hoja

  1. JamiiForums Tanzania Tahakiki: Hotuba ya Kapteni Tesha inataja sababu, uwezo na nia ya kuiangusha serikali ya kiraia iliyopoteza uhalali wa kikatiba

    https://youtu.be/H1nHdmCnduI Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua udhibiti wa nchi, huku akidai kuwa nchi inakoelekea ni kubaya. Utangulizi Jumamosi ya tarehe 4...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ndevu ama mavazi, hoja za Butiku ni dhaifu mno

    Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi. Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na ndevu ama kuvaa “pull neck” kumewapunguzia sifa gani? Fidel Castro Paul Kagame Assimi Goïta
  3. JamiiForums Tanzania Kwahiyo tumekubaliana vipi kuhusu hoja ya Polepole ya NIDA, Kadi ya Kura na Kadi ya CCM kuunganishwa?

    Nimewahi kumsikia Ndg. Humphrey Polepole (aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Cuba) akisema pale chamani walikwisha kuanza michakato ya kuunganisha kadi mbili muhimu — Kadi ya NIDA na Kadi ya mpiga kura — na hatimaye kuunganishwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi. Kwa tafsiri rahisi, kama kweli...
  4. JamiiForums Tanzania TEHAMA | Angalia Hoja Hizi Kisha Toa Maoni

    Jacob Mfadhili Sio kama sifahamu iyo C , lakini chai ya mtoto(mpya) haiwezi kuwa ya moto kama mkubwa (expert)kaka ,, Mimi nakuelewa unapo mwambia mtu ajifunze low level ama assembly ama C, mueleze pia gharama za matumizi yake, mtu Hana hata uwezo wa kununua PC mfano, alafu ajifunze C kuna muda...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Polepole kumtumia Rais Museveni kama mfano ni mfu

    Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa serikalini. Kabla ya kumsema mwingine, Rais Museveni alipaswa kuanza kwa kutoa kibanzi kilichoko kwenye jicho...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujibu hoja ya Kafulila kuhusu rasilimali watu na rasilimali za nchi

    Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake. Naomba...
  7. JamiiForums Tanzania Nimefiatilia kampeni za upinzani hawana hoja, wanafanya comedy tu.

    Habari wanajf.kwa kweli nmeona wengi wanafanya vichekesho hawana hoja za msingi kuwashawishi raia za kuweza kuitoa CCM madarakani.
  8. JamiiForums Tanzania Ujenzi na ubomoaji wa hoja: Janga kubwa kwa viongozi wetu

    Naanza kumaizi kuwa upo umuhimu wa jamii yetu kujifunza maarifa ya ujenzi wa hoja ili kupunguza mitindinganyo ya hoja inayoendelea jambo linalowapa nafasi wachache wanaojua kujenga na kubomoa hoja hata kama wakisimamia hoja dhaifu. Nimefuatilia majibizano mengi ya hoja na nilichoweza kubaini ni...
  9. JamiiForums Tanzania Hoja za Mange na Polepole si za kubeza kama taifa tujitathimini kwa kinachoendelea

    Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote tunajua jeshi la akiba ni migambo na wanatambulika sasa hili kundi la vijana walikusanywa na kupewa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

    Watanzania si wajinga. Ya nini kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100, si mko mdarakani, si mngefanya jana au hata sasa au hata bila ya kutwambia? Kwani mlikuwa na haja gani ya kumwambia nani mtafanya nini wakati wasaa huo mlikuwa nao na hata sasa mnao? Polepole kasema mengi yenye...
  11. JamiiForums Tanzania Polepole ana watu na ana hoja, sijui CCM wafanyeje ili kumdhibiti?

    Nimefuatilia hatua kwa hatua mijadala ya Pole pole na kugundua wazi kuwa, kuna mamilioni ya watanzania wanamfuatilia kwa kina Pole pole kile alichokiongea na wengi wao wanamuelewa na kumuamini. Kama kuna namna CCM ilipaswa kumdhibiti kabla lakini kwa sasa imechelewa mnoo, sijui wafanyeje? Hapa...
  12. JamiiForums Tanzania Naunga mkono hoja ya Oscar Oscar

    Wabongo wana roho mbaya sana makazini no wonder niliacha kazi sababu ya majungu nikaanzisha biashara zangu!
  13. JamiiForums Tanzania Hoja za Bawacha dhidi ya Polepoke zina mashiko sana

    Nimependa Sana hawa wanawake wa Chadema wapo na hoja nzito Sana. Pole pole aje atuambie aliyempiga risasi Lissu ni nani.
  14. JamiiForums Tanzania Udini Dhidi ya Maaskofu ni Hoja Potoshi za Mafisadi wa CCM Kukwepa kuambiwa ukweli

    GT Hawa viongozi wetu maaskofu hawajawahi kupoa hasa linapokuja swala la uadilifu na kutenda haki, huwa hawacheki na yeyote. Hivi sasa kumeibuka hoja kwamba eti ni wadini this is BIG NO kiufupi hawa jamaa siyo wanafiki. Mafisadi wanakuja na propaganda hii kukwepa kusikia Ukweli. Kama ingekuwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania TLS, Mwabukusi: "Mweleweni Polepole kwenye hoja yake ya mifumo ya CCM, INEC na NIDA kuhusiana na wizi wa chaguzi kiufundi."

    Palikuwa na uzi humu: Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi? Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia. Ikumbukwe anayeweza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Makala mnamuonea tu, hoja za Polepole na Gwajima hazijibiki, zinataka system overhaul

    Salaam! Unaanzaje kumjibu Pole Pole anayeongea Pole Pole kwa tahadhari na kwa kutumia lugha rahisi ya kidiplomasia namna Ile? Gwajima unaanzaje kumjibu, maana alichoongea Kiko wazi na ametoa ushauri mzuri kabisa kwa tahadhari kubwa. Sasa kuliko kuwajibu ukajikuta unatoka nje ya mstari na...
  17. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ana wajibu kwa Watanzania kuzijibu hoja za Polepole

    Sisi waswahili husema, baniani mbaya, kiatu chake dawa. Hata kama hukubaliani na uanachama wa Polepole CCM, haya anayoyasema kukuhusu yana athari za moja kwa moja kwa CCM. Watanzania tunahitaji kujua maelezo yako kwenye hili. Itakumbukwa marehemu mzee Reginald Mengi, alikutaja ww kuwa fisadi...
  18. JamiiForums Tanzania Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

    Habari Wakuu. Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania. Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia. Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA iteni Press Conference, Alikeni Mabalozi na Watanzania ,Muelezee zaidi Hoja ya Polepole kuhusu Mifumo ,na kwanini NRNE!! Msiishie Mitandaoni

    LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI. CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!! Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA. Mh Polepole...
  20. JamiiForums Tanzania Kama Gwajima na Polepole wana hoja, wajitoe CCM

    Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…