Matukio yaliyoshuhudiwa Homa Bay wakati wa ziara ya Linda Mwananchi mnamo Agosti 16, 2026, yanapaswa kuwa zaidi ya habari ya siku moja. Kwa mwananchi, yanapaswa kuwa kengele ya tahadhari tunapoelekea uchaguzi mkuu wa 2027.
Ziara hiyo ilikumbwa na vurugu, barabara zikazuiwa kwa mawe, magari...