hitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Hizi ni Documents Tatu unazo hitaji Wakati wa Ku file annual returns

    Habari mjasiriamali, Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni nikukumbushe kua kila mwaka unatakiwa ku file annual returns. Sasa hizi ni Documents Tatu unazohitaji kuwa nazo wakati wa ku file annual returns; 1. Form no. 128 Hii fomu inabeba taarifa zifuatazo Wamiliki wa Kampuni ambao ni shareholders...
  2. TCRA yatoa tangazo "Kuzingatia hitaji la kisheria la kusajili na kutumia majina ya dot tz (.Tz domain names)

    KUZINGATIA HITAJI LA KISHERIA LA KUSAJILI NA KUTUMIA MAJINA YA DOT TZ (.TZ DOMAIN NAMES) NCHINI Kwa mujibu wa Kifungu cha 79 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, Cap. 172 R.E. 2023, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ina wajibu wa kusimamia uendeshaji wa rajisi ya majina ya...
  3. Je, kuzaa ni hitaji la msingi katika ndoa?

    Wengi tunakimbilia kuzaa tukiamini huko mbeleni, watoto tunaowazaa watakuja kutusaidia. Hii inatokana na kutokuwepo kwa kambi za wazee katika huu ukanda wetu, inayopelekea ufikapo uzeeni kukosa mtu wa kukusaidia pale utakapohitaji msaada. Tumekuwa tukiwazaa watoto, na kuwagharamia kila kitu...
  4. Wanawake mtambue na kufahamu ya kuwa sex,kupika na kufua sio hitaji kuu kwenye ndoa kama mnavyondanganya kwenye vicoba.

    Leo utakuta kuna ma kungwi yanawafundisha wanawake kuifinyia kwa ndani wakijua ndo solution la kumkamata mwanaume. Anaye kufundisha mwenyewe hata mme licha anajua hadi kuifinyia kwa ndani bado tu unaunguza mb zako kuangalia. Hivyo vitu tajwa hapo juu kwa uchache ni ziada tu kwani vinaweza...
  5. Je, Sakata la Mbunge Mpina Linaamsha Hitaji la Mgombea Binafsi?

    Habari za muda wana JF Nimefuatilia kwa muda matukio mbali mbali yanayoendelea kwa sasa nchini kwetu na nimeona niweke uzi huu kujadili athari chanya au hata hasi inayoweza kuletwa na matukio haya. Kwa leo nitajadili suala la kuwepo kwa mgombea binafsi. Turudi kwenye yaliyojiri kwa siku za...
  6. Ukitizama hii picha, Kisha kuna Mbunge anaona hitaji kubwa ni Number Plate Maalum kwa ajili yao

    Mkiambiwa hamna akili au wengi hamna akili. Mnawakishwa na wasio na akili. Kweli Mbunge na akili timamu anaona hitaji kubwa walilo nalo ni namba maalum za magari? Watanzania wakati huo mnashangilia Simba na Yanga.
  7. Anae hitaji kuhamia liwale tubadilishane

    Natafuta mwalimu wa kubadili nae kituo cha kazi, Mimi nafundisha biology secondary elimu diploma nipo liwale mjini shule mpya mangirikiti sec O_level and advance Nahitaji kubadilishana na wa morogoro, Tanga, mbeya municipal, Iringa , mwanza Ukihitaji njoo dm
  8. Anae hitaji kuhamia liwale tubadilishane

    Natafuta mwalimu wa kubadili nae kituo cha kazi, Mimi nafundisha biology secondary elimu diploma nipo liwale mjini shule mpya mangirikiti sec O_level and advance Nahitaji kubadilishana na wa morogoro, Tanga, mbeya municipal, Iringa , mwanza Ukihitaji njoo dm
  9. Kama kuna kijana yoyote mdogo anae hitaji kumbusho lolote la kumuhasisha na kumuongoza sio vibaya akasoma hii

    ♥️Maji hufata mkondo vile vile Mrembo hufata unafuu, kwa hio usi-invest hisia zako katika pendo la ukweli, utaambulia kuchukia kila mtu na nafsi yako pia. 🕓Muda ni wa thamani kuliko pesa. Unaweza kutumia muda kupata pesa, lakini huwezi kutumia pesa kununua muda uliopita. Muda ni rasilimali...
  10. Wema usio Hitaji Malipo

    Katika siku za Nyumba, nilikua na Rafiki yangu kipenzi sana, Ambae yeye Wala hakua na urafiki wa kweli kwangu. Baada muda kupita alipata maradhi ambayo yalihitaji kufanyiwa upasuaji na malipo yalikua ni kiasi Fulani Cha pesa, Kuna mtu alipata Taarifa mshikaji kuugua miongoni mwa marafiki Zetu...
  11. Kwa anaye hitaji kitu chochote kutoka Dar kimfikie alipo

    Wapendwa Habarini!! Leo nipo mbele yenu kwa wote ambao mpo mikoani na mnauhitaji wa bidhaa au mzigo wowote kama (Sim, electronics parts eg tv/redio, spare parts za magari na n.k) chakufanya wasasiliana nami utapata gharama zote za mzigo unao uhitaji mbaka pale ulipo kwa uaminifu mkubwa...
  12. Iko hivi; no reform,no election ni hitaji la sisi wapiga kura wa vyama vyote kwa muda mrefu,tunashangaa watu wasiotaka usawa,uhuru na haki

    Habari wakuu Watu wengi wameandika kuhusu ajenda ya Chadema ya kutaka uwepo wa mabadiliko katika taratibu na sheria zinazosimamia chaguzi zetu kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Wengine wanaunga mkono ajenda ya Chadema,na wengine wanaunga mkono lakini wakisema hakuna muda wa kutosha kati ya sasa na...
  13. M

    Nahitaji mwanaume wa kunioa

    Namuomba MUNGU Anipe mchumba na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra, Sio mnene sana/Chaga Ni wa kawaida Sina Ugonjwa wowote Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi...
  14. Elimu Ya Fedha ni Hitaji la Leo

    Habari wanajamvi, Nimerudi tena baada ya kufika Morogoro salama. Treni iliondoka kwa wakati (saa 12:55) na kufika kwa wakati (saa 2:59). Nilichukua bajaji ya elfu 2, nikafika Msamvu nlikoacha pikipiki. Nikawasha chombo, nikajaza mafuta, nikafika home salama. Nimekuwa na tabia ya kusoma kurasa...
  15. Mabadiliko ya kweli hayaji kwa mipango, bali kwa hitaji

    Kurunzi la mwendawazimu mimi ,mtoto wa mkulima na mwananchi wakawaida najaribu kufikiria ,Katika 2024 na 2025, tunapoendelea na mabadiliko makubwa, tunapaswa kutathmini ni nini tunathamini leo, kwani hayo ndio yataunda msingi wa mustakabali wetu. 👉🏾Dunia yetu inakumbwa na mabadiliko makubwa...
  16. Mtaan kuna hitaji elimu ,uchawi ama upambanaji?

    Wajamvi polen. Na majukum. Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn usiku uendelee tu. Mwisho wa siku najiuliza ili ufanikiwe katika haya maisha ni misingi ipi...
  17. Mtaani kunahitaji elimu, uchawi ama upambanaji?

    Wajamvi polen. Na majukum. Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn usiku uendelee tu. Mwisho wa siku najiuliza ili ufanikiwe katika haya maisha ni misingi ipi...
  18. SoC04 Maandiko ya Story of Change yanaafiki hitaji la mfumo wa elimu wa nchi 2025-2030

    Toka mtandaoni UTANGULIZI Nchini Tanzania, Swala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, wala kutumia nguvu kubwa katka kunadi sera za elimu pekee bali tunahitaji kufanya mchunganuo na uchambuzi bali nguvu ielekezwe kwenye utekekezaji wake ili kuleta matokeo chanya kila mwaka na ni nini...
  19. M

    SoC04 DIRA 2050: Umuhimu wa kuboresha mfumo wa uchaguzi na uteuzi wa viongozi wetu ni hitaji la lazima

    Dira ya taifa kuelekea mwaka 2050 ni hatua muhimu sana itakayotoa taswira na muelekeo wa taifa kwa miaka takriban 25 ijayo. Umuhimu wa kuwa na malengo ya muda mrefu ya kitaifa ni nafasi nzuri ya kuiandaa kesho ya taifa kwenye nyanja tofauti ikiwemo kiuchumi, kielimu na hata kimaadili na...
  20. Ngono ni hitaji namba 3 kwa mwanamke. Lazima uanze kumpa haya mawili kwanza

    Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko. Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke. 1: Chakula. 2: Mavazi. 3: Ngono. Kabla hujajiandaa kupiga misamba na style mbalimbali za kumfaidi mwanamke wako hakikisha kwanza unamlisha vizuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…