeni ya huduma walizokuwa wanapatiwa, maoni yamekuwa mengi kutoka kwa Wananchi. Ahadi kwamba...
  17. S

    Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  18. GE2025 Kupiga marufuku Hospitali kuzuia maiti nayo ni maendeleo? Samia punguza umasikini haya yataisha automatic

    Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty. Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu. Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii...
  19. J

    Suala la hospitali kutokuzuia mwili wa marehemu linasubiri muda wa Kampeni? CCM!!!!

    Jana Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM ametoa ahadi nyingi za mambo ambayo Serikali yake itatekeleza katika kipindi cha siku 100 za mwanzo. Moja kati ya mambo hayo ni kuhakikisha kuwa itaondoa utaratibu uliopo sasa wa kuzuia miili ya Marehemu ambayo haijalipiwa, kuchukuliwa na ndugu zao...
  20. Migodi na Rasilimali za Taifa Wanapewa kina Rostam na CCM, halafu wao wanajengewa Hospitali na Wajerumani

    Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana. Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…