Bomba kubwa la maji linalogawa maji katika maeneo ya Kibanda cha mkaa, Kwa Msuguri, Temboni na suka, Lapata hitilafu hivyo kuna hatihati ya kukosa maji kwa siku hizi mbili tatu.
Habari ndugu wateja kutokana na Mvua kubwa imeathiri miundombinu ya Bomba kubwa eneo la kibanda Cha mkaa linaloleta...