hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?

    Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi? Nimeumia sana moyoni!
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini mitume na manabii huishiwa upako baada ya muda? Je, hizi pako zao ni za kweli au za mchongo?

    Jambo wadau? Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha na maneno mengi. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia upako wa manabii na mitume jinsi wanavyoanza huduma zao kwa pako za hali ya juu sana lakini baada ya muda zile pako huanza kufifia taratibu na kuisha kabisa. Nabaki...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana hasa wanachuo mnaoingia mitaani, hizi ndio mishe za uhakika na rahisi kujifunza kupata hela ya kujitunza, achaneni na visivyo na uhakika

    N:B.. fikiria kwanza kupata hela ya kujitunza kuweza kusurvive mtaani kabla ya kufikiria luxury needs, ni pesa inayoweza kukutoa hata hapo nyumbani kwenu kama unataka kuondoka Huwa naona kuna vijana wanashauriana kupiga mishe sijui za mtandaoni na upatu, hizo mishe huwa hazina uhakika japo wapo...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake na matumizi ya Bamia kuongeza 'Utelezi'

    Duuhh wakuu Kila kukicha Kungwi wa Wanawake ana lake jambo !!. Unaambiwa siku hizi ,wakitaka kukutembelea. Bamia zinatengenezwaa, Kisha inachujwa ivi , unapatikana ule utelezi wa Bamia. Baaaasi bwanaa, huo utelezi bidada anaweza kuuweka kwenye kikopo ivi akaja nao kuonana Nawewe au ...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

    Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu. Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari. Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe. Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali...
  6. JamiiForums Tanzania Nauli mpya za Mwendokasi, Teksi Mtandao hizi hapa

    Nauli mpya za mabasi ya mwendo wa haraka zitaanza kutumika kuanzia Jumatatu Januari 16, 2023 lakini nauli ya wanafunzi itabaki ileile ya Sh200. Hatua hiyo inakuja baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kuridhia maombi yaliyowasilishwa katika mkutano uliofanyika Januari 3, 2023...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi George Mkuchika ndio Kingunge Ngombare Mwiru wa zama hizi?

    Wakuu... Leo maombeni mnijuze, kwanini Captain Mstaafu George Huruma Mkuchika kila Baraza jipya la Mawaziri huwa hakosi. Ukiangalia umri wake ni kama umeshamtupa mkono, lakini bado anaaminiwa na kila Rais anayekuja madarakani hali ya kuwa vijana wapo na wanaweza kuchapa kazi vizuri tu. Je...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawana akili. Pima akili yake kabla hujadate/zaa naye

    Bwana mdogo analalamika kuwa mke wake ni mpumbavu sana. Wakipishana kidogo anaenda Mpost Instagram anaomba ushauri. Au anaanza kuandika status za ajabu ajabu... "Ama kweli nimeamini ndoa ndoano, mungu nisaidie mimi mja wako" "Hivi jamani hapa kweli nina mume?anarudi saa 4 usiku eti alikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Eti Hizi ndio hoja walizotumia kuhukumu swala Feitoto?

    1. Kulipa ela kabla ya kupeleka barua 2. Kutofanya mazungumzo na club. 3. Kuvunja ndoa gafla haikubaliki. Yani uamke asubuhi uondoke nyumbani.(kwenye hivyo vipengere vyote sijaona hoja ya kisheria au labda Wana kumbukumbu za maamuzi ya FIFA kwa kesi Kama hizo walizotumia) 4. Kuna vipengere...
  10. JamiiForums Tanzania Sababu za wanafunzi wa kizazi hiki kufeli masomo ni hizi hapa

    Habari zenu wadau wa elimu? Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Awali ya yote napenda ku declare interest kuwa mimi ni mwanafunzi wa zamani na mshauri wa masuala ya elimu ninayefanya kazi na kampuni ya Shuledirect. Kwa hiyo, ushauri ninaotoa hapa ni wa kitaalamu na...
  11. JamiiForums Tanzania Mila za kushangaza: Maiti ipo mochuary kwa zaidi ya miezi 3

    Heri ya mwaka mpya wadau maana mwaka bado mpya huu ndo kwanzaaaa January. Turudi kwenye mada ya msingi, nina rafiki yangu Mghana alifiwa na mama yake tarehe 17 mwezi wa 10 mwaka jana. Sasa me nlijua msiba ulishaisha ila naona anasambaza tangazo kwamba bi mkubwa atazikwa tarehe 28 mwezi huu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana walichangia au walidumaza maendeleo ya Taifa letu? Siku hizi wapo wapi?

    Ni zipi faida za wasiojulikana kwenye Taifa kama Tanzania hasa upande wa kukuza uchumi? Nchi kama Tanzania inanufaikaje inapokuwa na watu wasiojulikana? Wakubwa watabaki salama endapo wasiojulikana wameamua kukaa kimya? Kama wamezihifadhi nafsi za watu wasijulikane walipo, je wameshiba damu au...
  13. JamiiForums Tanzania Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

    Huko watakaoenda kufanya kazi maswala ya mipunga yamekaaje maana shortlist kwa ajili ya interview washatoa. Kwa ambao mna ufahamu ama uelewa wa MDA na LGA tuwekane sawa.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa familia TANO zenye maisha bora zilizopambana kwa ajili ya masikini na kuonewa kipindi cha mwaka 2015 hadi 2022

    1. Maria Sarungi (shangazi)- umezaliwa familia Bora, ulikuwa na kila sifa uteuzi lakini ulikataa na kuamua 2022 ulie na wanaolia. Uliwindwa ukakimbia nchi lakini bado haukusita kupambana Kwa ajili ya Haki ya wale wote wanaonekana. Kupitia Maria space ulivuka viunzi vya kuminywa Kwa Uhuru wa...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kutoka kwa mwenye uelewa wa kozi hizi

    Habari wakuu nilikua naomba kujua kozi ya B. Com in Human Resources Management vs B.com in Marketing znahusiana na nini na ipi iliyo marketable kidogo? Naomba kuwasilisha.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sifa kuu za mama Samia

    1. Hapendi unafiki 2. Ananyoosha maelezo 3. Hapendi uongo uongo 4. Ni mpenda demokrasia 5. Hatumii nguvu kutuongoza 6. Hana jaziba kuliendea jambo 7. Ni msikivu 8. Ni mwanamaendeleo Ulipo tupo Rais wangu kipenzi. Nitayatangaza mazuri yako popote pale.
  17. JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza hizi rangi mnapaka kwenye nyumba huwa mnawaza nini?

    Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
  18. JamiiForums Tanzania Kauli mnazozitoa ni mbaya, acheni

    Mtu anakopa pesa halafu anasema hakuna mtanzania atakae gibgewa kodi kudaiwa deni, aise hiyo mikopo utalipwa na nani? Jitu linapandisha Gharama za nauli kutoka kiasi fulani mpaka kiasi fulani halafu unasema eti hakuna mtanzania ATASHINDWA KULIPA, wewe uko kwenye mifuko yetu au unatupa ruzuku ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hili kundi la Yanga mchekea sana, Timu hapo ni TP Mazembe tu nayo siku hizi imezembea

    CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023 Group D: 1: TP Mazembe (RDC) 2: US Monastri (TUN 3: Young Africans S.C. (TAN) 4: Real Bamako (MLI) Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi hapa nyimbo tatu kali za Bongo Fleva tulizofunga nazo mwaka

    1 : kontawa - champion 2: Dulla makabila - Pita huku 3: Mbosso - Shetani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…