historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Historia ya Kihima Ujiji na asili ya Waha

    HISTORIA YA KIGOMA UJIJI NA ASILI YA KABILA LA WAHA Wakati miji mingine ikipata majina kutokana na ujio wa wageni, kuna baadhi ya miji ilipata majina yake kutokana na Waafrika wenyewe. Na kutaja majina kutokana na wenyeji kulitegemea sana watu, hasa wale waliokuwa maarufu kwenye jami. Na ile...
  2. JamiiForums Tanzania UVCCM na Vijana machawa mnajua kama kuna siku historia itawakumbuka?

    Kati ya Machifu wapo wanaokumbukwa kwa mema na mabaya... Wapo waliowauza wenzetu kwa vipande vya nguo na zawadi ndogo ndogo Lakini wapi mashujaa kama kina Mkwawa walipambana kwa ajili ya jamii zao Ninyi vijana mliopaswa kutumia akili zenu kuleta changamoto mpya na ubunifu leo mmeamua...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuna kikubwa cha kujifunza kwenye mtindo wa China wa kufunza historia kupitia mashuleni na kwenye filamu na tamthilia

    Filamu ya "Dead To Rights," inayohusu Mauaji ya Nanjing wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, imeendelea kutawala katika mauzo ya filamu ya China ya majira ya joto, ikiingiza zaidi ya yuan bilioni 1.5 (kama dola za Kimarekani milioni 210) ndani ya siku 10 tu tangu ianze kuoneshwa Julai 25. Kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Historia ya Bichwa Komwe: Maktaba ya Jamiiforums

    Anaandika BICHWA KOMWE ✍️✍️✍️ Kwa jina naitwa BICHWA KOMWE, mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri. Baba yangu ni mzaliwa wa mtwara, mmakonde wa chitoholi. Mama yangu ni mmwera. Mama halisi wa Kiafrika. Mimi ni Binti pekee katika familia yetu, ambapo, nilipofikisha umri wa miaka 16...
  5. JamiiForums Tanzania Historia inaonesha hakuna MTU amewahi kupambana na Lissu akatoka salama

    Wakati wakiulizana nani atamfunga paka kengere . Mnabidi kujua Lissu ndo mwanasiasa pekee ambaye hakuna MTU ameemwahi kupambana nae akamshinda.
  6. JamiiForums Tanzania Historia Yangu yenye kujaa ukakasi na uhusiano wangu na Member huyu wa JF

    Nimezaliwa mwaka 1970, na kupata Elimu yangu ya Msingi hapa hapa Dar Es Salaam na Sekondary Nje ya Dar Es Salaam katika shule zinazomilikiwa na Makafir. Kiukweli ilikuwa changamoto kidogo kutokana na Mzee wangu kuwa ni mtu anayeshika sana Dini. Kwa wale watu walioishi Kimanga, Mji Mpya...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Hata Gwajima na Polepole waongee kiasi gani historia zao zitaendelea kuwasaka tu

    Siasa wafanyie wabongo lala, leo hii jiwe angekuwa kuwa hai tusingemaliza bando zetu kuangalia ma press yao hao, wangekuwa kimya regardless changamoto za hapa na pale. Ndio wana point ila ni za kinafiki.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Shujaa NDUNA Songea Luwafu Mbano ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA

    NDUNA ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA Katika historia ya Songea mkoani Ruvuma kuna nyota moja iliyong’aa kupita zote Nduna Songea Luwafu Mbano aliyeuawa kikatili na wajerumani mwaka 1906 Huyu hakuwa tu kiongozi wa kijadi, bali alikuwa ngome ya ujasiri, Jemedari asiyeogopa risasi, na...
  9. JamiiForums Tanzania Amini tu kama unavyo amini tarehe yako ya kuzaliwa wakati uliikuta imeandikwa tu na wazazi wako. Kila kitu ni Historia

    Amini tu. Kama unavyokubali tarehe yako ya kuzaliwa bila kuhoji. Uliikuta tu imeandikwa kwenye cheti, ikisimuliwa na wazazi au walezi wako, na ukaikubali kuwa ndiyo siku uliyotangulia kuja duniani. Hujawahi kuikumbuka wewe mwenyewe, lakini unaishi kuiamini kwa moyo wako wote. Hujawahi kuhoji...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Nelson Mandela ni kweli alikua shujaa wa afrika au historia yake kuna namna imechezeshwa?

    Kimsingi huwa nashindwa kuelewa kivipi msimamo wa Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani ulibadilika?. Wengine usema Mandela aliyeingia gerezani na Mandela aliyetoka gerezani ni wanaume wawili tofauti. Baada ya kusoma historia yake unaweza kuona Mandela aliyefungwa jela alikua ni wamoto sana...
  11. JamiiForums Tanzania Historia ya Ali Mwinyi Tambwe, Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na Julius Nyerere Safari ya UNO 1955

    JULIUS NYERERE NA ALI MWINYI TAMBWE, AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA (UMOJA WA WAISLAM WA TANGANYIKA) SAFARI YA KWANZA UNO 1955 Usiku uliopita kijana mmoja jina lake Victor Madaha Mtangazaji wa Bongo Plus TV kanipigia simu kaniomba afike Maktaba siku ya pili tufanya kipindi kuhusu vijana na...
  12. JamiiForums Tanzania Bongo Plus na Uchaguzi Mkuu 2025: Wanatafuta Historia ya Vijana wa Kale na Vijana wa Leo Katika Siasa

    Leo Maktaba ilitembelewa na Mtangazaji Victor Madaha wa Bongo Plus kutafuta historia ya vijana katika siasa kuanzia kudai uhuru wa Tanganyika hadi leo. Victor anasema kasukumwa kwa kuona wimbi kubwa la vijana kuingia kwenye kinyang'anyiro kuwania nafasi za uongozi katika taifa kwenye uchaguzi...
  13. JamiiForums Tanzania Nilikuwa nasoma historia mbalimbali kwa miaka 6, sasa nimehitimu, kwahyo naombeni maswali ya kihistoria yoyote au jambo lolote unalotaka kufahamu

    Nilikuwa nasoma historia mbalimbali kwa miaka 6, sasa nimehitimu, kwahyo naombeni maswali ya kihistoria yoyote au jambo lolote unalotaka kufahamu.
  14. JamiiForums Tanzania Idris Abdul Wakil alitawala kwa awamu moja tu, akakaa pembeni. Historia kujirudia?

    Oktoba 25 mwaka 1990 Idris Abdul Wakil alimaliza majukumu yake kama Rais wa awamu ya 4 katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Ilikuwa ni hali ya kushangaza ila Abdul Wakil akaamua kukaa zake kando. Alikuwa na nafasi ya kumalizia mitano mingine ila haikuwezekana. Historia ni mwalimu mzuri na...
  15. JamiiForums Tanzania CCM Yaweka Historia Afrika: Mkutano Mkuu wa Taifa Wafanyika Kidijitali kwa Mara ya Kwanza

    Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya Mkutano Mkuu wake wa Taifa kwa njia ya mtandao, kikihusisha takriban wajumbe 2,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Taarifa kutoka ndani ya chama zinadai kuwa huu ni mkutano wa kwanza barani Afrika wa aina hiyo kufanywa kwa njia ya...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Niwapongeze CCM kufanya Mkutano Mkuu kwa njia ya Mtanda - Historia imeandikwa

    Maendeleo ya teknolojia CCM hatujaachwa nyuma. Kazi na Utu. Tunasonga mbele. Tunatiki tu
  17. T

    JamiiForums Tanzania Historia na maadili kitabu cha kidato cha tano

    Kitabu hiki ni muhimu.... a compulsory subject kwa kidato cha Tano Historia ya Tanzania na Maadili Academic Communication
  18. JamiiForums Tanzania Utii Ulikuwa Njia ya Kuishi, Mpaka Pale Alipokua C.E.O Kisha Kuua Kampuni - Biograph ya Tedi

    Alizaliwa kwenye familia ambayo haikuamini katika mazungumzo, haikuamini katika kuelewana, haikuamini katika maoni mbadala. Bali heshima ni utii usiohoji, na upendo ni zawadi inayotolewa tu kwa wale wanaofuata mstari. Baba alikuwa mwepesi wa hasira, mzito wa kusikiliza. Kosa dogo lilimaanisha...
  19. JamiiForums Tanzania Endapo reforms zote kubwa zinafanyika, Je Lissu awekwe meza moja na akina Nyerere kwenye historia?

    Amekuwa tayari kupitia njia ya kunyongwa mpaka kufa. Sasa kuna fununu la mwangwi mkuu wa mageuzi. Endapo yakatokea tuone atawekwa wapi na historia
  20. JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa dada wa Polepole, kumenikumbusha Historia ya kutekwa kwa kaka zake Kambona

    Hamna Jipya chini ya Jua. Ila safari hiii Utekaji umefanywa dhidi ya MTU ambaye ni Mzalendo kwelikweli. Hivi Polepole Kwa namna alivyo Mzalendo, ni wa kumtekea Familia yake???.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…