historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kwenye historia yote kabla ya 1947, hawa wapalestina wanadai ardhi yao ipi ?

    Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania TRUE STORY: Historia ya maisha yangu na jinsi ambavyo nilitaka kujiua

    Habari za muda huu wana JF, natumai ninyi ni wazima wa afya na kama kuna mgonjwa kati yenu basi mwenyezi mungu amponye. Bila kupoteza muda tuje kwenye mada husika iliotuleta hapa kwenye huu uzi. Tuvumiliane jamani kwa changamoto zozote za kiuandishi kama zitajitokeza kwani sio fani yangu bali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO

    UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO 😔 1.Wanaume/wanawake wote hawafai. 2.Dunia ya sasa hakuna waoaji/waolewaji. 3.Nawachukia sana wanaume/wanawake 4.Hata wewe ni wale wale tu. 5.Siwezi kumuanini tena mwanamke/mwanaume. KUNA KAZI KUBWA SANA KUISHI...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba historia ya mzee kibaja mwanamziki wa kipare (vaathu)

    Uzi uko wazi twende kazi
  5. JamiiForums Tanzania Historia haitamsahau Lissu kwa kuipigania Tanganyika

    Lissu anaweza kuwa na mapungufu yake kwa sababu ni binadamu. Lakini kwa jinsi alivyoipigania Tanganyika tokea akiwa bungeni hata sasa akiwa nje ya Bunge, Historia haitamsahau. Watanganyika wa leo wasipomwelewa, wazalendo wa kesho watakuja kumjengea sanamu la heshima kumuenzi. Kajipatia heshima...
  6. JamiiForums Tanzania Maktaba Imetembelewa na Mwalimu wa Historia ya Tanzania

    MAKTABA IMETEMBELEWA NA MWALIMU WA HISTORIA YA TANZANIA Maktaba imepata bahati kubwa sana na heshima ya pekee kwa kutembelewa na mwalimu anaesomesha somo la historia kiwango cha shule za sekondari. Kwa mara ya kwanza nimebahatika kusikia na nimejifunza mengi kwanza changamoto zilizomo katika...
  7. JamiiForums Tanzania Historia Zilizojificha Katika Karatasi za Barua

    HISTORIA ZILIZOJIFICHA KATIKA KARATASI ZA BARUA Picha ya kwanza hapo chini ni Mamboleo Rashid Makoko, picha ya pili ni Julius Nyerere na ya tatu ni Chief Michael Lukumbuzya wa Ukerewe. Historia za watu hawa watatu zote zinaunganishwa na historia ya Tanganyika kama ilivyokuwa wakati ikielekea...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha tuko safarini na tuko ndani ya historia nani anabisha ?

  9. JamiiForums Tanzania Kitabu: Ukisoma historia ya Wachaga lazima usikie harufu ya damu

    Asili na habari za Wachaga Wachaga walikuwa ni moja ya makabila ya kwanza kwanza kabisa Tanzania kukutana na kupata ustaarabu wa Kizungu. Hilo limefanya kuwa kabila ambalo historia yake imeandikwa na kutunzwa zaidi. Sasa historia yao imejaa damu hasa, kuisoma tu lazima usikie harufu ya damu...
  10. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe...Mohamed Shebe Mpiga Picha Aliyehifadhi Historia ya TANU na ya Mwalimu Nyerere na Mengineyo Yaliyokuwapo 1950s

    https://youtu.be/5Ien7R24MA0?si=GN5lEs68WWX1OLq6
  11. JamiiForums Tanzania Historia ya Jiolojia ya Matetemeko ya Japani

    Japani ni nchi ambayo iko kwenye eneo lenye shughuli nyingi za kijiolojia. Kijiolojia, Japani iko katika eneo linaloitwa "Pasifiki ya Moto" au "Mzunguko wa Moto wa Pasifiki". Hii ni mstari wa shughuli za volkeno na tetemeko la ardhi ambao unaenea karibu na Bahari ya Pasifiki. Kanda hii...
  12. JamiiForums Tanzania Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Aprili 26, 2024: Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuriy a Watu wa Zanzibar ziliungana na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo Bunge la Tanganyika na Baraza la Mapinduzi lilithibitisha Mkataba huo Muundo wa Muungano Muundo wa Muungano wa Tanzania kama ulivyoelezwa katika...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya historia vinadanganya waarabu walichukua watumwa wa kiafrika, mbona hakuna Waafrika waliobaki nchi za kiarabu kama Marekani?

    Sioni hoja yenye nguvu kuthibitisha hili maana nao watumwa walikuwa watu wenye viungo vya uzazi vya kuendeleza vizazi vya waafrika. Hata waafrika wengi unaowakuta nchi za kiarabu ni wale waliohamia kikazi, biashara, n.k. na wengine wana wajukuu tayari. Mfano Marekani, Brazil, n.k. tunaona...
  14. JamiiForums Tanzania Njama za uhaini za kina Hans Poppe (Sehemu ya 2️⃣)

    Karibu katika sehemu ya pili ya uchambuzi wa kina wa kesi ya Hatibu Gandhi na wenzake dhidi ya Jamhuri. Kesi iliyo na historia ya kuvutia na kusisimua sana, kesi iliyoficha mengi yasiyojulikana haswa na kizazi cha sasa cha Tanzania. Kesi inayomuhusisha nguli wa maswala ya michezo mzee wetu...
  15. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Wachangiaji M1 JF Jukwaa la Historia 2013

    MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013 Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika kitabu cha Abdul Sykes. Huu ukawa mjadala mkali, mrefu uliokwenda kwa miezi sita mfululizo bila ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Historia ya mwenendo wa hukumu za kesi katika Mahakama Tanzania chazinduliwa

    Majumuisho ya kesi mkakati zilizotolewa tangu miaka ya nyuma kuanzia 1983 hadi 2022 na maamuzi ya hukumu yakiangaziwa kwa kina kuona maamuzi ktk hukumu hizo NGURI WA SHERIA WAKUTANA JUKWAA MOJA, UZINDUZI KITABU CHA MWAKA CHA SHERIA ZA UMMA 2022.. https://m.youtube.com/watch?v=aA9LchsP9uo...
  17. JamiiForums Tanzania Historia fupi ya mji wa ROMA

    KWANINI MJI ULE ULIITWA ROMA? Roma ni mji mkuu wa nchi ya Italy, ni mji wenye historia ndefu duniani... Kwa maana historia yoyote ya dunia haitokamilika kama hujaizungumzia au kutaja Neno Roma. Roma imeanza kukaliwa na watu kwa zaidi ya miaka elfu 2 iliyopita. Ni mji wa 3 kwa umaarufu katika...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Hans Poppe na wenzake walitaka kumpindua Mwl. Nyerere? (SEHEMU YA 1️⃣)

    HATIBU GADHI & OTHERS versus REPUBLIC, 1996. Karibu katika sehemu ya kwanza ya uchambuzi wa kina wa kesi hii ya kihistoria yenye mengi yaliyojificha ama yasiofahamiwa na watanzania wengi wa kizazi cha sasa. Katika makala hii ya kusisimua tutachambua kwakina kwanzia historia ya wahusika (hasa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Historia ya Otabenga

    Anaejua historia kamili ya Otabenga atiririke hapa
  20. W

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Historia fupi ya Edward Moringe Sokoine

    Mfahamu Sokoine Moringe Edward Sokoine Moringe (Agosti 1, 1938 - Aprili 12, 1984). Alikuwa mwanasiasa maarufu wa Tanzania ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu wa Tanzania kwa vipindi viwili kutoka Monduli, Tanzania. Alijiunga na Chama cha Tanganyika African National Union (TANU) mwaka 1961...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…