hiyari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

    Tembea KWA miguu umbali wa kukutosha. Kama Kuna vilima na miinuko itakuwa Bora zaidi. Kama huna muda, paki gari yako mbali au shuka KITUo kimoja au viwili kabla ya eneo lengwa Tembea KWA miguu kikakamavu. Utanishukuru. Mwili utabaki Bora na IMARA na mvuto hautapotea kama mkimbiaji na zile apps...
  2. Asingewajibika kwa hiyari, angewajibishwa mapema iwezekanavyo kwa mujibu wa sheria za matumizi mabaya ya ofisi

    Haingewezekana tena kumbakiza ubalozini kama muwakilishi wa Tanzania huko ng'ambo. Pamoja na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma kwa anasa binafsi, kukengeuka na kushindwa kabisa kutekeleza wajibu wake wa kidiplomasia kama Balozi, Polepole alijikita zaidi katika kuhujumu sera na...
  3. PDPC: Leo ni Siku ya Mwisho ya Usajili wa hiyari kwa Wachakata Taarifa Binafsi

    Kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022 (Sura ya 44), taasisi au mtu yeyote anayeshughulika na ukusanyaji au uchakataji wa taarifa binafsi nchini Tanzania anatakiwa kujisajili na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC). Kushindwa kufanya hivyo ni ukiukwaji wa sheria...
  4. Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

    Ni dada wa miaka 45 Nimepanga Sijaolewa Ni mfanyabiashara ndogondogo Niko jijini Dar Es Salaam Nitashukuru sana.
  5. Kushindwa kusalimisha silaha kwa hiari Jela miaka 15 au Faini Milioni 10 au vyote kwa pamoja

    Jeshi la Polisi nchini linapenda kuwakumbusha wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuendelea kutumia vizuri msamaha uliotolewa na Serikali ambapo atakaye salimisha kwa hiari hatachukuliwa hatua yeyote wala kuulizwa maswali. Silaha hizo ni pamoja na zile za wamiliki waliofariki ambazo...
  6. Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF/PSSSF) ni hiyari ya mtu je, ungechangia?

    Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (nssf/psssf) ni hiyari ya mtu, je unge-changia...!? 1. Kwanini ungechangia...!? 2. Kwanini usinge-changia..!? 3. Hujui nini ungefanya..!?
  7. Kuhama kwa hiyari Ngorongoro ni pigo kwa wasioitakia heri Serikali, wenye uchu wa madaraka

    KUHAMA KWA HIYARI NGORONGORO NI PIGO KWA WASIOITAKIA HERI SERIKALI, WENYE UCHU WA MADARAKA Tuhuma za kuunga unga zasambazwa kila kona kuichafua serikali, watendaji wake Mitandao ya kijamii yatumika kusambaza uwongo Watumishi wa NCAA wasio waaminifu watumia UDINI, UKABILA Kuhamasisha chuki dhidi...
  8. Sikujua, kumbe chanjo ya uviko ni lazima na si hiyari tena?

    Habari za asubuhi Nimekwazika sana baada ya Ndugu yangu Kunisimulia jinsi alivyokosa huduma hospitali kisa hajapata chanjo ya uviko. Nimeumia sana, Tanzania tumefikia hapa? Tambueni sio wote tuko tayari kuchanjwa, wengine sisi tulishukuru na kufurahi tuliposikia kauli za viongozi wakubwa wa...
  9. Baada ya Mwandishi Manyerere Jacton kueleza kinachoendelea Ngorongoro, sasa ndio naiamini Serikali, Wanahama kwa Hiyari

    Wanabodi Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi. Asubuhi hii nilikuwa naangalia...
  10. Ushauri: Serikali itoe fursa ya watumishi waliotumikia kwa zaidi ya miaka 15 kustaafu kwa hiyari

    Sijuwi leo nililalia ubavu gani! Nimeamka na wazo hilo hapo juu. Ni baada ya wiki iliyoishia jana kupokea simu nyingi mno za ndugu na rafiki zangu kuomba ushauri na misaada mbalimbali. Elimu yetu Bado haijabadili mitizamo yetu kuwa kusoma ni kuajiliwa haswa Serikalini na si vinginevyo. Ufike...
  11. Leo nimepima HIV kwa hiyari

    Kwema? Leo nimeamkia PITC nikasema liwalo na liwe acha niijue afya yangu. Sijawahi kupima HIV na niliapa sitopima labda niwe mjamzito. Ila kuna wakati viapo vinatenguliwa unakuwa na nafasi mbili, ujue afya yako au stress zikupige hadi ufe. Mimi nilichagua kuijua afya yangu. Nimepewa elimu kabla...
  12. Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa Baadhi ya Kada, Kuna Haja ya Kuanzisha Hiyari ya Lazima, Watu Wachanje Kwa Lazima au Tuendelee Kubembelezania Hiyari?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona. Naomba uanze bandiko hili kwa hii clip Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa baadhi ya kada, japo chanjo ni hiyari, na ukweli ni kwamba mwitikio wa kuchanja kwa...
  13. Swali: Kwanini viongozi wa Kiafrika mara nyingi ni vigumu kujiuzulu kwa hiari?

    Habari! Naomba majibu mafupimafupi. Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa? Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake...
  14. Japo Chanjo ni hiyari, ila ni muhimu. Hupandi Ndege bila cheti cha Kupima COVID19. Kama unasafirisafiri, Chanjo ni Muhimu

    Wanabodi, Déclaration of Interest. Mimi Pascal Mayalla ni pro Vaccination ya Covid 19 na nimechanja chanjo ya Corona, na nawahimiza Watanzania, tuchanje. Niko hapa Terminam 3 Airport ya DIA, nimeshuhudia baadhi ya watu wachache wakirudi makwao kwa kakataliwa kusafiri kutokana na kutokuwa na...
  15. Kama chanjo ya COVID-19 ni hiyari basi watakaochanjwa watoe hela. Hatuwezi kutumia pesa za Watanzania kufurahisha wachache

    Huu ndiyo ukweli, kwa hii ya Msaada uliotolewa basi watakaopatiwa pia wachangie gharama ambazo zitatumika kuwalipa posho wahudumu maana pesa za wananchi haziwezi kutumiwa na wachache. Tumeambia serikali itakoma pesa takribani 500m USD ili iweze kununua chanjo na pesa hizo zitalipwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…